mbalaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 2,240
- 2,634
tatzo kubwa lipo kwa wananchi wenyewe na sio wapinzani, wapinzani wame-risk maisha yao sana.. wengine wekufa, wengine mahospitali, wangine hawajulikani walipo.Tatizo kubwa la viongozi wa upizani wengi ni 'Moles' and 'fortune seekers' lakini Tz hi ningepata wapinzani serious hi nchi ingekua mfano kwa Africa mashariki kwa democrasia na utawala wa sheria
wananchi ni mazuzu, hata Mkuru akipitisha sheria ya kupingwa viboko kila siku asubuhi na jion hakuna wa kupinga.
Au kwako kuwa serious hadi wapinzani wa bebe tindo wakatindue ukuta wa ikulu?.