Tuseme ukweli tu, Hayati Magufuli aliivuruga sekta ya ujenzi akiwa Rais

Jamaa alikuwa anajenga barabara kwa wingi kanda ya ziwa tu.
Kwingine ilikuwa kama kujazia jazia.
Hapa Mbeya barabara kuu kwenda Zambia iko vile vile toka enzi ya Mwalimu.
Pale Mbalizi ni vifo kila mwezi utafikiri Magufuli hakuiona miaka 20 aliyokuwa Ujenzi.
Watu wskisema Magufuli alikuwa mkabila na upendeleo hamuoni, hamsikii.
 
Mada ya kitumbafu sana hii.

Wachangiaji hawajazidi ID tatu wanachangia na kujijibu wenyewe.
 
Sio tena mayanga bali ni suma jkt [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uko
Uko sahihi kabisaa kwa kazi za kusimamiwa hakuwa na shida . Ila hakufaa kuwa mtoa maamuzi mkuu.(Rais)
 
M
Magufuli aliogopa mahakama ipi hapa Tanzania???
 

Hakuna alipopatia maana alikuwa ni roho la uharibifu. Alichofanikiwa kwa uhakika ni kupandikiza woga na unafiki wa wazi.
 

Alifanya mambo mengi kwa muda mfupi maana alikuwa analipua ili kusaka sifa za kisiasa.
 
Jibu swali mkuu!
Anajidai kukwepa swali.

Wajuvi walishamfukunyua toka miaka mingi

 
Mbona nanyinyi hamsemi mlivyoharibu ujenzi nchini. Karibu kila mradi ulikua chini ya kiwango na upo overprice. Barabara za mitaani ikija msimu mmoja tu wa mvua zote hazitamaniki. Miradi mingi pia ilikua haikamiliki kwa wakati na hela zinaliwa. Jamaa alivyokuja na hiyo approach tuliona mabadiliko makubwa sana kwenye sekta ya ujenzi nchini. Kiufupi hakuna kitu mlikua mnafanya zaidi ya upigaji. Sasa Magufuli hayupo rudini tena mitamboni bussiness as usual.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Hayo maneno popote pale ukiyasikia ni ya wanasiasa uchwara wasiojua kuwa tenda za ujenzi hazitolewi kama pipi!
 
Ungetutajia miradi 3 ambayo mlipewa mkaikamilisha...lazima wakandarasi wajiunge pamoja na kutengeneza makampuni yenye uwezo wa kupokea kazi...lazima tukubali kuwa wakandarasi mnahitaji kubadili mindset zenu kwanza ..ili kushinda tenda...mbona Estim wanapqta kazi na kupiku makampuni ya nje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujenzi ni eneo pana ila wewe umeegemea kwenye ujenzi wa Majengo sidhani kama TBA na Sumajkt wanajenga barabara
 
Imugaiwie ×
Imgaiwie ✓

Kujitajifutia ×
Kujitafutia ✓

Punguza panic sukuma gang.
Ujumbe imefika lakini,halafu hapa hatuko bakita ndio watu wa kunyambulisha kiswahili.Watanganyika tuache kulalamika kuwa kuwa kila kitu upewe na Serikali,umeisha pata elimu anza kuangaika, mbona makampuni Mengi ya kigeni yamekuwa humu nchi nayanapata kazi huku mtaani? tatizo watanganyika ni wizi na uzembe,anapata kazi yeye anauza ili apate 10% ale bata,kwa Magufuri huo mchezo haliujua ndio maana madon walinchukia Sana.
 
Kwenye afya ndo kunatisha watumishi wa afya miaka 5 bila ajira mpaka wengine wakawa wanalipwa buku 7 vijiweni.fikiria mtu alivyohangaika kusoma vitu vigumu na malipo yake...Samia anahitajika aajiri fululizo Kila mwaka kupunguza Hali mbaya mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…