Tuseme ukweli tu, Hayati Magufuli aliivuruga sekta ya ujenzi akiwa Rais

Bado haikuwa tiketi inayomruhusu kufanya ufisadi. Ni kwamba jamaa alikuwa mbinafsi, katili na anataka apate peke yake. Rot in Hell Magufuli
CCM ilituangusha sana kutuletea huyu fisadi katili, mbinafsi, mkabila na mwenye traits za uuaji.
Hata Membe aliwahi kusema nchi ilikosea sana kuto angalia uraia kikamilifu wa huyu mtu.
 
Sina nyongeza umemaliza kila kitu.
 
wote mlio zungumza humu inaonyesha akili zenu haziko sawa hata kidogo so cha kufanya nendeni mkalale mfanye mazoezi alafu mwingie kufikiri tena maybe mnaweza kuja na wazo jipya mkiona bado hamko sawa kunyweni maji mengi sana kwa wakati mmoja mshinde chooni labda apo mtakaa sawa, mkiona bado kazaliweni upya kwa mara ya pili mkikua mtajua
 
Mkuu hao wapambe wa Magufuli hawajatueleza, alipata wapi fedha za kujenga Kebbys zHotel , jengo la ghorofa nafikiri nane au zaidi.
"Unafikiri"??
Haya ndio madhara ya vyeti feki, yani mpo wawilitu kwenye huu uzi kama wachawi mnapokezana kulialia.

Mnaonge mambo yasio nakichwa wala miguu, mambo yasiyo eleweka na wajinga wenzenu wanawasapoti.

Wakati unaongea upumbavu kuhusu ujenzi watu wanaona reality ubungo,sarenda,kimara mail moja,stand za kisasa nchi nzima, bwawa la umeme,daraja la busisi,standard gauge,daraja la mto wami,Kilwa road, tazara hispital zaidi ya mia tatu,namengine mengi ambayo pamoja aakili zenu ndogo mnayajua.

Mtakufa na stress nyie vichwamaji somesheni watotowenu vyeti feki vimewaumiza zana.
 
Wawili?
Mbinafsi, katili, mkabila na muuaji kama yule jamaa.
Hayo ndio mnayoyafagilia warundi nyie.
 
Rekebisheni sasa, wakati ndio huu.
 
Jamaa alikuwa ni fisadi papa
 
Awamu yake ndio ilikua na ufisadi wa kiwango Cha juu Sana kuliko awamu zote zilizopita
Magufuli aliiba Tshs 1.5 Trilioni mchana kweupe.
Taratibu za checks and balance kupitia CAG walipohoji, akamtimua kazi.

Leo hata CCM hawahoji hili.
 
Roho mbaya na isiyo ya kistaarabu ndiyo imemfikisha huko aliko.
Kampuni nyingi za wazalendo (contractors, Engineering Cosultancy, Quantity Surveyors na Architects) waliokuwa wakiajiri watu wengi na kulipa kodi stahiki, zimefungwa toka Awamu ya 5.
Na Hadi Leo nyingi bado zimefumgwa. Mimi Ni muathirika wa hii regime ya Magufuli, Ni mdau sekta ya ujenzi ndani ya utawala wake mambo yalipoanza kuwa magumu, nikakimbilia kwenye kilimo, wee nilichokutana nacho Mungu anajua. Yaani Magufuli sitamsahau, nilipoteza almost mtaji wangu wote na Sasa najikongoja kuanza upya na uzee ndiyo unapiga hodi kwa Kasi.
 
Na Mayanga ilikuwa taasisi ya Serikali. Nawe Ni wale wale tu, wacha niishie hapa.
 
mnapambana sana kumchafu jemedari lakin kwa kazi aliyoipiga hamuwezi enedeleeni kuimba wimbo wenu wa anaupiga mwingi tutakutana 2025
 
Asante mkuu kwa mfano mwingine hai.
Kuna wafaidika wa upendeleo, dhuluma, ubambikaji kesi na uvurugaji wa sekta ya ujenzi.
Watu wanafikiri tunamnanga tu Magufuli, kuna watu wamekufa kutokana na presha wakiona nyumba zao zinanadiwa.
Sasa hao watamsifu vipi sijui Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…