Tuseme ukweli, uchaguzi wa CCM uliofanyika una viashiria vya udini

Tuseme ukweli, uchaguzi wa CCM uliofanyika una viashiria vya udini

Status
Not open for further replies.
Tanzania miaka mi5 mbeleni haitakuwa sehemu salama ya kuishi tena.
Kama haulo kwenye 'system' nashauri utafute mpango wa kuhama makazi
Kipindi watu wanatekwa na kuawa ilikua sehemu salama kwa vile alifanya mkristo mwenzenu
Nyie watu ni WA hovyo kabisa
 
Kinachofuata ITV ni hoja ya Tanzania kujiunga na Organization of Islamic Countries (OIC) na Zanzibar kuwa mwanachama wa FIFA na kupewa kiti UN.

Fuatilia ata Mapesa ambayo Bi.Mkubwa amepewa kutoka Uarabuni!
Ikiwa hivyo wewe utaathirika nini!?..alipokua papa 1991,ilisomwa taarifa kuwa kanisa Lina 'comission of armed forces'...waislam hatukupepesa hata kope,tulijiuliza tu Hawa watu wa amani wanaihitaji hiyo commission ya nini!?
 
Hawa jamaa mimi nawaona wanafq tu
Malalamiko yao huyatoa kipindi cha waislam
Wakikaa wakristo wenzao hufunga midomo yao, zile nyaraka ndefu ndefu Hua hazionekani kipindi hicho
Wanajikuta watakatifu, jau sana Hawa watu
Kwa hiyo ni waislamu peke yao ndio waliokuwa wanamkosoa JPM? Wakina Freeman, Lissu, Mnyika, Msigwa, Heche, Halima, Catherine, Suzan, Esther, Sugu, Mdude na wengine walinyamaza wakati wa JPM na kuwaachia wakina Zitto na Lipumba kazi ya kumkosoa.

Amandla...
 
Kila watu na zama zao, wakati wa Magufuli viongozi asilimia kubwa walikuwa wakriato lakini waislamu hawakulalamika.
 
Kila watu na zama zao, wakati wa Magufuli viongozi asilimia kubwa walikuwa wakriato lakini waislamu hawakulalamika.
Vilevile haikuwa vizuri, unatakiwa kujua hivyo na hakuna anayependa utawala wa upendeleo, kama wewe ni mtawala jitahidi kubalance na ukifanyahivyo hauwezi kusikia manunguniko.
 
Kwasababu waislam wengi basi ni Udini ... Mbona wakati wa chuma kila teuzi ni msukuma mkatoliki.. sikusikia neno Udini
. tulieni dawa iwaingie
 
Key character ya msingi wa imani ya waislamu ni greedy (ubinafsi) kiwango chao cha kufikiri kinaweka mbele mahitaji yake yeye na familia yake kwanza wengine badae, wakristo wanafundishwa kutanguliza wengine kwanza, kufikiria wengine kwanza kabla yako huo ndio msingi wa imani. Ni kujidanganya kuamini chini ya uongozi wa waislamu kuna maendeleo! Angalia ñchi zote za Africa zenye uislamu majority ni duni sana ukilinganisha na potential yao..Nigeria, Sudan, mali, Chad, Eritrea nk..hata huko kulikoanzia uislamu kwa waarabu wenyewe mambo mengi wanafanyiwa na wengine sio wao wenyewe, wakiachwa wenyewe watabaki maskini..kurithisha watoto uongozi chanzo chake ni ubinafsi na worry ya umaskini..kingine cha kweli, nje ya ccm waislamu peke yao hawawezi kushinda uchaguzi wowote hapa Tanzania, na wakibaki peke yao ccm hawashindi uchaguzi popote! Hicho kinachotokea ccm hakitawafikisha popote ndio mwisho wa ccm, na wao wanadhani wako secure wakiwa ccm kuliko vyama vingine..na ccm ni chama chao..ngoja tuone mwisho wao.
 
Asante Mkuu. Ubaya wa kuendekeza udini ni kuwa watu wanasita kukosoa wenzao kwa sababu tu ni dini yao. Aidha, wanawakataa watendaji wazuri ambao wangewasaidia kwa sababu tu sio dini yao. Wanapoteuliwa wenye dini yetu tujue kuwa wana dhamana kubwa ya kuwatendea haki wale ambao sio wa dini yetu. Na tunatakiwa tuwakemee pale tuu tunapoona dalili za kutupendelea badala ya kukaa mkao wa kula na kujitetea kuwa mbona wenzetu walikuwa wanapendeleana.

Amandla...
Umegusa jambo zuri sana, huu ujinga wa watu kuficha udhaifu wa kiongozi kisa ni wa dini yao ndio mkubwa na mbaya zaidi.

Wakati ule wa Magufuli, alisemwa kwa mabaya yake bila kujali dini yake, kila mmoja aliyeona Magufuli hakuwa fair kwenye mambo yake alisemwa..

Lakini bahati mbaya kwa huyu mama, baadhi ya wale waliokuwa wakimpigia kelele Magufuli kwa mambo yake sasa wako kimya, hawaongei chochote, kazi wanayofanya ni kutupa lawama kwa watendaji wake ili kuficha udhaifu wake, wanamlinda kisa ni wa dini yao, hawa ni wanafiki wakubwa.
 
Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini.

Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu.

Kama huu uchaguzi umefanyika kumridhisha Rais basi watu wamempaka matope Rais.

Tanzania sio nchi ya kidini huu uliofanyika ni uchaguzi ambao unaacha maswali mengi sana sana.

Kama huu uchaguzi umefanyika kumridhisha Rais basi watu wamempaka matope Rais.

Tanzania sio nchi ya kidini huu uliofanyika ni uchaguzi ambao unaacha maswali mengi sana sana.[emoji817][emoji818]
 
Kama uligombea ukapigwa za uso usilete ujinga wa kutafuta excuses za kipumbavu.

Waliopiga Kura walikuwa Waislam pekee? Mimi Mkoa niliko 3/4 ya wapiga kura Ni Wakristo na wamechagua Viongozi wa dini ya Kiislamu maana ndio waligombea na kushinda Sasa sijui unatakaje.
Acha upumb@v¥ kama waislam tu ndo walipitishwa kugombea hizo nafasi uliteegemea wakristo wapigie mawe kura.Wakati ukweli unahujua ccm usiposhiriki kupiga kura ni sawa na kumgomea m/kiti wachama na usipoenda kupiga kura wapiga kura watatafutwa kwa njia yoyote ile.Ukweli usemww uchaguzi wa ccm mwaka huu umetawaliwa na Udini sana inawezekana kwasababu m/kiti ni mzanzibar kwao ubinafsi wa kidini ni kitu cha kawaida.Ila kwa mipango hii watafeli mapema sana Tanganyika ni kubwa sana tofauti zanzibar na sio kwamba wenye dini zingine ni vipofu hawaoni.
 
Wakati wa utawala wa Magufuli, baada ya kusikia kuwa alielekeza kuwa taasis zote za kidini zinazoingiza magari zilipe kodi isipokuwa za wakatoliki wa Roma, eti kwa sababu taasisi za dini nyingine huwa ni wadanganyifu, wanayapeleka.magari waliyoingiza kwa msamaha kwenye matumizi binafsi,niliandika.kulaani jambo hilo. Mimi ni Mkatoliki wa Roma (RC).

Katika kulipinga hilo, nilieleza kuwa watawala wabaya huwa wanapenda kujishikamanisha na makundi makubwa ya jamii fulani ili watetewe na makundi hayo kwenye uovu wao. Ni blackmailing. Marehemu alifanya kila jitihada kujishikamanisha na wakatoliki kwa kuwa ni kundi kubwa la kidini, alijishikamanisha na wasukuma, japo hakuwa msukuma, kws sababu ni kabila kubwa, alijishikamanisha na kanda ya ziwa kwa sababu ni kanda yenye watu wengi, alijishikamanisha kwa kauli na maskini kwa vile maskini ni wengi ( licha ya kwamba mwanzoni aliwatimua kutika kwenye mitaa yote ya mijini, baadaye akawahadaa kwa kuwaruhusu wassmbae kila mahali ilihali hakufanya jitihafa zozote za maana za kuwaondoa kwenye umaskini).

Viongozi wa namna hiyo, wanataka wanapolalamikiwa kwa uongozi mbaya, wayageukie makundi yale na kusema, mnaona, nalaumiwa kwa sababu nawatetea ninyi wakati hakuna chochote cha pekee anachofsnya kwaajili yenu.

Tukifuatilia, kwa mtu mmoja mmoja, marehemu alisemwa zaidi na wakristo wenzake kuliko hsta wa dini tofauti, walioonja shubiri ya marehemu zaidi ni wakristo wenzake. Ben Sanane ni mkristo, Azory Gwanda ni mkristo; Mbowe, Msigwa, Mdee, na wengine wengi walikuwa Wakristo. Na ule waraka wa kulaani utawala mbaya unaopoteza watu ulitoka TEC, siyo BAKWATA.

Kwa vyovyote vile, tusikubali watawala kutufanyia mbinu ya kutugawa ili tusiwanyoshee vidole wanapofanya vibaya. Tujiulize, hivi kwa sababu Makamu mwenyekiti au mwenyekiti wa wazazi CCM ni waislamu, wana msaada gani kwa wale waislamu wa Ujiji au Same? Maisha yao yarabadilika?

Sote ni wamoja katika mazuri au madhira. Umeme ukikatika hauchagui nyumba ya muislam au mkristo. Matatizo ndiyo yatuunganishe zaidi kuliko kunyosheana vidole.

Tena katika hili, waislamu ndio wapaze sauti zaidi dhidi ya blackmailing hii ya kidini ili watawala wasijilinde kwa kutumia ngao ya udini, ukabila au eneo. Ngao yao kubwa iwe uongozi bora wenye maono, na unaozingatia usawa na haki.
 
Hapo awali yakitokea majina mengi ya Kikristo Waislam wakihoji kwanini wanaambiwa somesheni watoto wenu shule achaneni na madrasa now wamesoma sasa washaanza kuchukua nafasi point imebadilika kua ni udini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom