Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Kuna yale maneno ya mwisho hutokea unayasikia kwa bahati mbaya. Mwenzio anajua amekata simu kumbe bado iko hewani. Au anakosa subira na kuyaongea kidole kikielekea kukata simu.
Nilipigiwa simu na shangazi yangu. Tukaongea, then akaniambia hana hela ya sukari. Nikasema, nitakutumia shangazi.
Kumaliza kuongea tukaagana. Ila kwa mbali nikasikia anasema "shenzi kabisa, nilishika mavi yako kukutawaza." Dah!!! Sikutegemea.