Tushirikishane maneno uliyosikia, anadhani amekata simu kumbe unasikia

Tushirikishane maneno uliyosikia, anadhani amekata simu kumbe unasikia

Wanangu mmi kanipigia simu nikapokea " we chizi uko wapi naibika hapa nitumie Chochote kwa tigopesa na fanya fasta fala wewe" nikamwambia "haya siburia kidogo"

Nikashusha simu nasikia yeye hajakata bado anaamiwa watu ila anaonekana yupo club anasema " HUYU NDO MWANANGU WENGI MIYEYESHO NAMKUBALI SANA "
Hahaha ulituma?
 
Nilikuwa na shida nikampigia simu mjomba wangu, akajua nimekata kumbe bado nikasikia wanaongea na mkewe ,tumpe mtoto wetu akawe wakuosha vyombo....

Nilimpigia saa hiyo hiyo tena nikamwambia nimewasikia...ila nilijisikia vibaya sana wao kuongea vile sikupenda.
Duh pole sana mkuu
 
Hao unafurahia Mwenyewe watakuwa hawakujui- ila tunaokujua tukianza kukusema hutaandika hivi, nauhakika 😅😅😅😅
Kama unanijua it's only 0.00001%. Kuniona siku moja au mbili haifanyi unijue. Hata ukisema yangu unayoyajua bado nitafurahi sitanuna.
Yaani unijue kuliko hawa ninao ishi nao miaka na miaka itakuwa maajabu.
 
Hahahha...
Kitu wanawake wasichojua ni kwamba sisi wanaume tumeumbiwa tamaa sana, sometimes kichwa kidogo ukikiachia utawala na maamuzi kinaweza amua kipite kwa marafiki wa demu wako, au mwanamke yeyote utakayekutana naye, ndiyo maana uzi wa kimasihara umeenda viral.
Hahahhh
 
Yani mimi nikimaliza tu kuongea sisubirigi ukate wewe mi nakata tu chaap show imeisha.
 
Kuna yale maneno ya mwisho hutokea unayasikia kwa bahati mbaya. Mwenzio anajua amekata simu kumbe bado iko hewani. Au anakosa subira na kuyaongea kidole kikielekea kukata simu.

Nilipigiwa simu na shangazi yangu. Tukaongea, then akaniambia hana hela ya sukari. Nikasema, nitakutumia shangazi.

Kumaliza kuongea tukaagana. Ila kwa mbali nikasikia anasema "shenzi kabisa, nilishika mavi yako kukutawaza." Dah!!! Sikutegemea.
🤣🤣🤣Shangazi alikuwa sawa..
 
Madem zangu wanajifanyaga 'mazuri haya!'. Mi moyoni hujisemea 'maninaa moyoni una lako'.

Sema dem mmoja sikumoja amelewa akanichana wakati akinipapasa akaropoka 'duh! Kama majani!' 🤣🤣🤣
Ha haaaa si muwe mnayapunguza jamani na Ile mnatolea ndevu?
 
Alimipigia demu wangu mmoja hv nikapokea fasta...nikasika "Nyamazeni nyamazeni jaman naongea na yule kaka mtema mate akionge na mnuka mdomo yule,anayevaa mashat makubwa ka gauni..."nikamwambia ahsante sana ..😐
Kwani hupigi mswaki vizuri?
 
Mi ni mnafiki nyumbani nilikua naishi maisha mengine na chuo naishi maisha mengine kabisa ya kishetani.Sasa siku moja bimkubwa (mfia dini) akanipigia nikajibadilisha na kasauti 'bwana Yesu asifiwe' tukapiga piga stori kumbe mwenzake niko valuu za kutosha tukaagana simu nikairusha mezani nikamrudia mate wangu kumpa feedback za siku nzima.Aisee nilitukana siku ile,wanawake niliowakaza,misambwanda,,yaaani nilijimwaga vibaya mate wangu naye anachombeza kwa matusi tu.Nikalala zangu kesho naamka nakutana na text ' USIWE UNATUKANA BABA'.Hakuwahi kuniambia kwa nini aliniandikia vile ila nilijua ni kwa nini.Na akaamua kuja chuo kuangalia naishi vipi.Nashangaa siku moja washikaji wananiambia bi mkubwa yupo getini huko kufika yuko na maandazi,sembe,dagaaa ikabidi nijitwishe mpaka geto .Jioni huyo akarudi zake kwa ndugu zake.Asante.
 
Wanangu mmi kanipigia simu nikapokea " we chizi uko wapi naibika hapa nitumie Chochote kwa tigopesa na fanya fasta fala wewe" nikamwambia "haya siburia kidogo"

Nikashusha simu nasikia yeye hajakata bado anaamiwa watu ila anaonekana yupo club anasema " HUYU NDO MWANANGU WENGI MIYEYESHO NAMKUBALI SANA "
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mwanao Sana huyooo
 
Back
Top Bottom