Tushirikishane maneno uliyosikia, anadhani amekata simu kumbe unasikia

Tushirikishane maneno uliyosikia, anadhani amekata simu kumbe unasikia

Wanangu mmi kanipigia simu nikapokea " we chizi uko wapi naibika hapa nitumie Chochote kwa tigopesa na fanya fasta fala wewe" nikamwambia "haya siburia kidogo"

Nikashusha simu nasikia yeye hajakata bado anaamiwa watu ila anaonekana yupo club anasema " HUYU NDO MWANANGU WENGI MIYEYESHO NAMKUBALI SANA "
wanaume hatuna longolongo
 
Haijawahi kunitokea hii ila nilimtongozaga rafiki wa demu wangu ambae tulikua tumegombana kumbe ilkua ni conference call wote wanasikia na mimi sijui 😭
Hahahha...
Kitu wanawake wasichojua ni kwamba sisi wanaume tumeumbiwa tamaa sana, sometimes kichwa kidogo ukikiachia utawala na maamuzi kinaweza amua kipite kwa marafiki wa demu wako, au mwanamke yeyote utakayekutana naye, ndiyo maana uzi wa kimasihara umeenda viral.
 
Mimi nilipigiwa na baba yangu video call...it was his first time doing that. Nilikua sebleni na dada yangu mkubwa nilikwenda kumtembelea kwake.

Tukaongea tumemaliza nikajua kakata. Mi nikajimaliza huku "makubwa leo huyu mzee kapiga video call. Mvua zitanyesha " daddekkk nasikia mtu anacheka sana kwenye simu af akasema "we mtoto wewe yani unanisema kabisa eti sijawah kukuvideo call...." Nikaua soo hamna baba tunapiga tu story na dada hapo aibu pambee usoni.... Nikasema sasa ningeropokwa meng leo ingekuaje....kiruuu
 
Kuna yale maneno ya mwisho hutokea unayasikia kwa bahati mbaya. Mwenzio anajua amekata simu kumbe bado iko hewani. Au anakosa subira na kuyaongea kidole kikielekea kukata simu.

Nilipigiwa simu na shangazi yangu. Tukaongea, then akaniambia hana hela ya sukari. Nikasema, nitakutumia shangazi.

Kumaliza kuongea tukaagana. Ila kwa mbali nikasikia anasema "shenzi kabisa, nilishika mavi yako kukutawaza." Dah!!! Sikutegemea.
Ulituma
 
Nilikua form six 2009,siku moja mate wangu wa o level akanicheck kwenye simu akaniambia kuna mdogo wake yuko form fjve shuleni kwetu,hivyo aliniomba nimpe kampani kitaaluma kwa kumsaidia past papers na vitini.
Nilimkubalia na aliniunganisha na dogo pia kwa conference call. Baada ya mazungumzo kuisha nilimuelekeza dogo namna ambavyo angenipata darasani kesho yake.
Baada ya hapo wakijua nimekata simu,mshikaji akaanza kunikandia kwa ndugu yake,"huyo hana lolote hata uwezo wake kitaaluma ni mdogo,hapo shuleni yupo tu kwa sababu ya hela za baba yake.Niliumia sana coz nilienda pale school na credits zangu nne,hivyo nilikua naweza kusoma tahasusi yoyote ya sanaa isipokua KLF NA HGE.
The next day mdogo wake alipokuja class sikumpa ushirikiano na baada ya hapo mshikaji nae hakunitafta tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alimipigia demu wangu mmoja hv nikapokea fasta...nikasika "Nyamazeni nyamazeni jaman naongea na yule kaka mtema mate akionge na mnuka mdomo yule,anayevaa mashat makubwa ka gauni..."nikamwambia ahsante sana ..😐
 
Alimipigia demu wangu mmoja hv nikapokea fasta...nikasika "Nyamazeni nyamazeni jaman naongea na yule kaka mtema mate akionge na mnuka mdomo yule,anayevaa mashat makubwa ka gauni..."nikamwambia ahsante sana ..[emoji52]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Alimipigia demu wangu mmoja hv nikapokea fasta...nikasika "Nyamazeni nyamazeni jaman naongea na yule kaka mtema mate akionge na mnuka mdomo yule,anayevaa mashat makubwa ka gauni..."nikamwambia ahsante sana ..[emoji52]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaah

Kuna manzi yangu tulipomaliza kuongea akaanza kuniongelea kwa wenzake 'huyu mwanaume ana manywele marefu mapajani hadi miguuni km nyaaani...'

Daaah niliamua kukata tu simu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom