Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Nitaanza kudelay kukata, labda naweza bahatika nikasikia😀Hongera kwako naona unakimbiliaga Red Button 🥴
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaanza kudelay kukata, labda naweza bahatika nikasikia😀Hongera kwako naona unakimbiliaga Red Button 🥴
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me nilipokea haraka haraka yaani nilikua na cm mkononi ile anapiga ata haijaita nikawa nimepokea.
Nasikia "uwa hapokeagi simu uyu.. anadharau tokea apate kazi.."
wanaume hatuna longolongoWanangu mmi kanipigia simu nikapokea " we chizi uko wapi naibika hapa nitumie Chochote kwa tigopesa na fanya fasta fala wewe" nikamwambia "haya siburia kidogo"
Nikashusha simu nasikia yeye hajakata bado anaamiwa watu ila anaonekana yupo club anasema " HUYU NDO MWANANGU WENGI MIYEYESHO NAMKUBALI SANA "
Hahahha...Haijawahi kunitokea hii ila nilimtongozaga rafiki wa demu wangu ambae tulikua tumegombana kumbe ilkua ni conference call wote wanasikia na mimi sijui 😭
Daa!😅😅Me nilipokea haraka haraka yaani nilikua na cm mkononi ile anapiga ata haijaita nikawa nimepokea.
Nasikia "uwa hapokeagi simu uyu.. anadharau tokea apate kazi.."
.......Umeweka sukari ya AzamHaijawahi kunitokea hii ila nilimtongozaga rafiki wa demu wangu ambae tulikua tumegombana kumbe ilkua ni conference call wote wanasikia na mimi sijui 😭
UlitumaKuna yale maneno ya mwisho hutokea unayasikia kwa bahati mbaya. Mwenzio anajua amekata simu kumbe bado iko hewani. Au anakosa subira na kuyaongea kidole kikielekea kukata simu.
Nilipigiwa simu na shangazi yangu. Tukaongea, then akaniambia hana hela ya sukari. Nikasema, nitakutumia shangazi.
Kumaliza kuongea tukaagana. Ila kwa mbali nikasikia anasema "shenzi kabisa, nilishika mavi yako kukutawaza." Dah!!! Sikutegemea.
Uache usnitchNiliwahi kumsimanga mtu na mama dakika 15 nzima kumbe hajakata simu.
Alisikia kila kitu nioijiskia vibaya sitasahau
Ilinitokea kweli kipindi hicho nilikua advance Lol.......Umeweka sukari ya Azam
Duu chumvi imezidi mkuu💩Alimipigia demu wangu mmoja hv nikapokea fasta...nikasika "Nyamazeni nyamazeni jaman naongea na yule kaka mtema mate akionge na mnuka mdomo yule,anayevaa mashat makubwa ka gauni..."nikamwambia ahsante sana ..😐
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Alimipigia demu wangu mmoja hv nikapokea fasta...nikasika "Nyamazeni nyamazeni jaman naongea na yule kaka mtema mate akionge na mnuka mdomo yule,anayevaa mashat makubwa ka gauni..."nikamwambia ahsante sana ..[emoji52]
sasa unacheka nn.....😎[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Me nilipokea haraka haraka yaani nilikua na cm mkononi ile anapiga ata haijaita nikawa nimepokea.
Nasikia "uwa hapokeagi simu uyu.. anadharau tokea apate kazi.."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alimipigia demu wangu mmoja hv nikapokea fasta...nikasika "Nyamazeni nyamazeni jaman naongea na yule kaka mtema mate akionge na mnuka mdomo yule,anayevaa mashat makubwa ka gauni..."nikamwambia ahsante sana ..[emoji52]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah
Kuna manzi yangu tulipomaliza kuongea akaanza kuniongelea kwa wenzake 'huyu mwanaume ana manywele marefu mapajani hadi miguuni km nyaaani...'
Daaah niliamua kukata tu simu