Yule mjinga alipokea bila kujua kama keshapokea, nikasikia anamwambia mwenzie eti "Cecy huyu ndio yule jamaa niliyewaambiaga ananuka kikwapa ni hatari, basi tu kwa vile huwa ananijali"wakacheeeeeeeeka.......nikakata simu, muda sio mrefu akanipigia tena nikamwambia ngoja kwanza nikaoge nipunguze harufu ya kikwapa naona kila ninaepishana nae hapa anageuka kuniangalia, akakata simu ghafla...ikawa ndio jumla hakunitafuta tena Ng'ombe yule, nikasema huu mchezo lazima niibuke mshindi tu.
Nikafanya juu chini nikafanikiwa kumnasa yule rafiki yake Cecy (ndio jina lake halisi) hivi na vile nenda rudi panda shuka nyingi hatimae nikamzagamua pumbavu, siku moja nikaweka status nikiwa na Cecy......alikasirika vibaya sana akanipigia na matusi kibao, nikamwambia we ulishindwa kuvumilia kikwapa changu lakini mwenzio Cecy amekivumilia [emoji1787][emoji1787][emoji1787], akaniambia eti aliongea vile ili kumkatisha tamaa kwa sababu rafiki yake alionesha dalili za kunitaka, nikamwambia basi ndio amenipata ivo