Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Pole. Hahahahaaaa!!!Me nilipokea haraka haraka yaani nilikua na cm mkononi ile anapiga ata haijaita nikawa nimepokea.
Nasikia "uwa hapokeagi simu uyu.. anadharau tokea apate kazi.."
HahahahahKuna yale maneno ya mwisho hutokea unayasikia kwa bahati mbaya. Mwenzio anajua amekata simu kumbe bado iko hewani. Au anakosa subira na kuyaongea kidole kikielekea kukata simu.
Nilipigiwa simu na shangazi yangu. Tukaongea, then akaniambia hana hela ya sukari. Nikasema, nitakutumia shangazi. Kumaliza kuongea tukaagana. Ila kwa mbali nikasikia anasema "shenzi kabisa, nilishika mavi yako kukutawaza." Dah!!! Sikutegemea.
Ukome na Muache umbea[emoji1787][emoji1787]Niliwahi kumsimanga mtu na mama dakika 15 nzima kumbe hajakata simu.
Alisikia kila kitu nioijiskia vibaya sitasahau
Madem zangu wanajifanyaga 'mazuri haya!'. Mi moyoni hujisemea 'maninaa moyoni una lako'.Daaah
Kuna manzi yangu tulipomaliza kuongea akaanza kuniongelea kwa wenzake 'huyu mwanaume ana manywele marefu mapajani hadi miguuni km nyaaani...'
Daaah niliamua kukata tu simu
🤣🤣🤣🤣🤣 loh nimecheka balaaDaaah
Kuna manzi yangu tulipomaliza kuongea akaanza kuniongelea kwa wenzake 'huyu mwanaume ana manywele marefu mapajani hadi miguuni km nyaaani...'
Daaah niliamua kukata tu simu
Hahahahahaaaaa!!! Umezidisha mtibwa mkuu!!Daaah
Kuna manzi yangu tulipomaliza kuongea akaanza kuniongelea kwa wenzake 'huyu mwanaume ana manywele marefu mapajani hadi miguuni km nyaaani...'
Daaah niliamua kukata tu simu
Madem zangu wanajifanyaga 'mazuri haya!'. Mi moyoni hujisemea 'maninaa moyoni una lako'.
Sema dem mmoja sikumoja amelewa akanichana wakati akinipapasa akaropoka 'duh! Kama majani!' 🤣🤣🤣
Hakuna asiyesemwa hata uweje utasemwa tuWene manywele marefu tunasemwa sana kumbe
hahahahahahaMe nilipokea haraka haraka yaani nilikua na cm mkononi ile anapiga ata haijaita nikawa nimepokea.
Nasikia "uwa hapokeagi simu uyu.. anadharau tokea apate kazi.."
hahahahaha"shenzi kabisa, nilishika mavi yako kukutawaza."
Aisee nasemwa sana sana, mambo ya kijinga hadi nafurahi mwenyewe. Basi nawafanyia makusudi ili wasikose cha kuongeaKumbe na
Wewe umesemwa nini tujuze
Si mnyoeWene manywele marefu tunasemwa sana kumbe
Ila sijawahi msikia mtu akinisema kwenye simuKusemwa sio vibaya pia inakujenga ila daah