Tushirikishane maneno uliyosikia, anadhani amekata simu kumbe unasikia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Alimipigia demu wangu mmoja hv nikapokea fasta...nikasika "Nyamazeni nyamazeni jaman naongea na yule kaka mtema mate akionge na mnuka mdomo yule,anayevaa mashat makubwa ka gauni..."nikamwambia ahsante sana ..[emoji52]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🤣🤣🤣🤣shangazi lakini si kasema ukweli?
 
Nilikua naongea na mama, sasa tukapiga umbeya na kusogoa wee, tukamaliza na kuagana, yeye akajua nimeshakata, kumbe mie akuuuh nli delay, nasikia anasema

"Yaan huyu kichaa utadhan sijamzaa mie, haijulikan mama nan, mtoto nan, limenizoea kupitiliza linaniona km shost ake tu"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nilicheka kwa nguvu mnoo, akastuka, nkakata. Baadae akatuma text.

"Wee umezidi bhana na ukome" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yule mjinga alipokea bila kujua kama keshapokea, nikasikia anamwambia mwenzie eti "Cecy huyu ndio yule jamaa niliyewaambiaga ananuka kikwapa ni hatari, basi tu kwa vile huwa ananijali"wakacheeeeeeeeka.......nikakata simu, muda sio mrefu akanipigia tena nikamwambia ngoja kwanza nikaoge nipunguze harufu ya kikwapa naona kila ninaepishana nae hapa anageuka kuniangalia, akakata simu ghafla...ikawa ndio jumla hakunitafuta tena Ng'ombe yule, nikasema huu mchezo lazima niibuke mshindi tu.

Nikafanya juu chini nikafanikiwa kumnasa yule rafiki yake Cecy (ndio jina lake halisi) hivi na vile nenda rudi panda shuka nyingi hatimae nikamzagamua pumbavu, siku moja nikaweka status nikiwa na Cecy......alikasirika vibaya sana akanipigia na matusi kibao, nikamwambia we ulishindwa kuvumilia kikwapa changu lakini mwenzio Cecy amekivumilia [emoji1787][emoji1787][emoji1787], akaniambia eti aliongea vile ili kumkatisha tamaa kwa sababu rafiki yake alionesha dalili za kunitaka, nikamwambia basi ndio amenipata ivo
 
Duuh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie khaaaah
 
Pambee maana yake Ni Nini mkuu?
 
Kuna rafiki yang alimpigia cm demu wake akimtak aje gheto waduu sasa jamaa akajua demu kakata cm maana yeye hanaga tabia ya kukata hata akipiga. Sindo akaanza ropoka......yaan huyu k*m* akija nitamt*mb* mpaka k iwake moto...tukasikia kwenye simu aaah kumbe ndo ulivyonipangia eeerh sijii....
 
Hii inauma kinyama 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…