Tushirikishane maneno uliyosikia, anadhani amekata simu kumbe unasikia

Hahaha ulituma?
 
Duh pole sana mkuu
 
Hao unafurahia Mwenyewe watakuwa hawakujui- ila tunaokujua tukianza kukusema hutaandika hivi, nauhakika 😅😅😅😅
Kama unanijua it's only 0.00001%. Kuniona siku moja au mbili haifanyi unijue. Hata ukisema yangu unayoyajua bado nitafurahi sitanuna.
Yaani unijue kuliko hawa ninao ishi nao miaka na miaka itakuwa maajabu.
 
Hahahhh
 
Yani mimi nikimaliza tu kuongea sisubirigi ukate wewe mi nakata tu chaap show imeisha.
 
🤣🤣🤣Shangazi alikuwa sawa..
 
Madem zangu wanajifanyaga 'mazuri haya!'. Mi moyoni hujisemea 'maninaa moyoni una lako'.

Sema dem mmoja sikumoja amelewa akanichana wakati akinipapasa akaropoka 'duh! Kama majani!' 🤣🤣🤣
Ha haaaa si muwe mnayapunguza jamani na Ile mnatolea ndevu?
 
Alimipigia demu wangu mmoja hv nikapokea fasta...nikasika "Nyamazeni nyamazeni jaman naongea na yule kaka mtema mate akionge na mnuka mdomo yule,anayevaa mashat makubwa ka gauni..."nikamwambia ahsante sana ..😐
Kwani hupigi mswaki vizuri?
 
Mi ni mnafiki nyumbani nilikua naishi maisha mengine na chuo naishi maisha mengine kabisa ya kishetani.Sasa siku moja bimkubwa (mfia dini) akanipigia nikajibadilisha na kasauti 'bwana Yesu asifiwe' tukapiga piga stori kumbe mwenzake niko valuu za kutosha tukaagana simu nikairusha mezani nikamrudia mate wangu kumpa feedback za siku nzima.Aisee nilitukana siku ile,wanawake niliowakaza,misambwanda,,yaaani nilijimwaga vibaya mate wangu naye anachombeza kwa matusi tu.Nikalala zangu kesho naamka nakutana na text ' USIWE UNATUKANA BABA'.Hakuwahi kuniambia kwa nini aliniandikia vile ila nilijua ni kwa nini.Na akaamua kuja chuo kuangalia naishi vipi.Nashangaa siku moja washikaji wananiambia bi mkubwa yupo getini huko kufika yuko na maandazi,sembe,dagaaa ikabidi nijitwishe mpaka geto .Jioni huyo akarudi zake kwa ndugu zake.Asante.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mwanao Sana huyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…