Tusichukulie Kirahisi, Rais Samia anaweza kufika Mahakamani kuwa prove wrong. Hivyo Lissu ajiandae kisawasawa

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Hamjambo!

Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu.

Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia heshima mahakama na kuifanya ionekane haina lolote. Kwamba hiyo ndio ikawa tegemeo na mlango wa Lisu kujiokoa.

Hao mashahidi wanaweza kufika. Na kwa mazingira yalivyo inaonekana watafika. Hivyo Tundu Lisu ajipange haswa.

Ni hayo tuu
 
Ni mwenyekiti wangu Raisi mama Samia ila kiukweli mwenyekiti wetu hawezi kwenda kujibu yale maswali ya TAL hata kidogo maana mama yetu tunamjua hata kwenye vikao vya chama lazima aingie na vimemo alivyoandikiwa vya kuongea na kujibu na huwa tunapewa kabisa maswali ya kumuuliza ili ionekane ana upeo wa kujibu
 
Usimkadirie mtu aiseeh!
Hasa kwenye mambo kama haya ya kuwekana nyuma ya nondo. Watu wanabadilikaga unabaki unashangaa tuu mahakamani😆😀
 
Hamjambo!

Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu.

Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia heshima mahakama na kuifanya ionekane haina lolote. Kwamba hiyo ndio ikawa tegemeo na mlango wa Lisu kujiokoa.

Hao mashahidi wanaweza kufika. Na kwa mazingira yalivyo inaonekana watafika. Hivyo Tundu Lisu ajipange haswa.

Ni hayo tuu
Haitokaa itokee
 
Unafikiri Tundu Lissu hajajipanga?
Wapeni summons waje mahakamani kama kweli wanaweza
 
Kwa sababu huelewi uzito wa kesi yenyewe.
Ninyi ndio wale mnawasapuza wenzenu yakiwakuta hamna msaada wowote zaidi ya unafiki na kelele kama mbwa koko zisizo na msaada.
Unaandika kama umekatwa kichwa ? Je Lissu ajipange kwa lipi? Anayetakiwa kujipanga ni shahidi au Lissu?

Mambo mengine yakupite sio Kila kitu uandike na wewe uonekane
 
Tupo hapa!

Wewe unafikiri Samia hata akifika mahakamani Lisu atamuuliza swali lipi la kumnasua dhidi ya kesi yake?

Mkuu Yani katika mashahidi wote hao aliowataja TAL atapata mserereko na urahisi ni kwa mwenyekiti wangu na Rais wangu Samia kwanza ni mwepesi wa kupaniki hata kwa maswali rahisi na mropokaji sisi tunaekaa nae kwenye vikao vya chama tunamjua vizuri sana
 
Hata wewe huamini ndio maana unaandika "anaweza kufika".

Lissu hiyo ni field yake usimkumbushe kujiandaa, Samia mgeni wa field ndie ajiandae.

Samia sio mshtakiwa. Hilo liweke kichwani.

Unasema ni field yake wakati tayari amekutwa na kesi ya kujibu.
So ni muda wa yeye kujitetea na kutoa ushahidi kwamba hah usikie.

Mpaka unakutwa na kesi ya kujibu ni kumaanisha ushahidi wa aliyekushtaki umekubalika
 
Back
Top Bottom