Pule
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 412
- 767
Unafikiri lissu ni ndezi kwamba hajui anachofanya? huyo jamaa ni mtu mwenye akili nyingi sana Kaa uone mchezo unavyochezwa.Hamjambo!
Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu.
Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia heshima mahakama na kuifanya ionekane haina lolote. Kwamba hiyo ndio ikawa tegemeo na mlango wa Lisu kujiokoa.
Hao mashahidi wanaweza kufika. Na kwa mazingira yalivyo inaonekana watafika. Hivyo Tundu Lisu ajipange haswa.
Ni hayo tuu