1. Yote sawa kufikiri kwako na kufikiri kwangu
2. Tundu Lissu ajiandaaje unadhani? Kama ilivyo kwa mashahidi wengine wote waliokwisha kukutana na TL, ndivyo ambavyo SSH anapaswa kujiandaa kukumbana na moto wake pale kizimbani
Subiri SSH aje.
Ukistaajabu ya Musa, utapigwa na bumbuwazi na Yale ya Firauni (Farao!!)
Ukielewa maana ya uhaini na mwenendo wa Shauri hili lilivyoenda mpaka kufikia hapa, hutauliza maswali haya bali utaelewa ni kwanini SSH (aliyekuwa Rais by then) anapaswa kuja kumtetea TL!!
Uhaini ni nini kwani?
Samia Suluhu Hassan alikuwa na cheo na madaraka gani by then?
Aliwahi kutishiwa na kufanyiwa jaribio la kuuliwa na TL?
Mbona waleta mashitaka na mashahidi wao wanasema kitendo hiki cha uhaini Baraza la Usalama wa taifa chini ya uenyekiti wa Samia (by then Rais) wala walikuwa hawajui, hawakupewa taarifa?