Je kama atafika kesi itaendaje?Tayari huko mawakili wa serikali ya hovyo wameanza kumkingia kifua asiende mahakamani! wakijua kabisa akienda atakaangwa vibaya, unafikiri lisu muoga muoga?
Je kama atafika kesi itaendaje?Tayari huko mawakili wa serikali ya hovyo wameanza kumkingia kifua asiende mahakamani! wakijua kabisa akienda atakaangwa vibaya, unafikiri lisu muoga muoga?
Anajua na alijua..duh sasa hakujua haya bwana lisu ?
Sio kujipotezea muda? "Rais Samia ndo kamshtaki", Sasa hata akienda atamtetea vipi?Lissu yupo mbele ya muda sana na kumuita sa100 awe shahidi wake hiyo ni tactic nzuri sana
Jibu la HojaHamjambo!
Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu.
Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia heshima mahakama na kuifanya ionekane haina lolote. Kwamba hiyo ndio ikawa tegemeo na mlango wa Lisu kujiokoa.
Hao mashahidi wanaweza kufika. Na kwa mazingira yalivyo inaonekana watafika. Hivyo Tundu Lisu ajipange haswa.
Ni hayo tuu
Jibu la Hoja
Nakubaliana kwamba Lissu hapaswi kutegemea kutofika kwa mashahidi kama njia ya ushindi. Mahakama ni sehemu ya ushahidi na hoja, hivyo kila upande unatakiwa kujiandaa kwa lolote.
Lakini pia tusihitimishe mapema kwamba Rais Samia atafika mahakamani au kwamba ushahidi fulani tayari unaelekea upande mmoja. Mwisho wa siku, mahakama itaangalia ushahidi uliowasilishwa, si hisia wala dhana za mitandaoni.
Lissu ajiandae kisawasawa, na upande wa pili nao ujiandae. Hapo ndipo ukweli na haki vitakapopata nafasi ya kuonekana.
Kama muda Lissu ashapotezewa sana tu tokea enzi ya Mkapa cha msingi mashaidi wafike mahakamani ndo tutaona mbivu na mbichi.Sio kujipotezea muda? "Rais Samia ndo kamshtaki", Sasa hata akienda atamtetea vipi?
Itakuwa Maajabu ya Karne! Itaandikwa hata kwenye Guiness Book! Yaani utegemee Mama anavyomwogopa Lissu aje kutoa ushahidi mahakamani kweli?
Umesha fatilia kesiMimi nimetoa tuu tahadhari.
Najaribu kufikiri ni maswali gani atayaandaa Lisu kwa Samia na viongozi wengine ambayo yatamtetea yeye na kuthibitisha kwamba hana hatia.
Je kama hawatafika kesi itaendaje?Kama mawakili wanachemka peupeeee mpaka wanafedheheshwa tena kwa aibu na TAL basi hao mashahidi kamwe hawataweza toa utetezi wowote wa maana mbele ya TAL. Ila sema kwa kuwa judges wanaendeshwa kwa rimoti basi TAL hatopata haki yake.
Ajipange kupoteza muda,kesi itasikilizwa kwa miaka mitatu akikomaa kuita mashahidi wa kukomoaUshauri wangu Lisu ajipange. Hilo tuu
bi kizmkaz atachafua hali ya hewa buree mahakamani kwa kihoroItakuwa Maajabu ya Karne! Itaandikwa hata kwenye Guiness Book! Yaani utegemee Mama anavyomwogopa Lissu aje kutoa ushahidi mahakamani kweli?
Ajipange kupoteza muda,kesi itasikilizwa kwa miaka mitatu akikomaa kuita mashahidi wa kukomoa
Hapa umethibitisha uwezo wako mdogo sana wa masuala ya kisheria. Tena hata yasiyohitaji mtu kuwa na degree ya sheria mkuu. Kisheria mwenye wajibu wa kuthibisha tuhuma ni mleta mashtaka siyo mshtakiwa. Tumia hata Google kuelewa kwamba kukutwa na kesi ya kujibu ni hitaji dogo sana la kisheria. Linaitwa "probable cause". Probable cause haimaanishi kwamba umekutwa na hatia. Ni tuhuma tu - haijalishi ukubwa wa tuhuma. Umeshawahi kusikia dhana ya "you are innocent until proven guilty (hauna hatia mpaka ukutwe na hatia pasi na shaka)"? Hiyo ndiyo dhana ya kisheria inayotumika hata kwa sheria za Kitanzania.Samia sio mshtakiwa. Hilo liweke kichwani.
Unasema ni field yake wakati tayari amekutwa na kesi ya kujibu.
So ni muda wa yeye kujitetea na kutoa ushahidi kwamba hah usikie.
Mpaka unakutwa na kesi ya kujibu ni kumaanisha ushahidi wa aliyekushtaki umekubalika
Awe anahusika kwenye kesi moja kwa moja huwezi tu kuita mtu yeyote ili mradi Tundu Lissu kwa sababu ni kesi dhidi ya uhaini ametumia fursa japo anajua ushaidi wao hautamsaidia kwenye utetezi wake mashidi wale wengine ndio msingi wa utetezi hawa wengine ni ku-attract public attention tuHatari sana hapo.
Lakini ili mtu awe shahidi anatakiwa kuwaje au iweje?
Hamjambo!
Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu.
Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia heshima mahakama na kuifanya ionekane haina lolote. Kwamba hiyo ndio ikawa tegemeo na mlango wa Lisu kujiokoa.
Hao mashahidi wanaweza kufika. Na kwa mazingira yalivyo inaonekana watafika. Hivyo Tundu Lisu ajipange haswa.
Ni hayo tuu
Very interesting.....Nigeria ya Sani Abacha na Chief Abiola😂😂😂😂