Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 2,714
- 4,074
Hata yeye sidhani kama anategemea waje wamnasue!Tupo hapa!
Wewe unafikiri Samia hata akifika mahakamani Lisu atamuuliza swali lipi la kumnasua dhidi ya kesi yake?
Hata yeye sidhani kama anategemea waje wamnasue!Tupo hapa!
Wewe unafikiri Samia hata akifika mahakamani Lisu atamuuliza swali lipi la kumnasua dhidi ya kesi yake?
Samia sio mshtakiwa. Hilo liweke kichwani.
Unasema ni field yake wakati tayari amekutwa na kesi ya kujibu.
So ni muda wa yeye kujitetea na kutoa ushahidi kwamba hah usikie.
Mpaka unakutwa na kesi ya kujibu ni kumaanisha ushahidi wa aliyekushtaki umekubalika

NENO KIKUNUKISHA LIPO KWENYE KAMUSI IPI?Kwa sababu huelewi uzito wa kesi yenyewe.
Ninyi ndio wale mnawasapuza wenzenu yakiwakuta hamna msaada wowote zaidi ya unafiki na kelele kama mbwa koko zisizo na msaada.
We ndugu yaani Rais akubali kuwa cross examined na Lissu unautani wewe.Remember ushahidi wake sio kama kesi za kawaida tu kwamba unaenda mbali kupiga storyHamjambo!
Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu.
Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia heshima mahakama na kuifanya ionekane haina lolote. Kwamba hiyo ndio ikawa tegemeo na mlango wa Lisu kujiokoa.
Hao mashahidi wanaweza kufika. Na kwa mazingira yalivyo inaonekana watafika. Hivyo Tundu Lisu ajipange haswa.
Ni hayo tuu
Ushahidi upi? Kwa neno kukinukisha? ToaMimi naona unachokiona ila wewe ndio huoni ninachokisema.
Kama amekutwa na kesi ya kujibu kisiasa unafikiri haiwezekani kukutwa na hatia kisiasa. Na haohao mashahidi aliowaita wakiwa wamefika na akawahoji atakavyo?
Lete maana ye neno kukinukisha toka kwenye kamusi kwanzaKwa kweli kwenye hili upeo wangu uko chini sana.
Ila kwa namna ambavyo mahakama zetu zilivyokuwa compromised hata wakimuita. Mimi personally sitaona kuwa mahakama zinanguvu Bali nitaona ni namna nyingine ya cinema 🎥Lakini pia pia ni mtego kwa mahakama kwamba inanguvu ya kumuita mtu yeyote nchi hii bila kujali nafasi na cheo chake
Unachekesha kweli kweli na kusikitisha.Ushauri wangu Lisu ajipange. Hilo tuu
Unachekesha kweli kweli na kusikitisha.Ushauri wangu Lisu ajipange. Hilo tuu
kumbe unajitambua kidogoNi mwenyekiti wangu Raisi mama Samia ila kiukweli mwenyekiti wetu hawezi kwenda kujibu yale maswali ya TAL hata kidogo maana mama yetu tunamjua hata kwenye vikao vya chama lazima aingie na vimemo alivyoandikiwa vya kuongea na kujibu na huwa tunapewa kabisa maswali ya kumuuliza ili ionekane ana upeo wa kujibu
Mkuu mimi ni moja ya watu ninaomkubali Lisu. Lakini hapa nikiri upeo wangu umefika mwisho.
Ndio nataka kuona kama Samia akifika mahakamani Lisu amejipangaje?
Hofu yangu ni nilichouliza na kutoa mada hii. Vipi kama hajajipanga vyakutosha?