Tusichukulie Kirahisi, Rais Samia anaweza kufika Mahakamani kuwa prove wrong. Hivyo Lissu ajiandae kisawasawa

Tusichukulie Kirahisi, Rais Samia anaweza kufika Mahakamani kuwa prove wrong. Hivyo Lissu ajiandae kisawasawa

Awe anahusika kwenye kesi moja kwa moja huwezi tu kuita mtu yeyote ili mradi Tundu Lissu kwa sababu ni kesi dhidi ya uhaini ametumia fursa japo anajua ushaidi wao hautamsaidia kwenye utetezi wake mashidi wale wengine ndio msingi wa utetezi hawa wengine ni ku-attract public attention tu

Sasa hii si hatari kwa upande wake
 
Je kama atafika kesi itaendaje?
KWanza amini hatofika! na akifika atadhalilishwa kwa maswali ya kisheria ya Lissu kumbuka mama hajasoma! Elimu yake ndio ivo yaku unga unga tu kwenye uzoefu wa kazi, lakini pia mama anawahi kupanic sio mtulivu kabisa we angalia hata akiwa anahojiwa na waandishi wa habari sasa umpeleke kwa lisu mtu mwenyewe richa ya kujua sheria lakini anakipaji cha dharau!
 
Samia sio mshtakiwa. Hilo liweke kichwani.

Unasema ni field yake wakati tayari amekutwa na kesi ya kujibu.
So ni muda wa yeye kujitetea na kutoa ushahidi kwamba hah usikie.

Mpaka unakutwa na kesi ya kujibu ni kumaanisha ushahidi wa aliyekushtaki umekubalika
Hii kesi wanaichukulia poa ile imeshakaa vibaya sana
 
Samia sio mshtakiwa. Hilo liweke kichwani.

Unasema ni field yake wakati tayari amekutwa na kesi ya kujibu.
So ni muda wa yeye kujitetea na kutoa ushahidi kwamba hah usikie.

Mpaka unakutwa na kesi ya kujibu ni kumaanisha ushahidi wa aliyekushtaki umekubalika
Ushahidi wa video umetupiliwa mbali mapema, kwa hiyo kukutwa na kesi ya kujibu ni kutokana na siasa, kama hata hilo hulitambui, pole nyingi sana kwako.
 
Wewe hushangai hiyo kesi ya Lisu?
Fikiria mtu akupeleke ndani alafu huyohuyo awe shahidi wako.

Kwq mazingira ya hiyo kesi. Sioni namna hao mashahidi hata wakifika huko mahakamani wakimsaidia Tundu Lisu kwa namna yoyote.

Hofu yangu isije ikawa Lisu hakujiandaa. Pili, hakutegemea kesi ingekuwa serious kwa kiwango hiki na kufika huku

Is just a strategy regardless
 
Back
Top Bottom