Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Sio kweli
Hata wakija wataongea nini cha zaidi, kwamba nao watasema, Alisema "WATAKINUKISHA" ?? 🤔 🤔
Ni mwenyekiti wangu Raisi mama Samia ila kiukweli mwenyekiti wetu hawezi kwenda kujibu yale maswali ya TAL hata kidogo maana mama yetu tunamjua hata kwenye vikao vya chama lazima aingie na vimemo alivyoandikiwa vya kuongea na kujibu na huwa tunapewa kabisa maswali ya kumuuliza ili ionekane ana upeo wa kujibu
Haitokaa itokeeHamjambo!
Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu.
Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia heshima mahakama na kuifanya ionekane haina lolote. Kwamba hiyo ndio ikawa tegemeo na mlango wa Lisu kujiokoa.
Hao mashahidi wanaweza kufika. Na kwa mazingira yalivyo inaonekana watafika. Hivyo Tundu Lisu ajipange haswa.
Ni hayo tuu
Thubutuu!!!!
Ndoto ya mchana
Najaribu kuangalia Uzito wa wa Orodha ya hao watu waliotajwa na kesi yenyewe naona haviendani kabisa..Ni mashahidi wa Lisu hao. Kwa hiyo Lisu ndio atawatumia ku prove kwamba yeye hana kesi ya kujibu na hana hatia.
Kwa namna ipi?
Unafikiri Tundu Lissu hajajipanga?Hamjambo!
Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu.
Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia heshima mahakama na kuifanya ionekane haina lolote. Kwamba hiyo ndio ikawa tegemeo na mlango wa Lisu kujiokoa.
Hao mashahidi wanaweza kufika. Na kwa mazingira yalivyo inaonekana watafika. Hivyo Tundu Lisu ajipange haswa.
Ni hayo tuu
Haitokaa itokee
Unafikiri Tundu Lissu hajajipanga?
Wapeni summons waje mahakamani kama kweli wanaweza
Lissu ajipange kwa lipi? Ndugu ungepunguza Kiherehere sio kizuri kwa Mwanaume
Unaandika kama umekatwa kichwa ? Je Lissu ajipange kwa lipi? Anayetakiwa kujipanga ni shahidi au Lissu?Kwa sababu huelewi uzito wa kesi yenyewe.
Ninyi ndio wale mnawasapuza wenzenu yakiwakuta hamna msaada wowote zaidi ya unafiki na kelele kama mbwa koko zisizo na msaada.
Tupo hapa!
Wewe unafikiri Samia hata akifika mahakamani Lisu atamuuliza swali lipi la kumnasua dhidi ya kesi yake?
Mkuu Yani katika mashahidi wote hao aliowataja TAL atapata mserereko na urahisi ni kwa mwenyekiti wangu na Rais wangu Samia kwanza ni mwepesi wa kupaniki hata kwa maswali rahisi na mropokaji sisi tunaekaa nae kwenye vikao vya chama tunamjua vizuri sanaTupo hapa!
Wewe unafikiri Samia hata akifika mahakamani Lisu atamuuliza swali lipi la kumnasua dhidi ya kesi yake?
Hata wewe huamini ndio maana unaandika "anaweza kufika".
Lissu hiyo ni field yake usimkumbushe kujiandaa, Samia mgeni wa field ndie ajiandae.