Tusidanganyane, mimi napenda pesa sana


Utakuwa na vinasaba na jiwe.

Hutoki Chatto wewe?
 
Wewe utampa nini huyo mwanaume aliyejipanga?
 
Sawa mchele mpunga bei gani
 
Raha jipe mwenyewe, mwanaume anahusika aje wakati una biashara zako?
 
pambana utafute hela zako mwenyewe iweje mwanaume akikupenda akupe pesa?
Msigeuze wanaume vitega uchumi vyenu
 
Nyie malaya wenye damu ya Kinyarwanda mna maisha magumu mnooo! Kuna mmoja huyo yupo chuo cha Uhasibu DSM, anakiuza hatari na anajikuta mzuri hatari
 
Wachaaa weeeeeeee..........eeenheeeiii.......

Biashara ya mchele,ila si shangai hata yule dada mwenye msambwanda feki Nicole Berry (Jina lake halisi TABU),nae analima mchele na ndio maana kwenye page yake ANAUNIKAGA SANA MPUNGA WAKE na wateja anawapata.

Mcheleeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.............kauze mcheleeeeee we.
 
Mimi naomba kuuliza;
Je hiyo picha kwenye profile yaani avatar ni wewe au umeweka picha ya mtu mwingine?
 
Sasa kama unapenda hela hiyo inatuhusu namna gani??
 
Gharama yako ni ndogo au kubwa kulingana na we mwenyewe ulivyo, yaani ; sura ,umbo, (kimo , rangi, sauti) na akili.

nilivyoweka kwenye mabano si kipaumbele changu.

Nitumie picha nianze mchakato.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hahaha million 4 kwa mwezi kwa kuuza mchele ..eboo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angalia usipende sana watakufanya vibaya watoto wa kihuni.
 
TAFUTA PESA ZAKO KA UNA HIZO AKILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…