Pre GE2025 Tusidanganyane, Tanzania hakuna Mtu yeyote anayeweza kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄
Watanganyika wameshaamua, hakuna nafasi tena ya CCM kuzidi kuwadanganya wananchi kibwege bwege.

Hakuna Mabadiliko - Hakuna uchaguzi.
Wafikishie ujumbe huu kwamba huu si uamuzi wa CDM wala Lissu bali ni wa watanganyika.
 
Kwani wewe umejipa usemaji wa nani?
Hiyo katiba ni kwa ajili ya nani na iliwekwa na nani?
Hiyo sio biblia bali ni muongozo tu wa namna gani tujiongoze na tunaweza kuubadili
 
Sasa wewe kwani una wasiwasi gani kama ushajua hakuna mwenye uwezo huo? Kula nyama nyamaza.
 
Kwanza tume huru sio jambo la kuikalili tu,hiyo tume huru haigozwi na Malaika wa mbinguni wala Ummoja wa nchi za Ulaya au Marekani. Tume huru ni kundi la watu tena Watanzania wanaongoza taasisi ya serikali.Hakuna jambo jipya mpaka hapo.
Je nani atapima weledi wa tume hiyo kama si mahakama zetu?
Huko Kenya walijitambulisha kama wametunga katiba mpya na kuunda tume huru.
On paper tuliwaona wapo juu licha kucopy na kupaste katiba ya Marekani.
Lakini ebu twende reality check ni ngumi,mapambano ni maadamano ya kumwaga damu kwa maefu kila uchaguzi mkuu.
Ni vurungu kwa jina la tume huru,ni kusweka ndani na kuzota jela,ni kesi zisizoisha mahakama kuu kila uchaguzi na latest ni vurugu za Gen Z zilizopoteza maefu ya maisha na kupotea au kuangamiza mali za wananchi.
Hakuna tofauti ya mlalamika na mlalamikiwa,wote wakipata nafasi ni chumia tumboni,bora mimi akina pangu pakavu.Mwisho wamehamia makanisani kutumia nyumba za Mungu kuhubiri ukabila,umimi na uzandiki,ndio Kenya ya leo ambayo anadaiwa hadi kiama.
Ni siasa za kilaghai kwa jina la demokrasia.

Kwa kumalizia kutaja tu tume huru bila componets zake kuzipima kuona mapungufu yake,ndio mambo ya kila mara kuunda tume akina Warioba ambazo by the end of day hazifanyi kazi ni wastage of public monies.
Wake up.
Maelezo muruwa....wenye akili WAMEKUELEWA...

Kudos !
 
Watanganyika wameshaamua, hakuna nafasi tena ya CCM kuzidi kuwadanganya wananchi kibwege bwege.

Hakuna Mabadiliko - Hakuna uchaguzi.
Wafikishie ujumbe huu kwamba huu si uamuzi wa CDM wala Lissu bali ni wa watanganyika.
Unaleta uasi kwa kuwataja watanzania?!!

Tundu Lissu ndio amekwambia hivyo ?!!

Kumbe lengo lenu ni watanganyika na si hizo porojo koko za katiba ?!!
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄
Siyo kila jambo lazima liandikwe ndiyo litokee wewe mlevimbwa. Tunza hii.
 
Kimsingi Tundu Lissu asijidanganye kujipa matumaini ya kuwa eti siku moja atakuwa Rais wa Tanzania. ASIJIDANGANYE kabisa, maana tulikuwa na watu WAROPOKAJI na maarufu kuliko yeye na waliishia kuiona Ikulu wakiwa wanakatiza kwenye ferry au wakienda wizara ya elimu pale Magogoni. Mfano ni Christopher Mtikila, Agustino Lyatonga Mrema, Edward Lowassa, Maalim Seif Shariff Hamad etc
Hoja ya Lissu sio yeye kutaka kuwa rais bali ni uchaguzi huru na wa haki hata kama mgombea hatokuwa yeye. Mabadiliko ni dhana. Unapoona ccm inatumia nguvu kubwa kujitafutia kukubalika kwa wananchi ni ishara tosha kuwa chama hicho kimepoteza mvuto. Kimebaki kutegemea mbeleko ya dola tu. Hoja ya Lissu ni ya kuungwa mkono na wapenda maendeleo wote.

Kama ccm inakubalika kwanini hawataki katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana
 
Hii elimu anayotoa Lissu ikishika Kasi itabidi ccm mkodi wamalawi na waithopia kujiandikisha kupiga kura.
 
Maelezo muruwa....wenye akili WAMEKUELEWA...

Kudos !
Mkuu inauma kuona mamluki na waliofilizika kisiasa ndio wanawahadaa wananchi kwa mambo,yasiosadikika, ya kipuuzi tu.Hawana tofauti na Tshombe wa Lubumbshi miaka ya sitini.Wapo kula wasipopanda,wapo kuhubiri chuki na fitina wakiwa wao wana visa na tiketi ya ndege kwenda ughaibuni wasipopajua na wakiwaacha njia panda wafuasi wao ikiwa mambo yanapowaendea kombo.

Ni conmen wasio na uchungu,bali wapo kwa kivuli cha vyama vya kisiasa na agenda zao za kitoto.

CCM ina mapungufu lakini kuwapa watu baki nchi ni swala la uweledi wa usalama wa taifa.
Mimi siko huko ila tulio wengi hatutaki mambo yanayotokea Kongo yaje kwetu.

CHADEMA IS ALREADY COMPROMISED agent kuliko chama cha Dr Savimbi wa Angola.
Huyo Lissu wenu aka Mr KVant hana uzoefu wa kimataifa,yupo yupo tu,
Ignorance na arrogance yake haikubaliki.
 
Nice elaborations....

Wanataka kuiingiza nchi katika mateso ,vurugu na machafuko....

Hilo halikubaliki....

Wenye maono tuendelee kuwakumbusha vijana wenzetu kuwa kujenga mataifa ni kazi na kuyabomoa kama yanayoendelea Sudan ni PIGO MOJA TU.....

#Tuwakatae mamluki wa MABEBERU!
 
Mtu hawezi lakini watu wanaweza kwa sababu watu ndio mamlaka kuu
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄
Hakuna litakalomshinda MUNGU!
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄
Mwaka huu;
1. Maji yatapanda mlima
2. Mbuzi atabweka
 
Back
Top Bottom