Tusiichafue Tanzania yetu kwa kumbatiza Lema ukimbizi wa kisiasa

Tusiichafue Tanzania yetu kwa kumbatiza Lema ukimbizi wa kisiasa

Wewe unajua kusoma Kiingereza jwa ufahamu?

Tusije kubishana na mtu asiyejua kusoma Kiingereza kuhusu habari iliyoandikwa Kiingereza.
Wewe umeona wakimbizi au vurugu zilizozaa wakimbizi kwa macho yako?
 
Jibu hoja husika kamanda.
Nijibu hoja gani?

Kabla ya kuandika huu UPUUZI ungejiuliza kwanza, wakinanani walimuuwa A.Mawazo,Ben saanane yupo wapi?,Nani alimpiga risasi Tundu lissu?, mpaka sasa zaidi ya mamia ya wagombea wa upinzani wapo mahabusu wengine wapo jela

Ukipata majibu sasa njoo mezani tujidili hako kajihoja Kako uliyo andikiwa na maccm uwasilishe JF.
 
Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema....
Nchi inawajinga hii sijawahi ona eti hatutawaliwi kwa mkono wa chuma mpaka usikie lema kachapwa 16 bullets Kama Lissu ndio utaamini au bado utasema kajipiga mwenyewe jana bagonza kasema anahofia usalama wake je nayeye muongo ? Kiufupi tuko chini ya utawala wa kidicteta kumbuka hata wale vijana walionufaika na chama Cha NAZI hawakuamini kwamba Hitler ni dikteta kwasababu all decisions work on their favor.
 
Kushuhudia kwa macho ndiyo kipimo chako?

Unaelewa kwamba si kila kinachoshuhudiwa kwa macho kipo kweli na si kila kilichopo kweli kinashuhudiwa kwa macho?
Kaa kimya acha kulishwa upuuzi na uongo. Kuna mambo ya kulalamikia lakini sio utapeli wa wanasiasa kama Lema.
 
Nchi inawajinga hii sijawahi ona eti hatutawaliwi kwa mkono wa chuma mpaka usikie lema kachapwa 16 bullets Kama Lissu ndio utaamini au bado utasema kajipiga mwenyewe jana bagonza kasema anahofia usalama wake je nayeye muongo ? Kiufupi tuko chini ya utawala wa kidicteta kumbuka hata wale vijana walionufaika na chama Cha NAZI hawakuamini kwamba Hitler ni dikteta kwasababu all decisions work on their favor.
Kwani kama watu wanania ya kumuua hata huko Kanada wanashindwa kumfuata,acha ujimga we fala.

Utawala wa kidikteta! Huo uhuru wa kuchapa uongo wenu mmeupata wapi?
 
Kuna watu wengi Sana wanakja Tanzania kutoka mataifa ya nje ,wakifika wanashangaaa Sana kukuta uhalisia wa hali ya nchi ulivyo na jinsi inavyochafuliwa na group la watu wachache lenye tamaa ya fedha na mamlaka.
Tanzania ni nchi nzuri na ya kipekee Sana duniani.
 
Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema.

Tungesikia UN wametoa ripoti juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu hapa Tanzania. Lakini mpaka sasa hakuna UN wapo kimya,sisi wenyewe tunaoishi hapa Tz ni mashuhuda.

Jambo la msingi tunatakiwa kufahamu kuwa kuna aina nyingi za wakimbizi. Wakimbizi wa kiuchumi pia wapo. Hawa ni wale hukimbia nchi zao kusaka matonge baada ya line za kuingiza kipato kukata kamba.

Nchi kama Kanada ni nchi ambayo hupokea wageni wa namna mbalimbali,hasa wakimbizi wa kiuchumi,ndio maana ukienda Kanada utakuta Wahindi walioenda kusaka tonge ni wengi tu.

Kwa ujumla tunafanya vibaya sana kuichafua nchi yetu kuwa kuna mkimbizi wa kisiasa ametusua kwenda Kanada wakati tunajua amesoma alama za nyakati na kujua Ubunge umekata hivyo anatakiwa akatafute mkate na siagi Kanada. Nchi hii haitawaliwi kiimla wala kwa mkono wa chuma. Tuache kukurupuka na kuzalisha uongo mchana kweupe.
Hivi huwa mnasema uongo kwa faida ya nani?
 
Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema.....
Wakati ana ubunge mlimfunga miezi minne bila dhamana. Akiwa hana kinga si mtammaliza kabsa? Nani anataka kula christmass jela tena?
 
Back
Top Bottom