Tusiichafue Tanzania yetu kwa kumbatiza Lema ukimbizi wa kisiasa

Tusiichafue Tanzania yetu kwa kumbatiza Lema ukimbizi wa kisiasa

Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema....
Wivu wa kike tu huu. Wewe mbona ni mkimbiI unaishi mabibo bwawa la mavi hatusemi kitu. Au huko unakoishi unajiona siyo mkimbizi? Tofauti yako na Lema ni kwamba Lema anaishi sehemu nzuri nje ya nchi we unaishi machokoroni nchini mwako
 
Sawa lakini ukweli ni kuwa Lema ni mkimbizi wa kiuchumi sio kisiasa. Mnakosea kuichafua Tz.
 
Wakati ana ubunge mlimfunga miezi minne bila dhamana. Akiwa hana kinga si mtammaliza kabsa? Nani anataka kula christmass jela tena?
Kama hii nchi inaua watu hovyo kama mnavyosema wangekuwa wamemuua hata kabla ya kushindwa ubunge.
 
Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema.,..
Wale waliotoka Zanzibar wakaenda Kenya baada ya uchaguzi unadhani walikwenda kutalii! Hawezi ukaamua kuwa mkimbizi ukaenda Kanada bila ya kutimiza vigezo, mwambie Polepole ajaribu kama ataupata, ng'o.
 
Una uhakika UN wako kimya?

Unamfahamu Michele Bachelet ni nani na kasema nini kuhusu haki za binadamu Tanzania?
Huyo mbona tunakunywa nae kahawa Daily,we mkuu nilikua nakuona wa maana kumbe utopolo tu,so what kama hawako kimya?
Kapige box achilia mbali politic
 
Wale waliotoka Zanzibar wakaenda Kenya baada ya uchaguzi unadhani walikwenda kutalii! Hawezi ukaamua kuwa mkimbizi ukaenda Kanada bila ya kutimiza vigezo, mwambie Polepole ajaribu kama ataupata, ng'o.
Vigezo vya ukimbizi wa kiuchumi ndivyo alivyotimiza.
 
Kila nchi duniani nzuri sana na za kipekee.
Hakuna nchi mbaya.
Kuna watu wengi Sana wanakja Tanzania kutoka mataifa ya nje ,wakifika wanashangaaa Sana kukuta uhalisia wa hali ya nchi ulivyo na jinsi inavyochafuliwa na group la watu wachache lenye tamaa ya fedha na mamlaka.
Tanzania ni nchi nzuri na ya kipekee Sana duniani.
 
Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema....
Maana ya "ukimbizi" ndiyo ya msingi,siyo aina za ukimbizi.
 
Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema...

Tunafahamu kila kinachoendelea ndani ya nchi hii. Ni vile tu tunatawaliwa na uoga. Kwasasa ukijaribu kuhoji lolote unapotezwa. Ushenzi, unyama na uhayawani wa wazi uliotokea kwenye uchaguzi tumeuona kwa macho yetu. Mkiona watu wako kimya kwa kuhofia maisha yao haimaanishi kuwa wanaridhika. Wapinzani waliopoteza maisha kwa kushindwa kukimbilia Canada wanafahamika.
 
Huyo mbona tunakunywa nae kahawa Daily,we mkuu nilikua nakuona wa maana kumbe utopolo tu,so what kama hawako kimya?
Kapige box achilia mbali politic
Wewe acha kujamba ushuzi unukao na kuchafua hewa hapa.

Kwanza sijawahi kuniomba unione wa maana.

Maana maana kwakoninaweza isiwe maana kwangu, na isiyo maana kwako ikawa na maana kwangu.

Hivyo, usipende kuchukukia poa tu kwamba nataka unione wa maana.

Inawezekana wewe kuniona mimi wa maana ni tusi kubwa sana kwangu.

Hilo moja.

La pili, mimi sikuanzisha mijadala ya UN hapa.

Nimeelimisha tu ambao hata walikuwa hawajui Michele Bachelet ni nani na kasema nini kuhusu Tanzania.
 
Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema...
Serekali ya MATAGA ishajinyea yenyewe, wala isitafute mchawi!
 
Tunafahamu kila kinachoendelea ndani ya nchi hii. Ni vile tu tunatawaliwa na uoga. Kwasasa ukijaribu kuhoji lolote unapotezwa. Ushenzi, unyama na uhayawani wa wazi uliotokea kwenye uchaguzi tumeuona kwa macho yetu. Mkiona watu wako kimya kwa kuhofia maisha yao haimaanishi kuwa wanaridhika. Wapinzani waliopoteza maisha kwa kushindwa kukimbilia Canada wanafahamika.
Unaposema wapinzani,unamaanisha wangapi? Lema sio mpinzani ni mganga njaa tu. Ameenda kutafuta maisha. Na kukosoa kunazuiwa hapa Tanzania?
 
Back
Top Bottom