Tusiichafue Tanzania yetu kwa kumbatiza Lema ukimbizi wa kisiasa

Tusiichafue Tanzania yetu kwa kumbatiza Lema ukimbizi wa kisiasa

Shida inaanzia CCM inataka watu wote wawe CCM hiko kitu hakiwezekani yaan ukisema ukweli unaaambiwa sio mzalendo au unatumiwa na mabeberu au ukiikosoa serikali unapewa kesi ya kuhujumu uchumi au kuambiwa sio raia au hata kufungwa au kuuliwa
Kila mtu katika moyo wake unajua umebeba nini mambo ya Lema achana nayo hujui amekutwa na nini
 
Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema....
Hivi kitu gani kinawahangaisha kuhusu Lema? Ameshaondoka, anapambana na hali yake, pambana na ya kwako. Kila kukicha thread tu kuhusu Lema. Pumzikeni ila kama ni njia ya kuondolea stress, anzisha tena thread nyingine.
 
Ishu sio Lema,bali kuchafua taifa letu kwa kumpa ukimbizi feki. Kama angeondoka na visa kama kawaida hakuna ambae angehoji.
 
Shida inaanzia CCM inataka watu wote wawe CCM hiko kitu hakiwezekani yaan ukisema ukweli unaaambiwa sio mzalendo au unatumiwa na mabeberu au ukiikosoa serikali unapewa kesi ya kuhujumu uchumi au kuambiwa sio raia au hata kufungwa au kuuliwa
Kila mtu katika moyo wake unajua umebeba nini mambo ya Lema achana nayo hujui amekutwa na nini
Mbona mimi sipo Ccm? Hayo unayosema kama ni kweli magereza yangejaa.
 
Mbona mimi sipo Ccm? Hayo unayosema kama ni kweli magereza yangejaa.
Point yangu unajua Lema kimemkuta kitu gani mpka kaondoka au mpk mtu afe ndio muamini ?
Yeye mwenyewe anasema anatishiwa uhai that's why ameenda kujiokoa ww unabisha
Lema ameondoka Tz kwajili ya siasa kama sio siasa tuambie ww kwann kaondoka
 
Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema....
Shetani anapokataa kuitwa IBILISI
 
Nchi inawajinga hii sijawahi ona eti hatutawaliwi kwa mkono wa chuma mpaka usikie lema kachapwa 16 bullets Kama Lissu ndio utaamini au bado utasema kajipiga mwenyewe jana bagonza kasema anahofia usalama wake je nayeye muongo ? Kiufupi tuko chini ya utawala wa kidicteta kumbuka hata wale vijana walionufaika na chama Cha NAZI hawakuamini kwamba Hitler ni dikteta kwasababu all decisions work on their favor.
Mkuu.Alivyo mapooza hata hiki ulichoandika awezi kuelewa. Nchi ina Mazezeta sana hii.
 
Punguani jingine hili

Yaani propaganda zimezidi aisee

Mmechukua nchi,Lema anawahusu nini?

Kuchafua nchi?Serikali ya watu wachache kama 300k kati ya watu 60mil ni nchi?

Kafieni huko,hakuna mtoto hapa!

Canada imetoa kibali cha ukimbizi baada ya kujiridhisha ni kweli,wewe makalio udhibitisho kua si mkimbizi unao au unaharisha tu hapa?
Asylum seeker wa kwanza ni Oscar Kambona ambaye alikimbia udikteta wa Nyerere.

Wa kimbizi wa pili ni wale waliokimbilia shimoni Mombasa, kwahiyo si kweli kwamba Tanzania ni sehemu salama ya kuishi.
 
Anayechafua nchi ni dikiteta magufuli, kapokonya ushindi wapinzani wengi, lkn bado hajaridhika na roho zao pia anataka kuwapokonya.
Nimefuatilia historia ya China. Ilipita kwenye kipindi cha masimango huku baadhi ya wachina wakishiriki usimangaji huo. Kilikuwa kipindi kigumu sana.Lakini walitokea wa China wapenda nchi yao na wachukia masimango, kwa dhati kabisa, waliamua "kumvalisha kila mchina aliyeonekana kuwa paka kengele". Baada ya wale "wachina paka sugu" kuvalishwa kengere, China ikarudisha heshima yake na masimango yakaisha.

Bahati mbaya Tanzania tumeanza kushuhudia baadhi ya watanzania kuonekana kama " paka" na wanajinasibu kwa ama kushiriki kutusimanga watanzania ama kushangilia masimango dhidi yetu na nchi yetu kwa ujumla. Bahati nzuri watanzania wengi sana wako tayari kwa ari, mori, na munkari " kuwavalisha kengele" watanzania hawa wanaofanya bidii kujigeuza "paka"! Nina hakika watanzania hawa wenye munkari hawata chambua cha " paka sugu" ama "paka mchekea", "paka" wote watavishwa kengele! Na hapo Watanzania watakomesha kabisa masimango dhidi yao na nchi yao.
 
Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema.

Tungesikia UN wametoa ripoti juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu hapa Tanzania. Lakini mpaka sasa hakuna UN wapo kimya,sisi wenyewe tunaoishi hapa Tz ni mashuhuda.

Jambo la msingi tunatakiwa kufahamu kuwa kuna aina nyingi za wakimbizi. Wakimbizi wa kiuchumi pia wapo. Hawa ni wale hukimbia nchi zao kusaka matonge baada ya line za kuingiza kipato kukata kamba.

Nchi kama Kanada ni nchi ambayo hupokea wageni wa namna mbalimbali,hasa wakimbizi wa kiuchumi,ndio maana ukienda Kanada utakuta Wahindi walioenda kusaka tonge ni wengi tu.

Kwa ujumla tunafanya vibaya sana kuichafua nchi yetu kuwa kuna mkimbizi wa kisiasa ametusua kwenda Kanada wakati tunajua amesoma alama za nyakati na kujua Ubunge umekata hivyo anatakiwa akatafute mkate na siagi Kanada. Nchi hii haitawaliwi kiimla wala kwa mkono wa chuma. Tuache kukurupuka na kuzalisha uongo mchana kweupe.
Zusha, ongopa galagala, msujudie Magufuli na yote mengine unayoyataka lakini ukweli unajulikana. Unadhani ni jambo rahisi mtu kupewa ukimbizi wa kisiasa? Endeleeni kudanganyana lakini ukweli haufichiki.
 
Amepewa ukimbizi wa awali kama mtu anayetafuta maisha.
 
Labda hujui yaliyokuwa yanaendelea! Wenzetu hadi wakupe hadhi hiyo wameridhika na hali halisi na hawakurupuki kama kama ufanyavyo wewe.
 
Unaposema wapinzani,unamaanisha wangapi? Lema sio mpinzani ni mganga njaa tu. Ameenda kutafuta maisha. Na kukosoa kunazuiwa hapa Tanzania?

Kosoa uone kitakachokukuta, kama sio kutekwa basi ni kuuwawa, au kuhujumiwa shughuli zako za kujipatia kipato. Haya tunayaona kwa macho yetu.
 
Back
Top Bottom