Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Wewe ni certified mpuuzi maana badala ya kuhangaika na maisha yako unahangaika na maisha ya waume za watu. Huu ni udaku wa kiwango ya PhDUngelikuwa na akili usingeandika huu upuuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni certified mpuuzi maana badala ya kuhangaika na maisha yako unahangaika na maisha ya waume za watu. Huu ni udaku wa kiwango ya PhDUngelikuwa na akili usingeandika huu upuuzi.
Yaani muichafue Tanzania yetu tukae kimya? Nani kawazuia kwenda ughaibuni kwa njia za kawaida? Mnalazimisha ukimbizi.Mkuu
Ni ajabu sana haya majamaa ya propaganda tangu wiki imeanza yanakuja na ma-thread ya hovyo kweli yanadhani sisi watoto
Haya ma-pombe guys ni bure kabisa yaani!
Samahani kwa kugusa maslahi ya bwana wako. Maana baada ya kukuacha bongo kaenda Kanada kufanya vibarua vya kulima pamba.Wewe ni certified mpuuzi maana badala ya kuhangaika na maisha yako unahangaika na maisha ya waume za watu. Huu ni udaku wa kiwango ya PhD
Unaishi pango gani kiasi kwamba hata ile report ya UN Human Rights hukuipata, ile ya Human Rights Watch hukuipata, hata ile ya Amnesty International huijui?Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema.
Tungesikia UN wametoa ripoti juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu hapa Tanzania. Lakini mpaka sasa hakuna UN wapo kimya,sisi wenyewe tunaoishi hapa Tz ni mashuhuda.
Jambo la msingi tunatakiwa kufahamu kuwa kuna aina nyingi za wakimbizi. Wakimbizi wa kiuchumi pia wapo. Hawa ni wale hukimbia nchi zao kusaka matonge baada ya line za kuingiza kipato kukata kamba.
Nchi kama Kanada ni nchi ambayo hupokea wageni wa namna mbalimbali,hasa wakimbizi wa kiuchumi,ndio maana ukienda Kanada utakuta Wahindi walioenda kusaka tonge ni wengi tu.
Kwa ujumla tunafanya vibaya sana kuichafua nchi yetu kuwa kuna mkimbizi wa kisiasa ametusua kwenda Kanada wakati tunajua amesoma alama za nyakati na kujua Ubunge umekata hivyo anatakiwa akatafute mkate na siagi Kanada. Nchi hii haitawaliwi kiimla wala kwa mkono wa chuma. Tuache kukurupuka na kuzalisha uongo mchana kweupe.
Walituma wajumbe au tume?Unaishi pango gani kiasi kwamba hata ile report ya UN Human Rights hukuipata, ile ya Human Rights Watch hukuipata, hata ile ya Amnesty International huijui?
Tafuta hizo report, halafu uje ulete kitu cha maana kuliko huu uchafu uliouweka hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app

Umeleta takataka, hakuna hoja.Jibu hoja husika kamanda.
Un huwa inatuma wajumbe kuchunguza. Sio kwa kusikia tu, acha kukurupuka.Kwa jibu lako hili, nina mashaka kama afya yako ya akili ipo sawasawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimbizi wa kisiasa vs wa kiuchumi!Umeleta takataka, hakuna hoja.
Kama hujui kama kuna kauli rasmi ya UN Human Rights, sasa wewe ni mtu hata wa kusema unaweza kuleta hoja inayohusu ukiukwaji wa haki za raia zinazopelekea baadhi kuwa wakimbizi?
Uwezo wako wewe unaishia kusoma tu na kujifunza toka kwa wengine, huna uwezo wa kuleta hoja, ndiyo maana umeleta hii takataka isiyo na kichwa wala miguu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hizi tread zenu ndio zinasafisha nchi? Bure kabisa.Ishu sio Lema,bali kuchafua taifa letu kwa kumpa ukimbizi feki. Kama angeondoka na visa kama kawaida hakuna ambae angehoji.
Wewe mjinga kweli. Kama hujui waulize walio na ufahamu.Asylum inatolewa na jaji? Kwa hii statement we shit person.
Godbless Lema ni mkimbizi wa kisiasa na tayari UN wametoa tamko la kulaani yaliyotokea chini ya utawala wa Magufuli. Magufuli ameharibu nchi hii na huo ndo ukweli utake usitake.Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema.
Tungesikia UN wametoa ripoti juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu hapa Tanzania. Lakini mpaka sasa hakuna UN wapo kimya,sisi wenyewe tunaoishi hapa Tz ni mashuhuda.
Jambo la msingi tunatakiwa kufahamu kuwa kuna aina nyingi za wakimbizi. Wakimbizi wa kiuchumi pia wapo. Hawa ni wale hukimbia nchi zao kusaka matonge baada ya line za kuingiza kipato kukata kamba.
Nchi kama Kanada ni nchi ambayo hupokea wageni wa namna mbalimbali,hasa wakimbizi wa kiuchumi,ndio maana ukienda Kanada utakuta Wahindi walioenda kusaka tonge ni wengi tu.
Kwa ujumla tunafanya vibaya sana kuichafua nchi yetu kuwa kuna mkimbizi wa kisiasa ametusua kwenda Kanada wakati tunajua amesoma alama za nyakati na kujua Ubunge umekata hivyo anatakiwa akatafute mkate na siagi Kanada. Nchi hii haitawaliwi kiimla wala kwa mkono wa chuma. Tuache kukurupuka na kuzalisha uongo mchana kweupe.
Mnaoitolea mfano China, hamjui chochote kuhusu China.Nimefuatilia historia ya China. Ilipita kwenye kipindi cha masimango huku baadhi ya wachina wakishiriki usimangaji huo. Kilikuwa kipindi kigumu sana.Lakini walitokea wa China wapenda nchi yao na wachukia masimango, kwa dhati kabisa, waliamua "kumvalisha kila mchina aliyeonekana kuwa paka kengele". Baada ya wale "wachina paka sugu" kuvalishwa kengere, China ikarudisha heshima yake na masimango yakaisha.
Bahati mbaya Tanzania tumeanza kushuhudia baadhi ya watanzania kuonekana kama " paka" na wanajinasibu kwa ama kushiriki kutusimanga watanzania ama kushangilia masimango dhidi yetu na nchi yetu kwa ujumla. Bahati nzuri watanzania wengi sana wako tayari kwa ari, mori, na munkari " kuwavalisha kengele" watanzania hawa wanaofanya bidii kujigeuza "paka"! Nina hakika watanzania hawa wenye munkari hawata chambua cha " paka sugu" ama "paka mchekea", "paka" wote watavishwa kengele! Na hapo Watanzania watakomesha kabisa masimango dhidi yao na nchi yao.
Loh! Unaishi wapi wewe? Ile ni kauli rasmi ya UN Human Rights iliyosomwa na kusainiwa na Mkurugenzi Mkuu.Walituma wajumbe au tume?
Wewe huenda una uwendawazimu wa aina fulani. UN Human Rights wametoa kauli rasmi, wewe unaongelea habari ya wajumbe. Wewe ndiyo huwa unawapa mwongozo namna ya kupata taarifa?Un huwa inatuma wajumbe kuchunguza. Sio kwa kusikia tu, acha kukurupuka.
MATAGA mnasumbua sana, mnaleta kelele nyingi sana humu, lakini hamna vifua vya kusikia ukweli.Acha utoto dogo.
Siku na wewe ‘ukizalishwa’ kuwa mkimbizi, ndo utaelewa! Labda huwezi kukimbilia Canada, lakini kuna kitu utakikimbia, na utakimbilia mahali kabla ya 2025!Kasemaje? Tumefikia hatua ya kuwa nchi ya kuzalisha wakimbizi!
Wewe ndio huna hoja.Jibu hoja husika kamanda.