Tusilaumu mabinti wanaokwepa wanaume maskini, ndoa za kiafrika ni muunganiko wa familia mbili, upo tayar binti yenu aolewe na maskini?

Umetema madini mzee..

Maskini aliejisahau ni mzigo mkubwa, apo ata familia inaweza kuja kukuletea sulubu baadae, umeangalia mbali sana

Kwaiyo Matako makubwa anajichoresha tu
 
Wanasema Love doesn't asks why.....

Ingawa ni ukweli mapenzi ya Masikini na Tajiri kibongo bongo yameisha tangu Profesa Jay apate lile Zari la Mentali

Kwasasa ni vyema kuoana watu wenye vipato vinavyo lingana

Ukisema eti wewe Mtoto wa Masikini (Mwanaume) utakuja kupata Mke kule Ushuani mwenye kutoka familia bora itakuwa ni kama Kusubiri Meli Airport
 
We hakuna anaekupenda hapo, zaidi wanapendea hela zako, mtoto wa kike hata kwao wakiwa matajiri vipi, mali zote ni urithi wa watoto wa kiume.
 
Binafsi siwezi kumruhusu binti yangu aolewe na kapuku.
 
Chai.
Hakuna mwenye maendeleo hayo akubali kupoteza muda kufanya kazi mshahara usiozidi laki 3.
 
Darasa zito sana.

Hapo ukiweka moyo wa huruma utaingia kwenye majuto ya milele
 
Umetema madini mzee..

Maskini aliejisahau ni mzigo mkubwa, apo ata familia inaweza kuja kukuletea sulubu baadae, umeangalia mbali sana

Kwaiyo Matako makubwa anajichoresha tu
Huyo nikishalala nae hata story hatuna. Ananikera tu, kuna siku tukabishana Diamond anadate na Zuchu, nilikuwa nabisha kumbe sijui. Yule good upstairs hawezi leta habari za hivyo
 
We hakuna anaekupenda hapo, zaidi wanapendea hela zako, mtoto wa kike hata kwao wakiwa matajiri vipi, mali zote ni urithi wa watoto wa kiume.
Anayenipendea hela ni mmoja, huyo mwingine mwaka wa tatu huu hata sijui namba yake imesajiliwa jina gani. Hajawahi omba hata mia ya kujazia kwenye vocha, hela zangu anazipata kwenye zawadi na outings. Namjua kukuzidi, hakuna gold digger anafake miaka mitatu yote
 
Una akili ndogo sana.
Matajiri wengi 75% wametokea familia masikini,
Masikini ni baba yake yeye ana future yake
 
Ulaya na Amerika ipi unaongelea?

Kila sehemu kuna mila na desturi zao, hata Tanzania hii kuna mila ambazo hata uwe na pesa vipi huwezi kuoa koo, kabila au imani fulani. Jionee:


View: https://youtube.com/shorts/zK8IR2K-m1Q?si=9ss7-sdwAn516bWS
 
mwanamke huyo labda kama yuko kwao. kumbuka siku ukimuoa wazazi wake watakata pesa yote wanayompa. mzigo wote utakuwa wa kwako, na ameshazoea maisha ya kifahar, hapo ndio akili itakukaa sawa
 
mwanamke huyo labda kama yuko kwao. kumbuka siku ukimuoa wazazi wake watakata pesa yote wanayompa. mzigo wote utakuwa wa kwako, na ameshazoea maisha ya kifahar, hapo ndio akili itakukaa sawa
Nasema hivi, namjua kukuzidi. Kuwa na hela kwao haimaanishi wanampa atumie kiholela, matumizi yake nayajua hamna kitu anaweza nificha, makadirio ya transactions zake za simu na benki najua.

Alafu mimi sio kwamba nina akili finyu ya mtaa na hayo unayosema leo nilishayaweka kwenye mizani muda mrefu. Mojawapo ya sababu inayonifanya nimkubali ni wazazi wake ambao kwa uchunguzi wangu wako vizuri sana kimalezi, binti hafyatuki tu akawa wife material kwenye familia ya walevi wa ulanzi. Hata dada yake amenyooka. Kwanza familia yao haina migogoro, pia mama yake anampenda mamamkwe wake na huwa anaishi nae sababu baba hakai sana nyumbani.

Huyo mwingine kwanza wazazi wake waligoma kumlipia ada, chakula na malazi alipo-carry somo. We unaweza oa mtu akifeli wazazi wanakaa pembeni, walitarajia aishije? Si ndio maana kuna binamu yake alijiua.
Mdogo wake kaumwa wameshindwa kumpeleka hospitali wakaenda kwa wachungaji uchwara, degedege wanaita mapepo. Wewe unaweza oa hapo?
 
nakwambia hivi huyo mwanamke wazazi wake wakijua anaolewa na masikini watamtenga , hskuna mzazi anaetaka mtoto wake aolewe na masikini,..
 
nakwambia hivi huyo mwanamke wazazi wake wakijua anaolewa na masikini watamtenga , hskuna mzazi anaetaka mtoto wake aolewe na masikini,..
Maskini nani?

Mwanzoni ulisema anazuga maisha ananipendea hela (kwa mantiki hii ulimaanisha nina hela), baadae ukadai nikimuoa mzigo wa matumizi utaniangukia, sasa unadai wazazi wake watamtenga akiolewa na mimi na unadai mimi ni maskini (ndani ya lisaa tiyari ramri yako inaonyesha nimefirisika).

Mtu umemsoma leo hata jina humjui, ushajua tabia zake na atalofanya na ambavyo wazazi wake watafanya. Kuna mawili, ama una nyota ya kubeti, ama ya uganga wa kienyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…