Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

Huna haja ya kufanya yote hayo,wewe tengeneza sera kuwa ugeni kwako ni wiki moja tu,baada ya hapo ama unasepa,au unaanza kufanya kazi,kufagia,kuosha vyombo,kupiga deki,kuosha vyoo,kusafisha mabanda ya kuju,kupikia mbwa,kufua mashuka.Hakuna ruhusa ta kuwasha tv na hakuna kukaa sebuleni burebure
 
Aiseeee umenikumbusha mbali sanaaaa kulikuaga na derby ya ukombozi sec wakiitwa kunguru vs urambo day ya mzee kabaya
 
Sio vyema kumshika kijana matako na KUSEMA kafanana na dada yake πŸ˜”πŸ˜΄

Jamaa kazingua kwa kweriiiii 😊 πŸ˜ƒ
Kama dogo akienda simulia kwao tabia ya kushikwa matako na shemeji ye, unadhani italet picha gan


Fullstop, kwishaaaa
 
Huu ndio ukoloni Sasa yaan unageuka mkaburu nyumbani kwakoπŸ˜ŠπŸ˜ƒ

Nyumbani kwetu kulikuaga hakukosi wageni na for sure mzee kalea na kufuga watu wengi sanaa
 
Hivi si wakae nyumbani kwa mama zao nenda kwa shemeji yako Una kitu cha kufanya sio kukaa na kulala
Wanawake wengi ndiyo wanapenda kwenda kuishi kwa shemeji zao, kwa Wazungu ni ngumu wao wanapenda uhuru wa wana ndoa, Norway wao Wazazi wakishalea watoto wao wakishafikisha Miaka 18 wanawaondoa Nyumbani na wanaenda kujitegemea na Wana baki Wazazi tu ili wawe free.
 
Kama dogo akienda simulia kwao tabia ya kushikwa matako na shemeji ye, unadhani italet picha gan


Fullstop, kwishaaaa
Kama kwao ni maskini hawana namna zaidi ya kutulia tuliii kama maji mtunginii

All in all umaskini kaka ni mbaya mnooo
 
Kama kwao ni maskini hawana namna zaidi ya kutulia tuliii kama maji mtunginii

All in all umaskini kaka ni mbaya mnooo
Kumbe unafurahia kumshika mtu matako kisa kwao maskini hawana cha kufanya unafahamu neno karma, Kuna jamaa aliugua Figo ndugu zake wakagoma kuchangia, shemeji mtu akajitoa okoa jahazi


Fullstop, kwishaaa
 
Aiseeee umenikumbusha mbali sanaaaa kulikuaga na derby ya ukombozi sec wakiitwa kunguru vs urambo day ya mzee kabaya
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Hiyo dabi ilikuwa haiishi salama nakumbuka enzi nasoma hapo ilipigwa game moja matata halafu nyutro graund sio ukombozi wala day nakumbuka game lilikuwa uwanja wa mirambo hapo.

Day kulikuwa na vichwa vilivyopinda kama kina paulo ndaga, salumu kimenya huyu wa prison, lusekelo sudi, maneno mzalia ilikuwa hatari sana mzee
 
Huu ndio ukoloni Sasa yaan unageuka mkaburu nyumbani kwakoπŸ˜ŠπŸ˜ƒ

Nyumbani kwetu kulikuaga hakukosi wageni na for sure mzee kalea na kufuga watu wengi sanaa
Mkuu kama Baba yako yupo hai muulize vizuri wakati hajapata familia alikua anaishi na wageni yeye na mke wake? Au baada ya kupata watoto ndiyo wageni wakaanza kuja kuishi, kuna nyakati inatakiwa Wana ndoa wanatakiwa waishi wenyewe kwa uhuru, yani ndiyo kwanza ndoa haina watoto wapo mke na mume tu hapo hapo wageni waje kuishi yani Wanandoa mkose uhuru ata wa kutembea na uchi ndani ya nyumba kisa wageni.
 
Lengo lake nligundua yule bwege awe anapiga misele na gari nliyomnunulia dada ake. Ana degree kabisa. Na nyumbani hafanyi kazi yoyote ile. Imagine anaota kitambi kabisa na kunenepa makalio.
Mkuu vijana kutoka Vijijini ndiyo walivyo wakija mjini na wakimaliza chuo wanajifanya hawajui kazi za Nyumbani wanajifanya wametokea kwenye familia za kitajili.
 
Mlikua na vichwa ila ukombozi for years walikua wamedominate soka la urambo πŸ˜‚πŸ˜…
Derby iliishaga kwa vurugu nguo kuchanika
 
Obvious huwaga wanakuja baada ya kuwa na nyumba kubwa na kipato cha kuridhisha pia watoto wanakua wamepatikana tayarrii 😁
 
Tz ukishaolewa tu ndugu wanajaaaa na kupishana
 
Huyo mkeo hata common sense hana? Unaalikaje mtu na mnaishi chumba kimoja?
Wanawake ni wa kuongozwa na kupewa amri haina haja ya kumuonesha kwa vitendo kama mtoa mada alivyofanya, mpe tu amri atekeleze basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…