shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,570
- 3,129
Homeboy naona bibi anataka afie kwenye ubunge ( magreti sita) amerudi tena.Mambo vp homeboy
Homeboy naona bibi anataka afie kwenye ubunge ( magreti sita) amerudi tena.Mambo vp homeboy
Yupo powa homeboy vp familia Yako ipo powaa kwa kweriiiii 😊 Jf tumekua Jf monger'sAise salama kabisa jamaa yangu vipi shemeji yangu mzima. Homeboy hii jf nikama ulevi aise siku ipite bila kuingia humu nikazi
Hapo kwenye kumshika matako siungi mkono kumbukumbu haifutiki mkuu atakuea anajisemeaga moyoni mpaka kesho hii inshu nmeiona live ndugu zangu Fanya vitimbi sio kudhalilisha utu wa mwenzakoIla ulipo mshika matako inaelekea unayasujudu masuala ya upinde kwanini uangaike hivyo wakati unatakiwa uweke ratiba kwako
Hakuna ajuae kesho..in short ukikaa kwa shemeji au kwa ndugu jitahidi kutokua mzigo.Ulifikiria ikija tokea dogo akatusua life alafu uko uzeeni,, Kuna bro alikuja ka wewe mkuu mambo ualimwendea kombo maradhi na nini akaanza lalamika watu hawaendi mtembelea, mara wamemtelekeza, Huwa nikimuangalia namuonea huruma
Fullstop,kwishaa
Familia yangu iposalama kabisa aise.ila mama sita anastahili urambo ameipendezesha sana yani nilienda mwakajana aise urambo imebadirika.Yupo powa homeboy vp familia Yako ipo powaa kwa kweriiiii 😊 Jf tumekua Jf monger's
Kwa kweriiiii kutenda wema/ kumnyima mtu ajenda wewe mtendee yaliyo memaHapo kwenye kumshika matako siungi mkono kumbukumbu haifutiki mkuu atakuea anajisemeaga moyoni mpaka kesho hii inshu nmeiona live ndugu zangu Fanya vitimbi sio kudhalilisha utu wa mwenzako
Fullstop,kwishaaa
Sijaenda long time mwaka juzi alikuja msibani kwetu. Nikaonana nae piga piga story. Yule mother ni brainy amejifunza kuishi na watu yupo very humble na anatembeaga bila ma bodyguards anapendwa sana pia msikivu sanaFamilia yangu iposalama kabisa aise.ila mama sita anastahili urambo ameipendezesha sana yani nilienda mwakajana aise urambo imebadirika.
Rami kila mtaa.
Dah imenisikitisha sana mwanzoni nilimchukia huyo dogo ila lilipo fikra jambo la kumshika matako ni udhaliliKwa kweriiiii kutenda wewe/ kumnyima mtu ajenda wewe mtendee yaliyo mema
Haukuwa muungwana, kidato cha Nne ukashindwa kumlipia hata VETA?. Unamshika makalio shemeji yako, huo NI ujinga haupaswi kujitangazaDogo kamaliza shule mwaka 2023 akaja kukaa kwangu ambapo mimi ni shemeji yake. Mara ya kwanza nliona its ok akae akae akitafuta michongo kwa miezi miwili mitatu nisimbanie.
Amekaa mwaka ukaisha. Yupo tu anafuga kitambi. Anaamka saa 3 anakunywa chai. Anaangalia tv na kucheck movies tu akisubiri chakula cha mchana. Hapa kuna bustani hata kumwagia hawezi.
Mimi nguo zangu nanyoosha mwenyewe. Gari sometimes weekend naosha yangu na ya mke wangu. Dogo anacheck mpira au movie.
Nikaona nimwambie dada yake. Kuwa sasa aangalie mdogo wake atafanya shughuli gani maana sasa anaweza pata magonjwa ya uzembe. Akasema akajisomee udereva. Nikanyamaza. Siku 2 anakuja kuwa shem naomba lakhi 400,000 nmepata driving school.
Sikumjibu kitu. Baada ya week nipo room anakuja dada yake kuniambia Ommy anasema kuna kikao twende sebuleni. Nlimtizama na kumuuliza nani katoa kibali cha kuitisha kikao ndani mwangu? Tena kwa kunipa mwaliko mimi mwenye nyumba? Dada yake akaongea ongea nikanyamaza.
Sasa last week nmerudi nmemkuta kakaa sofani na nikamshika kichwani akageuka.. nikamwambia nlidhania ni mke wangu(dada yake)
Kuna siku nikamkuta kwenye friji nikamshika makalio. Akashtuka. Nami alivyogeuka nikashangaa... Nikamwambia. Asiee.... Nlidhani ni Aisha... (Dada yake) Nlimwambia umekaa sana na dada yako mpaka sasa mnafanana. Alikasirika akaja sema kwa dada yake. Dada yake hakuniuliza kitu.
Nlisema moyoni siku hiyo ntamwita aje amshike dada yake miguu. Ajue nimemchoka. Anaota kitambi nyumbani kwangu mwaka wa 2 huu. Anajisahau kabisa.
Nikawa nasema kifuatacho sasa nitamwalika siku moja room aje amshike dada yake miguu nikimchabanga kwa style mpya ya KISHIKA UCHUMBA. Hapo nadhani angechoka kabisa kukaa home
Nimerudi juzi dada yake ananiambia Ommy karudi Tanga. Kaenda salimia wazazi. Nikajua tu zile actions zimefanya kazi.
Nlimvumilia sana mpaka nikaanza kuhisi pengine dada yake kaniwekea madawa niwe bwege. Nliaanza pote uume wangu kabisa. Sasa shwari kabisa hakuna kufuga ujinga.
Alisoma alama za nyakati baada ya kifo cha mmewake aise akaona sasa ni muda wa kusimama yeye kama yeye.Sijaenda long time mwaka juzi alikuja msibani kwetu. Nikaonana nae piga piga story. Yule mother ni brainy amejifunza kuishi na watu yupo very humble na anatembeaga bila ma bodyguards anapendwa sana pia msikivu sana
Mimi sinaga moyo wa visasi kikubwa jamaa achukue Hilo kama motivation na kupata hasira ya kupambana na maisha ili atoboe.Dah imenisikitisha sana mwanzoni nilimchukia huyo dogo ila lilipo fikra jambo la kumshika matako ni udhalili
Fullstop, kwishaaa
Sema wengi wameondoka aisee ivi st. Vincent de Paul still ipo?Alisoma alama za nyakati baada ya kifo cha mmewake aise akaona sasa ni muda wa kusimama yeye kama yeye.
Sasahivi urambo mataa ya barabarani kama yote, rami kila mtaa ,mabomba yw maji. Tena panafaa kuwa makao makuu ya mkoa
Inge tokea dogo ni msela akakichoma kisu ukafa halaf akiulizwa nini chanzo aseme shemeji yake alitaka kumuingilia kinyume na maumbile, alikuja anamshika matako na shaidi ni dada ake, nishashuhudia shemeji mtu anasukumiwa fisti za kutosha,Mimi sinaga moyo wa visasi kikubwa jamaa achukue Hilo kama motivation na kupata hasira ya kupambana na maisha ili atoboe.
Mimi Huwa napenda sana NEGATIVE MOTIVATION na for sure UKISEMA siwezi hiki , matusiii, kejeli DHARAU VIBURII UGOMVII Mimi kwangu ni motivation ndio hunipaga nguvuuuuuuuu ya kupambana
Sio vyema kumshika kijana matako na KUSEMA kafanana na dada yake 😔😴Inge tokea dogo ni msela akakichoma kisu ukafa halaf akiulizwa nini chanzo aseme shemeji yake alitaka kumuingilia kinyume na maumbile, alikuja anamshika matako na shaidi ni dada ake, nishashuhudia shemeji mtu anasukumiwa fisti za kutosha,
Fullstop, kwishaaaa
Visent ipo ila imepoa sio kama zama zile za brother james ilikuwa ya moto.Sema wengi wameondoka aisee ivi st. Vincent de Paul still ipo?
Nakumbuka stendi ipo kule urambo mjini niliendaga mpaka hospital ya SOKO
KWELI HOMEBOY YAAN EAST OR WEST HOME IS THE BEST.