Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

KUKAA KWA NDUGU NI UJINGA KAMA UNA KWENU KOMAA HUKO KWENU TOBOA HAMIA KWAKO.

ETI NAAMKA NAPANGUSA TV NA MIKATE NA BLUEBAND YA SHEMEJI BADALA YA YA BABA NA MAMA YANGU MZAZI AMABAO WAKO NAMI TANGU SIJITAMBUI.

UNAANZAJE KWENDA KWA MUME WA DADA YAKO AU MKE WA KAKA YAKO NA NDUGU ZAKO KUKAA MIAKA SIJUI MWEZI WITH NO PLAN SI UKAE NYUMBANI.
 
Umefanya vizuri maan angekaa hapo mpak ataanza kuingiza mademu kulombea humo humo kwako
 
Back
Top Bottom