Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

we jamaa fala kweli ety umeanza kufanana na dadaako🀣🀣🀣
 
Hapo hauna lawama bossss! Vijana wa siku hizi wamekuwa wajinga sana! Sisi kukaa kwa shemeji tulikuwa na malengo hatukuwa mabwege kama hawa. Ilifika mahali mpaka mashemeji wakawa hawataki tuondoke! Maana kama kazi zilikuwa zinapigwa siyo mchezo! Hivyo baada ya kugundua kwamba vijana wa siku hizi wamekuwa wapumbavu nimewafundisha vijana wangu kutokuwa na mazoea na familia za watu na wakienda nahakikisha hawakai kibwege kama kazi lazima wafanye. Nashukuru na wao wameshaji-tune huwezi kuwakuta wanashobokea kwenda kwa watu huwasikii! Kuna ng'ombe ilikuja kwangu haikumaliza hata mwezi ikarudi kijijini. Wife alijitahidi akaipeleka VETA sasa kwa vile haipendi shule ikawa inaishia njiani unarudi kuangalia TV, haaa! Wife aliwaka kila akiikuta imekaa kihasara anasema hivi wewe unajitambua? Mbona ilitoroka kurudi kijijini. Sasa hii ya kwako uliivumilia sana miaka miwili siyo mchezo ingekujazia choo bure!
 
Aisee mimi niko tofauti sana kama kitu sikitaki nitakisema hapo hapo

Kuna kipindi tulikuwa tumepanga room moja halafu wife akamuarika mtoto wa kike wa dada ake aje likizo bila hata kunishirikisha siku anakuja kuniambia ndio siku ya safari nikamcha nikamuuliza kwahiyo wataka nikikudinya upate shuhuda au?

Nikastopisha safari ila nikamwambia atakuja siku tukihamia kwetu
 
Umekosea ungeacha aje uinganishe katika gemu
Siku moja unajifanya mgonjwa wife akienda job huku nyuma unampiga ile staili ya dada yake usiku utakuja kunishukuru
Hakikisha hadi apate mimba
Kwenye kikao waeleze mazingira ya makazi yenu
 
Madogo hi wapumbavu! Halafu hapo ukute limetoka chuo kabisa na degree kichwani! Bahati yako uligoma kulipeleka chuo cha udereva hapo lilikuwa linavizia gari yako!

Lengo lake nligundua yule bwege awe anapiga misele na gari nliyomnunulia dada ake. Ana degree kabisa. Na nyumbani hafanyi kazi yoyote ile. Imagine anaota kitambi kabisa na kunenepa makalio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…