Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

Dogo kamaliza shule mwaka 2023 akaja kukaa kwangu ambapo mimi ni shemeji yake. Mara ya kwanza nliona its ok akae akae akitafuta michongo kwa miezi miwili mitatu nisimbanie.

Amekaa mwaka ukaisha. Yupo tu anafuga kitambi. Anaamka saa 3 anakunywa chai. Anaangalia tv na kucheck movies tu akisubiri chakula cha mchana. Hapa kuna bustani hata kumwagia hawezi.

Mimi nguo zangu nanyoosha mwenyewe. Gari sometimes weekend naosha yangu na ya mke wangu. Dogo anacheck mpira au movie.

Nikaona nimwambie dada yake. Kuwa sasa aangalie mdogo wake atafanya shughuli gani maana sasa anaweza pata magonjwa ya uzembe. Akasema akajisomee udereva. Nikanyamaza. Siku 2 anakuja kuwa shem naomba lakhi 400,000 nmepata driving school.

Sikumjibu kitu. Baada ya week nipo room anakuja dada yake kuniambia Ommy anasema kuna kikao twende sebuleni. Nlimtizama na kumuuliza nani katoa kibali cha kuitisha kikao ndani mwangu? Tena kwa kunipa mwaliko mimi mwenye nyumba? Dada yake akaongea ongea nikanyamaza.

Sasa last week nmerudi nmemkuta kakaa sofani na nikamshika kichwani akageuka.. nikamwambia nlidhania ni mke wangu(dada yake)

Kuna siku nikamkuta kwenye friji nikamshika makalio. Akashtuka. Nami alivyogeuka nikashangaa... Nikamwambia. Asiee.... Nlidhani ni Aisha... (Dada yake) Nlimwambia umekaa sana na dada yako mpaka sasa mnafanana. Alikasirika akaja sema kwa dada yake. Dada yake hakuniuliza kitu.

Nlisema moyoni siku hiyo ntamwita aje amshike dada yake miguu. Ajue nimemchoka. Anaota kitambi nyumbani kwangu mwaka wa 2 huu. Anajisahau kabisa.

Nikawa nasema kifuatacho sasa nitamwalika siku moja room aje amshike dada yake miguu nikimchabanga kwa style mpya ya KISHIKA UCHUMBA. Hapo nadhani angechoka kabisa kukaa home

Nimerudi juzi dada yake ananiambia Ommy karudi Tanga. Kaenda salimia wazazi. Nikajua tu zile actions zimefanya kazi.

Nlimvumilia sana mpaka nikaanza kuhisi pengine dada yake kaniwekea madawa niwe bwege. Nliaanza pote uume wangu kabisa. Sasa shwari kabisa hakuna kufuga ujinga.
Katika maelezo yako yote hakuna sehemu umesema ulimtafutia dili fulani akakataa! Alikuomba pesa ya udereva ukakaa kimya.

Tenda wema nenda zako. Si vijana wote wana stadi za maisha za kujiongeza bali wengine wanahitaji kufosiwa. Kwa mfano, ndugu kabla hajaja mjini unandaa mazingira kabisa, akifika tu siku ya kwanza, ya pili then unampeleka mchongoni hata kama ni vibarua.

Kitu kingine, usikae kimya kijana anapozingua. Kwa mfano, unaosha magari halafu unamuacha sebuleni badala ya kumchana. Huko ni kumuharibu!
 
😅😅
 
Chakula tu hicho na sehemu ya kukaa unayo ,dunia tunapita , Punguza roho mbaya ni ushamba haujui kesho yako...

Hata sihitaji kuijua kesho. Wewe unayeijua unataka ukakae kwa shemeji yako. Mnaolewa wote. Nimeoa mtu mmoja sijaoa wote. Mtoto wa kiume unataka alelewe? Kwa wewe mwanamke angalau unaweza lelewa si unakuwa unamsaidia dada yako. Nawe inatakiwa uolewe nyie watanga mna shida sana.
 
Mimi sikutafutiwa dili na sina dili la kumtafutia mtu. Nimsomeshe udereva ana gari? Yaani kwa kulala na kula nikamsomeshe udereva? Hapana. Mtu mzima nimwambie kazi za kufanya aseme namtesa? Aendelee kukaa.
 
Wasambaa tunabebana sana ila kazi tunapiga ,...Ukiona watu hawaji kwako mpaka unajishtukia😂😂...Mzee kalea watu ambao kwa sasa wanamsaidia sana hapa town , vijana wanekuja na miaka 15 wanapiga kazi ...Sasa wana maduka mjini hapa ,akikohoa tu anapesa pesa .
Ukioa msambaa jiandae ndugu wa mke watajaa sana nyumbani malapa yatajaa mlangoni kama msikitini
 
Umekosea ungeacha aje uinganishe katika gemu
Siku moja unajifanya mgonjwa wife akienda job huku nyuma unampiga ile staili ya dada yake usiku utakuja kunishukuru
Hakikisha hadi apate mimba
Kwenye kikao waeleze mazingira ya makazi yenu
Siwezagi kukaa na kitu rohoni mkuu nitakitema muda huo huo
 
Hapo hauna lawama bossss! Vijana wa siku hizi wamekuwa wajinga sana! Sisi kukaa kwa shemeji tulikuwa na malengo hatukuwa mabwege kama hawa. Ilifika mahali mpaka mashemeji wakawa hawataki tuondoke! Maana kama kazi zilikuwa zinapigwa siyo mchezo! Hivyo baada ya kugundua kwamba vijana wa siku hizi wamekuwa wapumbavu nimewadusniaha vijana wangu kutokuwa na mazoea na familia za watu na wakienda nahakikisha Hawaii kibwege kama kazi lazima wafanye. Nashukuru na wao wameshaji-tune huwezi kuwakuta wanashobokea kwenda kwa watu huwasikii! Kuna ng'ombe ilikuja kwangu haikumaliza hata mwezi likarudi kijijini. Wife alijitahidi akaipeleka VETA sasa kwa vile haipendi shule ikawa inaishia njiani unarudi kuangalia TV, haaa! Wife aliwaka kila akiikuta imekaa kihasara anasema hivi wewe unajitambua? Mbona ilitoroka kurudi kijijini. Sasa hii ya kwako uliivumilia sana miaka miwili siyo mchezo ingekujazia choo bure!

Wewe upo smart sana. Vijana wa siku hizi wapuuzi sana. Tena sana. Ndo maana wanakuwa mashoga
 
Hata sihitaji kuijua kesho. Wewe unayeijua unataka ukakae kwa shemeji yako. Mnaolewa wote. Nimeoa mtu mmoja sijaoa wote. Mtoto wa kiume unataka alelewe? Kwa wewe mwanamke angalau unaweza lelewa si unakuwa unamsaidia dada yako. Nawe inatakiwa uolewe nyie watanga mna shida sana.
Labda sisi kwetu mpaka mzee anaita watu waje kukaa ,sisi hatuna roho ya kutu ..Tunajitambua , hatuna chuki za kishamba ...Maisha ya kawaida ila kama kula chakula kipo ,mashamba yapo na bajeti ya kula ni ndogo ,tuko wachache so mlete hapa.

Tutamuunga na vijana ,sharti asilete malaya maana nyumbani yetu ni salah 5..Chakula tunashare mpaka na majirani na hamna noma.
 
Mimi sikutafutiwe dili na sina dili la kumtafutia mtu. Nimsomeshe udereva ana gari? Yaani kwa kulala na kula nikamsomeshe udereva? Hapana. Mtu mzima nimwambie kazi za kufanya aseme namtesa? Aendelee kukaa.
Hapana, elimu ya kujitambua kwa vijana wa sasa ni muhimu sana hasa kwa ndugu anayekuja kuishi kwako, haijalishi mke au wazazi wake wanalalamika vipi lakini mwisho wa siku mhusika ataona faida kwa sababu ataweza kujitegemea.

Vijana wa zama za sasa wanahitaji busta, unafanya tu kama msaada. Tafuta mchongo huyo! Tenda wema nenda zako!
 
Labda sisi kwetu mpaka mzee anaita watu waje kukaa ,sisi hatuna roho ya kutu ..Tunajitambua , hatuna chuki za kishamba ...Maisha ya kawaida ila kama kula chakula kipo ,mashamba yapo na bajeti ya kula ni ndogo ,tuko wachache so mlete hapa.

Tutamuunga na vijana ,sharti asilete malaya maana nyumbani yetu ni salah 5..Chakula tunashare mpaka na majirani na hamna noma.
Mashamba ya nini tena wakati unaambiwa ile ng'ombe haijui kushika jembe. Hata kwa GuDume kama ingekuwa hata inapalilia bustani naamini isingeondoka kinyonge!
 
Chakula tu hicho na sehemu ya kukaa unayo ,dunia tunapita , Punguza roho mbaya ni ushamba haujui kesho yako...
Hii nitakupinga mkuu mitoto ya sikuizi ni mibwenyenye Sana

Yani hawajishughulishi kabsa na kazi za nyumbani unakuta hata mtu katengewa msosi atakula akimaliza ataacha hapo hapo hata kutoa vyombo tabu. Wakati tunakua tulikuwa tukienda kwa watu tutaosha hadi vyombo asubuhi hata kama ni wanaume na tutafagia uwanja na kuchota maji sio vijana wa sasahivi sio wa kike wala wa kiume
 
Baadhi ya watu ni watu tu, hawana utu.
 
Labda sisi kwetu mpaka mzee anaita watu waje kukaa ,sisi hatuna roho ya kutu ..Tunajitambua , hatuna chuki za kishamba ...Maisha ya kawaida ila kama kula chakula kipo ,mashamba yapo na bajeti ya kula ni ndogo ,tuko wachache so mlete hapa.

Tutamuunga na vijana ,sharti asilete malaya maana nyumbani yetu ni salah 5..Chakula tunashare mpaka na majirani na hamna noma.

Njoo ukae hapa na dada yako. Maana naye ni mtu wa huko huko Tanga
 
Mashamba ya nini tena wakati unaambiwa ile ng'ombe haijui kushika jembe. Hata kwa GuDume kama ingekuwa hata inapalilia bustani naamini isingeondoka kinyonge!
Hamna mshika jembe kwetu ,mashamba yanalimwa na vibarua ,yako mbali huko michungwani 😂😂😂..So anajua mzee abalance vip , mzee atamlimisha nan kila mtu ana maisha yake ..Kiufupi tuko wachache na mzee umri umeenda ,mimi nina kwangu na maisha yangu .

Mzee kalelea watoto vijana wengi mpaka kawaozesha ,anaona faida sasa.
 
Back
Top Bottom