GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,700
- 14,647
- Thread starter
- #81
Mashamba ya nini tena wakati unaambiwa ile ng'ombe haijui kushika jembe. Hata kwa GuDume kama ingekuwa hata inapalilia bustani naamini isingeondoka kinyonge!
Dogo anacheck movie, mpira na kucheza game asubuhi hadi usiku. Akila anasubiria binti atoe vyombo. Sifugi chawa . Ningemwoa tu kama dada yake. Kisha anataka itisha kikao nyumbani kwangu. Hii midogo ikukwea makambo aiseee....