Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

Mkuu hukufanya sahihi, kama mtu mzima na hekima zake ungemueleza ukweli tu na kuongea naye ana kwa ana.
Njia ulizotumia sio za busara hata kidogo.
Ulitakiwa utumie busara tu mambo yangeeleweka.
Kama unatumia njia hizo duh sijui hata wanao unawaelekeza nini kuhusu kitu busara na hekima.
Kama naliona li GuDume linavyopapasa kalio ya shemeji! Lakini hata kama angeenda kushitaki nyumbani kwao jamaa si lingejitetea kwamba lilikuwa linataniana na shemeji yake?
 
Lengo lake nligundua yule bwege awe anapiga misele na gari nliyomnunulia dada ake. Ana degree kabisa. Na nyumbani hafanyi kazi yoyote ile. Imagine anaota kitambi kabisa na kunenepa makalio.
Lipo tu linasubiria ajira za saa100? Pumbavu kabisa!
 
Mkuu hukufanya sahihi, kama mtu mzima na hekima zake ungemueleza ukweli tu na kuongea naye ana kwa ana.
Njia ulizotumia sio za busara hata kidogo.
Ulitakiwa utumie busara tu mambo yangeeleweka.
Kama unatumia njia hizo duh sijui hata wanao unawaelekeza nini kuhusu kitu busara na hekima.
Hawaelewagi hao ndio maana aliitisha kikao , na anaweza kukujibu hapa kwa sister , niliwahi kudeal na mmoja alikuwa anapiga mziki mpaka saba usiku kwa sauti kubwa kibaya zaidi akaanza kula house girl
 
Dogo kamaliza shule mwaka 2023 akaja kukaa kwangu ambapo mimi ni shemeji yake. Mara ya kwanza nliona its ok akae akae akitafuta michongo kwa miezi miwili mitatu nisimbanie.

Amekaa mwaka ukaisha. Yupo tu anafuga kitambi. Anaamka saa 3 anakunywa chai. Anaangalia tv na kucheck movies tu akisubiri chakula cha mchana. Hapa kuna bustani hata kumwagia hawezi.

Mimi nguo zangu nanyoosha mwenyewe. Gari sometimes weekend naosha yangu na ya mke wangu. Dogo anacheck mpira au movie.

Nikaona nimwambie dada yake. Kuwa sasa aangalie mdogo wake atafanya shughuli gani maana sasa anaweza pata magonjwa ya uzembe. Akasema akajisomee udereva. Nikanyamaza. Siku 2 anakuja kuwa shem naomba lakhi 400,000 nmepata driving school.

Sikumjibu kitu. Baada ya week nipo room anakuja dada yake kuniambia Ommy anasema kuna kikao twende sebuleni. Nlimtizama na kumuuliza nani katoa kibali cha kuitisha kikao ndani mwangu? Tena kwa kunipa mwaliko mimi mwenye nyumba? Dada yake akaongea ongea nikanyamaza.

Sasa last week nmerudi nmemkuta kakaa sofani na nikamshika kichwani akageuka.. nikamwambia nlidhania ni mke wangu(dada yake)

Kuna siku nikamkuta kwenye friji nikamshika makalio. Akashtuka. Nami alivyogeuka nikashangaa... Nikamwambia. Asiee.... Nlidhani ni Aisha... (Dada yake) Nlimwambia umekaa sana na dada yako mpaka sasa mnafanana. Alikasirika akaja sema kwa dada yake. Dada yake hakuniuliza kitu.

Nlisema moyoni siku hiyo ntamwita aje amshike dada yake miguu. Ajue nimemchoka. Anaota kitambi nyumbani kwangu mwaka wa 2 huu. Anajisahau kabisa.

Nikawa nasema kifuatacho sasa nitamwalika siku moja room aje amshike dada yake miguu nikimchabanga kwa style mpya ya KISHIKA UCHUMBA. Hapo nadhani angechoka kabisa kukaa home

Nimerudi juzi dada yake ananiambia Ommy karudi Tanga. Kaenda salimia wazazi. Nikajua tu zile actions zimefanya kazi.

Nlimvumilia sana mpaka nikaanza kuhisi pengine dada yake kaniwekea madawa niwe bwege. Nliaanza pote uume wangu kabisa. Sasa shwari kabisa hakuna kufuga ujinga.
Umefanya ujinga. Kuwa mwanaume mzee. Huo mzunguko wote wa nini
 
Ungeweza tu kumchana ukweli badala ya kumfanyia hivyo vitendo vya kudhalilisha utu wake. Umeonyesha kabisa kutojiamini kama baba mwenye nyumba. Pia pambana kwa sababu inaonekana wewe bado ni maskini huna hata mradi wa kumweka ndugu ajishikize.
 
Kabisa aiseee.... Miaka 2 mtu anakaa tu home hafanyi lolote.
Ila ungempa muongozo mkuu,wewe ndio kichwa cha familia,yeye kama yeye hana hiyo access anakutegemea wewe.
Japo sijajua ni kwenye mazingira gani,kama ni uswahilini anatakiwa awe ameshapata marafiki na kumuonesha deiwaka hata za kuendesha bodaboda.
 
Ukioa msambaa jiandae ndugu wa mke watajaa sana nyumbani malapa yatajaa mlangoni kama msikitini
Duh kumbe wasambaa ndio wako hivyo,au ndio wale wantengeneza kahawa kule jangwani kariakoo wanaishi watu 7 kwenye chumba kimoja
 
Njia ya kumfukuza mtu kwa kuutweza utu wake wewe unaona ni sahihi? Tena ni mwanaume mwenzie
Jamaa kakosea sana. Haya maisha hayana mwenyewe. Kesho dogo anaweza kuwa kimbilio lake ila kwa hilo doa aliloweka inaweza kuwa ngumu hawa watu kuelewana maishani. Hakuna mwanaume anaweza kumsamehe mtu aliyemshika makalio.
 
Hapana, elimu ya kujitambua kwa vijana wa sasa ni muhimu sana hasa kwa ndugu anayekuja kuishi kwako, haijalishi mke au wazazi wake wanalalamika vipi lakini mwisho wa siku mhusika ataona faida kwa sababu ataweza kujitegemea.

Vijana wa zama za sasa wanahitaji busta, unafanya tu kama msaada. Tafuta mchongo huyo! Tenda wema nenda zako!
Uko sahihi mkuu.
Hata mimi nilitegemea angefanya hivi ili kumuweka bize asishinde nyumbani.
Baadae dogo akishakuwa mzoefu kwenye kazi zake atahama mwenyewe
 
Kama naliona li GuDume linavyopapasa kalio ya shemeji! Lakini hata kama angeenda kushitaki nyumbani kwao jamaa si lingejitetea kwamba lilikuwa linataniana na shemeji yake?
Aisee unajua ni dharau ya hali ya juu kumshika kalio kaka wa shemeji yako!?
Dharau kubwa kinomaaaa!
Yani kama ni ukweli anachoelezea jamaa basi AMEFELI pakubwa.
Hekima ni sifuri.
 
Duh kumbe wasambaa ndio wako hivyo,au ndio wale wantengeneza kahawa kule jangwani kariakoo wanaishi watu 7 kwenye chumba kimoja
Hao ni WAHA wa Kigoma.
Sio hao tu makabila ya pwani ni mtihani hadi wadigo nao ni kama wapemba tu,ukioa umeoa ukoo mzima.
Tena naweza sema bora hata wasambaa.
 
Back
Top Bottom