pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Hao wahitimu mbona hawaajiriwi hadi leo?jiwe aliharibu sana ustaarabu na maisha ya watanzania, wanaompa sifa nyingi ni masikini waliokuwa wanatamani matajiri wafilisike ili watu wafanane.
kitu cha ajabu sana. kabla yake, kikwete ilikuwa ukimaliza chuo unapata kazi, ila alivyoingia jiwe kuna watu walimaliza chuo hadi leo hii hawajapata ajira. angekuwa hai tungemuuliza anajisikiaje. however, alikuwa na strength kadhaa kuliko huyu bibi, asingeweza kuuza nchi kwa waarabu na adan namna hiil hapo ndio tunamkumbuka, angeshafukuza mwarabu kitambo.
Njaa kali ikishakuwa chronic inaharibu akili. Majibu yako yanonyesha akili haifanyi kazi kabisa, ambayo ni dalili njaa kali iliyodumu muda mrefu sana mwilini mwako kabla Magufuli kufariki.Hatutaki kelele mjini
Wahi chato ulie machozi ya uchungu
alishawapotezea direction wakarundikana miaka kadhaa, ukimaliza mwaka huu mwakani wanakuja wenzio hivyo hata wa kuajiriwa nani aachwe nani aajiriwe. huu ni ukweli mchungu ambao hata yeye mwenyewe alikufa akiufahamu. samia kajitahidi kuajiri ila limbikizo la miaka 5 huwezi kuajiri wote.Hao wahitimu mbona hawaajiriwi hadi leo?
Huwezi kuajili jobless wote kutoka mwaka 2015 to-date kwa miaka aliyokaa SSHMagufuli alitawala kwa miaka 7? Au sijaelewa?
Hajafika hata robo ya mzee Kikwetealishawapotezea direction wakarundikana miaka kadhaa, ukimaliza mwaka huu mwakani wanakuja wenzio hivyo hata wa kuajiriwa nani aachwe nani aajiriwe. huu ni ukweli mchungu ambao hata yeye mwenyewe alikufa akiufahamu. samia kajitahidi kuajiri ila limbikizo la miaka 5 huwezi kuajiri wote.
Huyo Kikwete hajakutana na wingi huu wa wahitimu! Msipende kudanganyana hapa!Hajafika hata robo ya mzee Kikwete
HahahaMhuu acha nipite TU wahanga tupo wengi sana
Jpm ajira zilikuwa hewa.....anatangaza ataajiri 50K zinatoka 1000. Imeisha hiyoHuyo Kikwete hajakutana na wingi huu wa wahitimu! Msipende kudanganyana hapa!
Samia anajutahidi sana kuajiri hata JPM alikuwa anatoa ajira japo hazikuwa nyingi
Kumbe zilikuwepo vipi mnaokuja hapa na kuongea ujinga hakuajiri? Saizi una uhakika hizo ajira ni za kweli?Jpm ajira zilikuwa hewa.....anatangaza ataajiri 50K zinatoka 1000. Imeisha hiyo
Sasa kwani hii ulianzia kwake?Jpm ajira zilikuwa hewa.....anatangaza ataajiri 50K zinatoka 1000. Imeisha hiyo
Aisee kaka popote pale ulipo agiza Grants ntakuja kulipia, comment yako imekaa kisomi na imechimba ukweli wa mzizi wa tatizo...sio kama Hawa wajinga na akili zao fupi wanaoshusha lawama kwa marehemuSerikali haina uwezo wa kuajiri watu wote wanaoingia kwenye soko la ajira,
Sekta binafsi ndo muajiri mkuu, kuna sababu kuu 2 kwa nini makampuni binafsi hayakui kwa haraka kuliko inavitarajiwa
1. Watanzania wengi hawafanyi kwa uaminifu kukuza makampuni waliyowaajiri, wengi wanawaza kuiba kwenye makampuni watakayoairiwa, so sekta binafsi haitakuwa kwa haraka kama inavotarajiwa
2. Serikali haiwekezi vzr kwenye makampuni binafsi, Kodi ni kubwa na rushwa NI kubwa, so makampuni hayakui vzr na ajira zao hazipanuki.
Ila ajira ziwe nyingi, la Kwanza ni muhimu zaidi then mengine yatafuata
Samia ni rais bora kuwai kutokea,akomeshe tu utekaji wa watu unamuharibia sana sana, sisi wazee kwakweli inatukera mnoHello!
Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe.
Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030.
Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na matajiri, aliamini kuwa matajiri ni wezi. Kila mwenye mentality ya kimaskini huamini kuwa matajiri ni wezi
Matajiri wakachakazwa haswa, watu wakapoteza ajira sekta binafsi. Serikalini nako hakuajiri. Ndani ya miaka 7 ya utawala wake ajira alizotoa ni kama zile za Kikwete ndani ya miezi 6 au mwaka.
Kwahiyo wahitimu kuanzia kidato cha 4 mpaka chuo kikuu wakajaa mtaani. Rais Samia kajitahidi kumwaga ajira kila mtu shahidi. Ushahidi uko wazi PSRS, kwenye tovuti za mashirika ya umma na wakala za serikali ambazo zimeajiri zenyewe vijana wengi. Lakini tatizo lingali bado.
Kipindi cha Magufuli hatukuona shule mpya za binafsi zikijengwa.
Kipindi cha Magufuli hatukuona vituo vya afya na zahanati za binafsi vikijengwa.
Kipindi cha Magufuli vilijengwa viwanda hewa ambavyo viliajiri vijana milioni ngapi sijui ambao ni hewa.
Enzi za Kikwete 2015 Januari nimeacha kazi ya serikali, Juni mwaka huohuo nikapata sehemu nyingine.
Enzi za Kikwete watu wengine walikuwa hawaendi kuripoti kwenye vituo na wanaomba mwaka unaofuata wanapata tena.
Kwa hiyo mnachukua hatua gani Sasa kutibu hili tatizo au ndio mtabaki mnalaumu mfu siku zote mpaka kufa kwenu???alishawapotezea direction wakarundikana miaka kadhaa, ukimaliza mwaka huu mwakani wanakuja wenzio hivyo hata wa kuajiriwa nani aachwe nani aajiriwe. huu ni ukweli mchungu ambao hata yeye mwenyewe alikufa akiufahamu. samia kajitahidi kuajiri ila limbikizo la miaka 5 huwezi kuajiri wote.
Rejea nyuzi zanguChawa katika ubora wake! 🤧🤧
Uko sahihi kabisa mkuu, Nchi nyingi sana za kusini wenyeji ni wavivu kufanya kazi.Nenda Zambia,Malawi,South au Mozambique utakuta wageni kibao na wametoboa. Watu wanafikiri waethiopia au wasomalia ni maskini wanavyokamatwa hapa bongo,jamaa wanahela. Huko wanaenda kuendelea tu maisha mengine wanayoona kwao ni mazuriethiopia kuna vita upande ule wa tigrey, pia, nje ya nchi kuna waethiopia wengi sana wamefanikiwa, hao jamaa wapo vizuri sana kwenye maduka na mikahawa, hivyo wakifanikiwa kutoroka kufika huko south, na baadaye ulaya na america, huwa wanafikia kwa jamaa zao waliotangulia, na wanasaidiana kutafuta maisha. hao wanaokamatwa tanzania usijefikiri ni maskini sana, kutoka ethiopia hadi south unawezashangaa ametumia milion 5, hiyo sio hela ndogo kwa mwafrika, hivyo usione wanapita na marori hapa ukafikiri ni maskini saana, hapana, ni kama hawa wabongo wanaojiita midle class tu.
utamaduni wa kukimbila nchi nyingine kutafuta maisha haimaanishi nchini kwako kuna shida saana, angalia Nigeria, angalia south america wanavyokimbilia marekani hadi trump anajenga ukuta, wanatafuta maisha. watanzania ni mbumbumbu wanaamini maisha yapo hapa tu, huu ugumu wa kupata pesa ulipo bongo usifikiri nchi zingine zenye viongozi wenye akili kuna ugumu kama huu. kuna nchi zilishatengeneza miundombinu na fursa ukifika tu mwaka mrefu umeshasimama na unapata pesa ndefu kuliko ungepata hapa na unaanza kutuma nyumbani kujenga na kusaidia ndugu zako. na south africa ni njia tu kwa sababu pale wakikukamata unapata asylum, wana uzungu fulani wa kuheshimu haki za binadamu sio kama hapa bongo wanafungwa wakati wanapita tu hata hawana haja kukimbilia hapa bongo. onyesha muethiopia mmoja tu aliyezamia bongo, hakuna, wanapita tu hapa.
kwa waliowahi kusafiri, ukikutana na wasomali popote pale, utaamini kuondoka somalia kwenda huko kumewasaidia, wana maduka makubwa, mahoteli, mikahawa, na biashara kubwa, kwa sababu nchi hizo zingine watu hawafanyi kazi kwa bidii kama sisi, hapa unasota kwa jasho na hupati pesa, jasho hili unatumia hapa bongo ukienda kulitumia nchi zenye fursa unatajirika mapema.