Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

jiwe aliharibu sana ustaarabu na maisha ya watanzania, wanaompa sifa nyingi ni masikini waliokuwa wanatamani matajiri wafilisike ili watu wafanane.

kitu cha ajabu sana. kabla yake, kikwete ilikuwa ukimaliza chuo unapata kazi, ila alivyoingia jiwe kuna watu walimaliza chuo hadi leo hii hawajapata ajira. angekuwa hai tungemuuliza anajisikiaje. however, alikuwa na strength kadhaa kuliko huyu bibi, asingeweza kuuza nchi kwa waarabu na adan namna hiil hapo ndio tunamkumbuka, angeshafukuza mwarabu kitambo.
Hao wahitimu mbona hawaajiriwi hadi leo?
 
Serikali haina uwezo wa kuajiri watu wote wanaoingia kwenye soko la ajira,

Sekta binafsi ndo muajiri mkuu, kuna sababu kuu 2 kwa nini makampuni binafsi hayakui kwa haraka kuliko inavitarajiwa

1. Watanzania wengi hawafanyi kwa uaminifu kukuza makampuni waliyowaajiri, wengi wanawaza kuiba kwenye makampuni watakayoairiwa, so sekta binafsi haitakuwa kwa haraka kama inavotarajiwa

2. Serikali haiwekezi vzr kwenye makampuni binafsi, Kodi ni kubwa na rushwa NI kubwa, so makampuni hayakui vzr na ajira zao hazipanuki.

Ila ajira ziwe nyingi, la Kwanza ni muhimu zaidi then mengine yatafuata
 
Hao wahitimu mbona hawaajiriwi hadi leo?
alishawapotezea direction wakarundikana miaka kadhaa, ukimaliza mwaka huu mwakani wanakuja wenzio hivyo hata wa kuajiriwa nani aachwe nani aajiriwe. huu ni ukweli mchungu ambao hata yeye mwenyewe alikufa akiufahamu. samia kajitahidi kuajiri ila limbikizo la miaka 5 huwezi kuajiri wote.
 
alishawapotezea direction wakarundikana miaka kadhaa, ukimaliza mwaka huu mwakani wanakuja wenzio hivyo hata wa kuajiriwa nani aachwe nani aajiriwe. huu ni ukweli mchungu ambao hata yeye mwenyewe alikufa akiufahamu. samia kajitahidi kuajiri ila limbikizo la miaka 5 huwezi kuajiri wote.
Hajafika hata robo ya mzee Kikwete
 
MPUMBAVVU mwingine huyu hapa aliyebaki kuilaumu awamu iliyokufa kwa makosa yanayoendelezwa na serikali ya bibi tozo.... yaani wewe badala ya kuchukua hatua ya kuiwajibisha serikali inayokuongoza kwa kushindwa Kuja na sera thabiti ya kuondoa tatizo hili wewe umebaki kushusha lawama kwa mtu ambaye ni mfu???

Ndio maana majirani zenu Huwa wanawatukana sana na kwa akili hizi wako sahihi kuwatukana.
 
Jpm ajira zilikuwa hewa.....anatangaza ataajiri 50K zinatoka 1000. Imeisha hiyo
Kumbe zilikuwepo vipi mnaokuja hapa na kuongea ujinga hakuajiri? Saizi una uhakika hizo ajira ni za kweli?
Usipende kudakia mambo bila ushahidi mara zilikuwa hewa mara ajira kidogo na upumbavu mwingi usio na kichwa wala miguu!
 
Jpm ajira zilikuwa hewa.....anatangaza ataajiri 50K zinatoka 1000. Imeisha hiyo
Sasa kwani hii ulianzia kwake?

Hili suala la wafanyakazi hewa halijawahi kuisha nchi hii, na litakuja kuisha siku mkiwa na mifumo thabiti kwenye Kila government sector na sio hii ya Sasa ambayo imeoza na huwa haibadilishwi.

Mimi Nina bibi yangu alistaafu kazi ya alimashauri huko Nzega mwaka 2008 lakini aliendelea kupokea mshaara kama mfanya kazi hadi 2014, na Kuna wastaafu wenzake ambao wao walipokea hiyo mishaara hewa mpaka 2017.

Sasa wewe unafikiri ni tatizo dogo hilo? Hakuna mtu wa kulizuia hili, labda kulipunguza tu. Na hata Sasa hivi Kuna watu wamefariki kwenye ajira zao lakini Bado mishaara yao inaendelea kutoka na watu wanapiga humo humo ofisini.
 
Nimegundua wengi wanaopinga humu ni Wasukuma, kwa namna moja au nyingine walienjoy kipindi hicho.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni MAMA kwa kipindi kifupi kaajiri watu wengi sana.
Nendeni Psrs mkaangalie record ndani ya miaka 3 alafu ndio mje mpinge humu.
 
Serikali haina uwezo wa kuajiri watu wote wanaoingia kwenye soko la ajira,

Sekta binafsi ndo muajiri mkuu, kuna sababu kuu 2 kwa nini makampuni binafsi hayakui kwa haraka kuliko inavitarajiwa

1. Watanzania wengi hawafanyi kwa uaminifu kukuza makampuni waliyowaajiri, wengi wanawaza kuiba kwenye makampuni watakayoairiwa, so sekta binafsi haitakuwa kwa haraka kama inavotarajiwa

2. Serikali haiwekezi vzr kwenye makampuni binafsi, Kodi ni kubwa na rushwa NI kubwa, so makampuni hayakui vzr na ajira zao hazipanuki.

Ila ajira ziwe nyingi, la Kwanza ni muhimu zaidi then mengine yatafuata
Aisee kaka popote pale ulipo agiza Grants ntakuja kulipia, comment yako imekaa kisomi na imechimba ukweli wa mzizi wa tatizo...sio kama Hawa wajinga na akili zao fupi wanaoshusha lawama kwa marehemu

Ni jambo ambalo liko wazi popote pale duniani sekta binafsi ndio muajiri mkuu namba Moja na sio serikali... Ajira za serikali siku zote huwa ni chache sana kulinganisha na idadi ya watu waliopo, hivyo inachofanya serikali ni kuinspire wawekezaji waje nchini hili wazalishe ajira kwa wingi.

Sasa kwa Tanzania yetu hii sekta binafsi haiwezi kukua kutokana na sababu ulizotaja hapo juu... Serikali Haina sera rafiki, Haina mifumo ya Kodi rafiki, Haijaweka miundo mbinu ya maana na hivyo sekta binafsi itaendelea kuwa dumavu na ajira zitaendelea kuwa chache na wajinga kama huyu mleta mada wataendelea kumlaumu Magufuli.

Kipindi Cha Magufuli serikali pekee tu ndio ilibana sana kwenye suala la ajira lakini sekta binafsi ziliendelea kutoa ajira kama kawaida hapa naongelea zile kampuni ambazo zilikuwa hazina makando makando kama vile kukwepa Kodi...! Sasa Hawa wanaoshindaga humu na kuilaumu serikali ya awamu ya Tano huwa nawaona nj fikra duni ndio zinawasumbua
 
Hello!

Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe.

Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030.

Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na matajiri, aliamini kuwa matajiri ni wezi. Kila mwenye mentality ya kimaskini huamini kuwa matajiri ni wezi

Matajiri wakachakazwa haswa, watu wakapoteza ajira sekta binafsi. Serikalini nako hakuajiri. Ndani ya miaka 7 ya utawala wake ajira alizotoa ni kama zile za Kikwete ndani ya miezi 6 au mwaka.

Kwahiyo wahitimu kuanzia kidato cha 4 mpaka chuo kikuu wakajaa mtaani. Rais Samia kajitahidi kumwaga ajira kila mtu shahidi. Ushahidi uko wazi PSRS, kwenye tovuti za mashirika ya umma na wakala za serikali ambazo zimeajiri zenyewe vijana wengi. Lakini tatizo lingali bado.

Kipindi cha Magufuli hatukuona shule mpya za binafsi zikijengwa.

Kipindi cha Magufuli hatukuona vituo vya afya na zahanati za binafsi vikijengwa.

Kipindi cha Magufuli vilijengwa viwanda hewa ambavyo viliajiri vijana milioni ngapi sijui ambao ni hewa.

Enzi za Kikwete 2015 Januari nimeacha kazi ya serikali, Juni mwaka huohuo nikapata sehemu nyingine.

Enzi za Kikwete watu wengine walikuwa hawaendi kuripoti kwenye vituo na wanaomba mwaka unaofuata wanapata tena.
Samia ni rais bora kuwai kutokea,akomeshe tu utekaji wa watu unamuharibia sana sana, sisi wazee kwakweli inatukera mno
 
alishawapotezea direction wakarundikana miaka kadhaa, ukimaliza mwaka huu mwakani wanakuja wenzio hivyo hata wa kuajiriwa nani aachwe nani aajiriwe. huu ni ukweli mchungu ambao hata yeye mwenyewe alikufa akiufahamu. samia kajitahidi kuajiri ila limbikizo la miaka 5 huwezi kuajiri wote.
Kwa hiyo mnachukua hatua gani Sasa kutibu hili tatizo au ndio mtabaki mnalaumu mfu siku zote mpaka kufa kwenu???
 
ethiopia kuna vita upande ule wa tigrey, pia, nje ya nchi kuna waethiopia wengi sana wamefanikiwa, hao jamaa wapo vizuri sana kwenye maduka na mikahawa, hivyo wakifanikiwa kutoroka kufika huko south, na baadaye ulaya na america, huwa wanafikia kwa jamaa zao waliotangulia, na wanasaidiana kutafuta maisha. hao wanaokamatwa tanzania usijefikiri ni maskini sana, kutoka ethiopia hadi south unawezashangaa ametumia milion 5, hiyo sio hela ndogo kwa mwafrika, hivyo usione wanapita na marori hapa ukafikiri ni maskini saana, hapana, ni kama hawa wabongo wanaojiita midle class tu.

utamaduni wa kukimbila nchi nyingine kutafuta maisha haimaanishi nchini kwako kuna shida saana, angalia Nigeria, angalia south america wanavyokimbilia marekani hadi trump anajenga ukuta, wanatafuta maisha. watanzania ni mbumbumbu wanaamini maisha yapo hapa tu, huu ugumu wa kupata pesa ulipo bongo usifikiri nchi zingine zenye viongozi wenye akili kuna ugumu kama huu. kuna nchi zilishatengeneza miundombinu na fursa ukifika tu mwaka mrefu umeshasimama na unapata pesa ndefu kuliko ungepata hapa na unaanza kutuma nyumbani kujenga na kusaidia ndugu zako. na south africa ni njia tu kwa sababu pale wakikukamata unapata asylum, wana uzungu fulani wa kuheshimu haki za binadamu sio kama hapa bongo wanafungwa wakati wanapita tu hata hawana haja kukimbilia hapa bongo. onyesha muethiopia mmoja tu aliyezamia bongo, hakuna, wanapita tu hapa.

kwa waliowahi kusafiri, ukikutana na wasomali popote pale, utaamini kuondoka somalia kwenda huko kumewasaidia, wana maduka makubwa, mahoteli, mikahawa, na biashara kubwa, kwa sababu nchi hizo zingine watu hawafanyi kazi kwa bidii kama sisi, hapa unasota kwa jasho na hupati pesa, jasho hili unatumia hapa bongo ukienda kulitumia nchi zenye fursa unatajirika mapema.
Uko sahihi kabisa mkuu, Nchi nyingi sana za kusini wenyeji ni wavivu kufanya kazi.Nenda Zambia,Malawi,South au Mozambique utakuta wageni kibao na wametoboa. Watu wanafikiri waethiopia au wasomalia ni maskini wanavyokamatwa hapa bongo,jamaa wanahela. Huko wanaenda kuendelea tu maisha mengine wanayoona kwao ni mazuri
 
Back
Top Bottom