Tusio na Magari tukutane hapa

Je una gari au hauna??


  • Total voters
    116
Upo JF na hauna gari ¿ Ulipataje approval yakuwa expert member maana mimi nilituma Card ya BMW yangu ndio nikawa expert membership 😎
 
Kwa Neema na Baraka za Mungu, mwaka huu mpya usipite, kabla nyote kupokea muujiza wa magari yenu.

Epukeni uvivu, vaene mioyo ya Imani, ujasiri, bidii, na subra katika kuyafikia malengo yenu mahususi kwa mwaka huu 2025, ikiwa ni pamoja na kumiliki gari.

Na Mungu Muaminifu atawafanikisha,
Aimen πŸ™
 
Wewe endelea kushindia shati la kijani, usi jifanye pastor hapa
 
Serikali yetu ndiyo imesababisha watanzania tusiwe na magari.kodi lukuki na zisizo na tija yeyote.Mtu ananunua gari nje Kwa shilingi milioni kumi ikifika hapa nyumbani unalupishwa Tena na TRA milioni kumi nyingine.Kwa maisha ya Sasa gari ni sehemu ya mahitaji muhimu ya binadamu
 
mimi nimeshatekeleza wajibu wangu wa kinabii kwenu wadau wa JF msio miliki magari, na mpo wengi kweli ndrugo zango, bado kidogo mlingane na wasio na ajira,

sidaiwi chochote mbele ya haki siku ya mwisho πŸ’
Mkuu hivi hilo shati la kijani, una livuaga kweliπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…