Tusio na Magari tukutane hapa

Tusio na Magari tukutane hapa

Je una gari au hauna??


  • Total voters
    116
Mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nime ona niitishe kikao cha dharura.

Lengo la kuitisha kikao ni kujua idadi ya ma jobles tusio na magari, humu jf maana kila uzi ninao tembelea idadi kubwa ya member ni mataita.

Tuki ijua idadi yetu, tuna weza tukawa tuna waomba lift hawa ma don😆😂.

I mean no malice to nobody .
View attachment 3201802
Upo JF na hauna gari ¿ Ulipataje approval yakuwa expert member maana mimi nilituma Card ya BMW yangu ndio nikawa expert membership 😎
 
Kwa Neema na Baraka za Mungu, mwaka huu mpya usipite, kabla nyote kupokea muujiza wa magari yenu.

Epukeni uvivu, vaene mioyo ya Imani, ujasiri, bidii, na subra katika kuyafikia malengo yenu mahususi kwa mwaka huu 2025, ikiwa ni pamoja na kumiliki gari.

Na Mungu Muaminifu atawafanikisha,
Aimen 🙏
 
Kwa Neema na Baraka za Mungu, mwaka huu mpya usipite, kabla nyote kupokea muujiza wa magari yenu.

Epukeni uvivu, vaene mioyo ya ujasiri bidii, na subra katika kuyafikia malengo yenu mahususi kwa mwaka huu 2025.

Na Mungu Muaminifu atawafanikisha,
Aimen 🙏
Wewe endelea kushindia shati la kijani, usi jifanye pastor hapa
 
Serikali yetu ndiyo imesababisha watanzania tusiwe na magari.kodi lukuki na zisizo na tija yeyote.Mtu ananunua gari nje Kwa shilingi milioni kumi ikifika hapa nyumbani unalupishwa Tena na TRA milioni kumi nyingine.Kwa maisha ya Sasa gari ni sehemu ya mahitaji muhimu ya binadamu
 
mimi nimeshatekeleza wajibu wangu wa kinabii kwenu wadau wa JF msio miliki magari, na mpo wengi kweli ndrugo zango, bado kidogo mlingane na wasio na ajira,

sidaiwi chochote mbele ya haki siku ya mwisho 🐒
Mkuu hivi hilo shati la kijani, una livuaga kweli😂😂
 
Back
Top Bottom