Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri

Ushauri wangu kula dawa za minyoo zile za miti shamba(mimea) sio zile za hospital.

Achana na vyakula vya kukaanga kula vya kuchoma na kuchemsha juisi za matunda safi na mbogamboga.
Asante mkuu Kwa ushauri mzuri
 
Hata umri kutaja nishida
Mkuu kama wataka kutoa msaada wa ujuzi toa, mambo ya umri wangu sidhani kama ni issue sana, ilhali pia hili limekuwa tatizo kubwa kwenye jamii. Na tusio na nguvu sio kwamba tumeomba, imetokea tuu jamani
 
Pole mkuu na wote wenye changamoto hiyo,isipotatulika kubaliana na Hali uishi nayo Tu Sisi wanawake ni wavumilivu Sana!
Asante mkuu! Kwenye maisha lolote latokeo, Kuna ambao hawana nguvu za kiume, wengine hawana macho, na wengine hawana miguu.. jambo likishindikana basi tunashukuru na kukubali hali maisha yaende
 
Kuna baadhi huwakuta ukikutana na mwanamke mpya, ila huyo huyo mrudie tena, utakuta mambo yanaenda vizuri. Halafu unatakiwa ujue, ukosefu wa nguvu za kiume ni kutokudindisha kabisa, ndomaana nikakwambie usikute huna shida yoyote ni wasiwasi tu kwa mwanamke mpya, na bao la kwanza kuwahi kwa ambae hajafanya muda mrefu mbona ni kawaida, we ishi nae huyo mwanamke muwe mnafanya mara kwa mara uone kama mabao yatakuwa yanawahi. Pia likiwahi la kwanza, tafuta la pili na la tatu, huwa yanachelewa. La nne ndo utakuta linachelewa hadi kero.
 
Mabao manne ( 4 ) ? 🫣🫣
Itakuwa siku nzima hiyo kuchakatana mkuu. Nimekuelewa nataka nijipe kama mwezi mzimaa baada ya huu Uzi kunipa muongozo na muongozo.. nifanyie kazi Kila ambacho wakuu wangu mmenishauri.. then nitarudi wapi matoke
 
Mnaendeleaje humu nyinyi malofa mnaofikiri hamna nguvu za Kiume kumbe:

1. Hamlali vizuri
2. Hamfanyi mazoezi.
3. Hamli vizuri.
4. Hamtaki kuwa na mpenzi mmoja

Badilikeni, msijifanye ni victims
 
Nakazia huu ushauri wako mkuu,jamaa anasumbuliwa na inferiority complex
 
Mabao manne ( 4 ) ? 🫣🫣
Itakuwa siku nzima hiyo kuchakatana mkuu. Nimekuelewa nataka nijipe kama mwezi mzimaa baada ya huu Uzi kunipa muongozo na muongozo.. nifanyie kazi Kila ambacho wakuu wangu mmenishauri.. then nitarudi wapi matoke
Kama ukilala nae siku nzima 24 hours hayo manne yanafika mbona, kama hayafiki fanya hata mawili, lapili litachelewa kuliko la kwanza, japo sometimes inategemea na mwanamke uliyenaye kama anakupa hamasa ya kurudia tena au la.
 
Back
Top Bottom