Wooooi! Wewe hufai kabisa.Ni kweli shindii ndivyo maisha yalivyo
Hahaha ni kweli shindii acha nilewe tuWooooi! Wewe hufai kabisa.
Umeoa au una girl friend?Yote maisha lakini
Hako ka-sentensi ka mwisho umeandika kwa unyonge na majonzi makubwa, kwa kweli nimekuonea huruma sana mkuu japo hata mimi nguvu za kiume sina.Asante sana, namna hii hapa kama unaokoa jahazo kabisa. Ila nyeto sipigi mkuu Wala porn huwa sitazami mzee. Basi tu haya matatizo ya Duniani
Toka Jf ianzishwe mpaka mwisho wa dunia hakutatokea uzi wenye chai za kutosha kama ule... Chai zimetiwa maviungo mpaka unaweza kuitafuna kama kitafunio.Wale wanaoenda round 5 non stop kwenye uzi wa kimasihara ni kina nani kama wote mnasema mna tatizo la nguvu za kiume? 😹😹😹
0714939103Kaboo kana dinda kidhaifu sana, siku kakisimama, chapa wazungu hao. Kama jana usiku roho imeniuma sana hadi leo nikaona nianzishe Uzi naweza pata msaada. Kuna manzi nimeisumbukia sana, jana ikakubali Kuna magetoni. Aibu niliyopata ndio imefanya nije hapa Kwa wazee kupata ujanja
Unalewea wapi nije? Sijakuona tangu uage kwenda kanisani.Hahaha ni kweli shindii acha nilewe tu
Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri.. Hii inajimuisha tunaosimamisha lege lege, kama utumbo, tunao mwaga ndani ya dk moja , tusio weza kurudia kabao kapili na hata tunao simamisha Kwa misimu kama mvua ya masika .
Tupeana ushauri namna ipi tutoke kwenye hizi changamoto, kama una experience tupeana ma ujanja.. 😎
Chumbani shindiiUnalewea wapi nije? Sijakuona tangu uage kwenda kanisani.
Umri wako miaka mingap mkuuTusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri.. Hii inajimuisha tunaosimamisha lege lege, kama utumbo, tunao mwaga ndani ya dk moja , tusio weza kurudia kabao kapili na hata tunao simamisha Kwa misimu kama mvua ya masika .
Tupeana ushauri namna ipi tutoke kwenye hizi changamoto, kama una experience tupeana ma ujanja.. 😎
Hao wa kununua atawaweza kweli? kama hata mwenye nguvu zake hajazoea kutoka na hao watu hawezi kudindaAcha puli, uwe unaenda kununua kwa wiki mara 3 pale Kimboka ila tumia kondomu
Hata umri kutaja nishidaMie mdogo sana mkuu, ila tatizo zito