Wasukuma watakutesa sana! Ukisikia kanda ya ziwa ndo makao makuu ya Sukuma gang!Wasukuma. Duuu.
Duu,Mama Samia kachezesha dishi kidogo tuu, Wasugusu wote wamejaa kwenye channel moja tuu tena ya bure. Duu,Wasukuma watakutesa sana! Ukisikia kanda ya ziwa ndo makao makuu ya Sukuma gang!
Makonda hakulamba viatu vya Samia!
Samia kaona anamuhitaji wewe ni nani ubeze uteuzi wake!
Mwanza kesho na jumatatu tuko na mtoto wa nyumbani!
Karibu Igoma nyumbani kwa wazazi wa Makonda kipenzi chetu!
Hahahaha! Kawarudisha vijana wetu pendwa! Makonda na Mnyeti naibu waziri wa Mifugo!Duu,Mama Samia kachezesha dishi kidogo tuu, Wasugusu wote wamejaa kwenye channel moja tuu tena ya bure. Duu,
Rejea post yangu nilisema maisha ya siasa ni ya kubahatisha. Sawa siangalii kabila ila nimeandika facts unakuwaje waziri unapiga hela ndefu zaidi ya "billion kwenye matangazo unakuja kufanya biashara ya kuuza na kunua mazao ? H:K alishindwa hata kununua bonds za South Africa kweli ? Aisee narudia tembea uone maana hata Mbunge Kishimba Zimbabwe alijifunza mengi sana. Kila mtu anaweza kufanikiwa na ninafanya biashara na kila mtu. Nimeshawai kupiga dili na mhindi anaewachukia watu weusi lakini sikujali ili mkono uende kinywani leo hii ananipa hela kuliko wahindi wenzake. Amenifundisha mpaka caste system wanazotumia nchini mwao. Wahindi waogope sana kule kwao kuna makabila yamepangiwa kazi zao ni kufanya usafi mpaka kufa wanaitwa "dalit". Jamani we acha tu Tanzania ni nchi nzuri sana tatizo watanzania hawataki kuizunguka nchi yao. Usishangae wahindi kuacha nchi yao kuja huku kwetu kule kwao kuna watu wanakufa kwa njaa. Exposure ni kitu muhimu sana, hata ule mji wa NHC chato ulifeli kwa ushamba wa wasukuma. Maana wenye hela ya kununua mjengo wanazurula na ng'ombe kila mkoa. Nampongeza JPM maana alijitahidi kuwapa kipaumbele kwenye scolarship kanda ya ziwa, najua kuna wasukuma walisoma nchi za U.k, New Zealand, Marekani na Australia kipindi chake alijitahidi sana kwa kweli. Nilikuwa kwenye system najua.Hainess Kiwia alikuwa mbunge wa Ilemela ni mchaga mbona naye ni Kapuku tu!
Mafanikio ni mtu binafsi acha kukariri maisha!
We ndiyo umeanza kuzungumzia makabila.Wasukuma ni 16% ya Watanzania wote ni kubwa ndiyo lakini tusikuze hivyo😂
Mfano watu wa kaskazini hatupo wengi kwenye siasa lakini uchumi unatuhusu
Wamasai, wameru, wachaga, wasambaa, wapare, wazigua na waswahili wetu wa Tanga mjini tupo vizuri sana kwenye uchumi. Tunachangia.
Kanda ya kusini inakuja juu
Watu waliotokea kule Mbeya, Iringa , ….. nao wanakuja kasi kiuchumi.
Kanda zilizolala ni kule Mtwara, lindi…. na kigoma huko wamajaa wavivu yupu. Utamaduni wa wao ndiyo tatizo huko
Hivyo tuache ukabila
Alafu??Wazungu wa Marekani waliamua kutumia mfumo wa serikali za majimbo na electoral college kwa sababu ya ukanda.
Huyo mzee hana chake! Alimponda Chalamila kwenye mkutano mkuu wa CCM baada ya mwezi mama akampa promotion kuwa mkuu wa mkoa wa Dar!Kanda ya ziwa itakuja kutamba siku mzee wa .......akienda peponi. Lkn kama bado anaishi haitatokea
Umesahau ilitamba akiwepo,sema Mzee huyo kazi yake ni kueliminate. Sema Magufuli aliwachanganya hadi wakaona wamuue tu .Kanda ya ziwa itakuja kutamba siku mzee wa .......akienda peponi. Lkn kama bado anaishi haitatokea
Basi wajipange. Vinginevyo .....Mzee huyo kazi yake ni kueliminate.
Ndio maana kuna ule usem i "Mswahili ni ngozi ya tako, haitakati hata kwa neko".Watu weusi bado mnajigawa ki kanda.
Unapoizungumzia Kanda ya Ziwa kwa maana ya block moja yenye wingi wa kura nadhani tunajidanganya mchana kweupe.Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.
Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautaepukika.
Mlipigania uhuru na mkaupata mapema ni kipi mlichofaidika nacho baada ya kuwatoa wakoloni? Mada zako ni kupondea wasukuma, kupondea wakristo, na kuwainua waislamu hasa watu wa pwani, acha kejeli acha kudharau watu na hujui nguvu zao na udhaifu wao.Wapigania Uhuru 90% walikuwa wenyeji wa Pwani na Moslems na ndio maana Kuna baadhi ya Picha zinamuonesha Mwl Amevaa barakashia,
Hivi unawajua Matajiri wa kutoka Pwani Kina Dossa Azizi walivyotoa pesa zao kupigania Uhuru?
Nimekumbuka zaidi ya tillion 2 zilozokwapuliwa kwa nguvu kutoka kwa wafanyabiashara wa kagera...nyumba nyingi bukoba mjinu kutaifisha kisa watu wa bukoba hawakukubaliana na ujamaa...Aliyeanza kutugawa ni Mwalimu Nyerere, miaka ya i930 tulikuwa na mkakati wa kujenga chuo kikuu WEST LAKE tulipopata uhuru mwalimu akatutaka tusubili kwanza kwa madai tulikuwa tumepiga hatua kubwa tulikuwa tunasomesha watoto kwa hela zetu za ushirika na mabo mengi tu tulikuwa mbele tuliendelea kusubili maendeleo hadi leo tuliminywa ili tuwasubili wenzetu waliokuwa na hali mbaya zaidi le hata makao makuu ya mkoa hayana stendi hayana hospitali tukiacha zile za kanisa, mbali na Barongo wakati wa mwalimu sikumbuki waziri aliyeteuliwa kutoka kagera tukiacha manaibu, wasomi wengi wa kanda ya ziwa walilazimika kwenda uhamishoni niite intellectual exile kwa sababu hawakutakiwa hawakupewa nafasi kwa hofu ya Mwalimu. sasa hivi ziara zote hizo za Paulo kuanzia huko ni kujaribu kufanya toba ya ukandamizaji wa maendeleo uliofanywa, bado kuna ukumgu mioyoni mwao na kuna hofu wanaweza kutoa adhabu kwa serikali, Makonda anaanza kanda ya ziwa kimkakati, Biteko ameteuliwa kimkakati. yetu macho tujiandae kuona mengi.
- hujui tulichofaidika baada ya kupata Uhuru? Nimeamini kuwa wewe ni mbumbumbu usiyejitambua na usiyejua thamani ya Uhuru wa Nchi yako.Mlipigania uhuru na mkaupata mapema ni kipi mlichofaidika nacho baada ya kuwatoa wakoloni? Mada zako ni kupondea wasukuma, kupondea wakristo, na kuwainua waislamu hasa watu wa pwani, acha kejeli acha kudharau watu na hujui nguvu zao na udhaifu wao.
Ndio kila kitu kivipi?Kanda ya ziwa ndyo kila kitu kwa Nchi hii ila kwa wanaoelewa. Na na ndyo kanda inayotoa watu makini sana kwa wanaoelewa pia wanaelewa hili
Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.
Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautaepukika.
Alikusudia kusema wengi wao ni wezi huko maofisini...kama CAG reports zingefanyiwa kazi wengi wangekuwa jela!Kaskazini hawana mchango? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]