Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #181
Magharibi na kaskazini magharibi inapakana na Serengeti, kaskazini inapakana na Loliondo na inakwenda hadi Kenya na mashariki karatu na kusini mashariki Hifadhi ya ManyaraUpande wa pili mbuga ipi?? Taja hapa
Wanyama wanatoka Ngorongoro kupitia Loliondo na kuingia kenyaJibu swali langu Ngorongoro inapakana na mbuga ipi ya Kenya ambako wanyama wanahamia????????????
Amani iwe nanyi
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu, ninayejali maendeleo ya Watanzania wote vizazi na vizazi, leo nasema kwa Sauti moja, Kama tunajali maendeleo ya Tanzania yetu, Ni lazima wamasai waondoke Ngorongoro ili lile eneo liendelee kuwa na wanyama wengi na kuvutia watalii ambao ni moja ya vyanzo vikuu vya mapato kwa Taifa letu
Kwa nini nasema haya?
1. Ngorongoro ni moja ya sehemu chache hapa Tanzania ambazo mtalii ana uhakika wa kuona wanyama walio kwenye hatari ya kupotea Duniani yaani Tembo, Faru, Simba, Nyati na Chui.
Nimefika ngorongoro kusema ukweli hadi Tour guides wanakwambia hivi karibuni imekuwa ngumu sana kuwaona baadhi ya hawa wanyama na sio tu hawa bali hata wanyama wengine ambao huko mwanzoni walikuwa ni wengi na wanaonekana kirahisi na kuvutia watalii wengi na kuongeza mapato mf pundamilia, pofu na wengineo. Hii ni kwa sababu wanadamu wameongezeka sana Ngorongoro na asili ya wanyama pori ni kuwa hawapendi kuchangamana na binadamu na shughuli za kibinadamu zikizidi huwa wanahama.
2. Kuna taarifa za uhakika kuwa Wanyama wanaohama Tanzania wanahamia upande wa pili yaani Kenya hivyo Kenya anafaidika kwa kuongezeka kwa shughuli za kibinadamu Ngorongoro ambazo zinahamishia wanyama wetu Kenya. Hii ni hatari sana kwa uchumi wa Tanzania kwa sababu siku si nyingi, Watalii hawataona umuhimu wa kuja Ngorongoro na hivyo kwenda Kenya na kufanya nchi yetu kukosa Mapato.
3. Kuna taarifa za uhakika pia kuwa Wamasai waishio Ngorongoro hawana hata makabuli. Hivyo ikitokea mmasai amefariki anaachwa aliwe na fisi na mbweha. kibinadamu hii si sawa.
Napenda kumaliza kwa kusema imefika wakati sasa kwa maslahi mapana ya Tanzania, Wamasai wahamishwe Ngorongoro. Eneo hili ni nyeti na Tanzania nzima tunalitegemea kimapato. Likiangamia, Tanzania imeangamia. Ni wakati sasa Fedha zinazotengwa kuwalisha wamasai takribani bilioni 3-4 kwa mwaka zielekezwe sasa kuwajengea makazi ya kudumu wamasai hawa eneo jingine na kuwapatia teknolojia ya kufuga wanyama wachache tena kibiashara na kuachana na Maisha yale ya kijima
Naomba kuwasilisha!
Sasa wanahama kwenda Serengeti au Kenya? kupitia Loliond!!?? Fafanua ili ujibiwe sasaMagharibi na kaskazini magharibi inapakana na Serengeti, kaskazini inapakana na Loliondo na inakwenda hadi Kenya na mashariki karatu na kusini mashariki Hifadhi ya Manyara
safi sana...wanyama waachwe wajitanueHata Ngorongoro wanaondoa wafanyakazi wao na Ofisi pia kwenye eneo la Ngorongoro
Hujaelewa nini wanaenda Kenya kupitia LoliondoSasa wanahama kwenda Serengeti au Kenya? kupitia Loliond!!?? Fafanua ili ujibiwe sasa
Kwahiyo 17% inayotoka kwenye utalii inafanya kazi gani? Kumbe wewe ni punguani sanaWewe umeziona hizo hela wanazoleta watalii zikinunua madawa?
Kwa sababu ya Wamasai?..Wanyama wanatoka Ngorongoro kupitia Loliondo na kuingia kenya
Hizi hadithi hizi......Hujaelewa nini wanaenda Kenya kupitia Loliondo
Hizo habari zilizoandaliwa na wakenya wenye mission ya kuhakikisha Ngorongoro inakufa hazina mashikoNimeacha kusoma hutuba yako baada tu ya kusoma mistari michache. Nadhani ndugu zetu hamna taarifa zote za suali la kuondoshwa kwa kwa masai. Kutoka katika taarifa mbali mbali za vyombo vya habari vya nje ya nchi ni kuwa sehemu hiyo serikali imeliuza eneo hilo kwa kampuni yenye makao makuu yake UAE ili kuifanya sehemu hiyo kutumka kwa trophy kwa watalii!!!!!! Kwa maana nyengine itakuwa ni sehemu ambayo watu watatoka nchi zao za mbali kuja Tanzania kuuwa wanyama wetu na kujichukulia ngozi, vichwa na pembe na kuvipeleka kwao. Sio kuwa itakuwa sehemu ya watalii kuja kuona wanyama ambao hawana nchini kwao na ambao ni fahari kubwa ketu kuwa nao, la! Serikali inaruhusu wanyama wetu wawe wanauliwa sio kwa sababu yeyote ile bali ni kwa mchezo tu. Kwa ufupi serikali imeamua kuweka mbele pesa na iko tayari kupoteza treasure ya taifa. South africa wanajuta kuruhusu mchezo huu na sijui kwa nini tanzania tunaona kuwa hii idea nzuri!!!!!!
Hii sio nchi ya Mkoloni...amka wewe!siyo rahisi rahisi kama unavyo fikiria, kwenye sheria ya kuwa ruhusu kuishi apo walipo mkoloni alishindilia kabisa na kuwapa haki kubwa wamasaai, bahati mbaya wengi humu ni vijana wadogo wa mlio miaka 20s & 30's, sisi 'waze' tunajua ugumu uliopo ………..!
Ndiyo kwa sababu ya wamasai ambao wanaongezeka Tanzania kutokea Kenya hivyo kuongeza shughuli za Kibinadamu zinazofanya wanyama waondoke na kwenye KenyaKwa sababu ya Wamasai?..
Wewe ndio mbwiga!Kwahiyo 17% inayotoka kwenye utalii inafanya kazi gani? Kumbe wewe ni punguani sana
Kama wewe ni mkenya kubali tu kuwa Tanzania imeamka. Lazima Ngorongoro tuilinde na maslahi ya Tanzania tuyalinde ili utalii uzidi kutuingizia fedhaHizi hadithi hizi......
Rudi kwa mzee mgaya tu! Mada Hii ni kubwa sana kwa uelewa wakoWewe ndio mbwiga!
Nope my friend. Taarifa zangu nimesoma kupita BBC world news na al jazeera news. Zote zimenukuu exactly nilichosema kampuni inayoitwa OBC (orttelo Business Corporation) ndio wanakodi/wananua hiyo sehemu kwa lengo la kuanzisha trophy hunting business!Hizo habari zilizoandaliwa na wakenya wenye mission ya kuhakikisha Ngorongoro inakufa hazina mashiko
Mimi wa hapahapa, Ila siendi kama zuzu ilimradi watu wana interest zao niunge mkono....Kama wewe ni mkenya kubali tu kuwa Tanzania imeamka. Lazima Ngorongoro tuilinde na maslahi ya Tanzania tuyalinde ili utalii uzidi kutuingizia fedha
Sasa kama wa hapahapa tetra maslahi ya Tanzania. Hadi wabunge wa Chadema waliopo Bungeni na waliostaafu kina Salome Makamba, Esther Matiko, Mchungaji Msingwa wamesimama na maslahi ya Tanzania pamoja na wabunge WAZALENDO wa CCM wewe kwa nini usisimamie maslahi ya Tanzania?Mimi wa hapahapa, Ila siendi kama zuzu ilimradi watu wana interest zao niunge mkono....
1. UKOLONI1. UKOLONI;
Kama ilikuwa serikali ya kikoloni, now serikali ya kiafrika mliyoipa mamlaka wenyewe haina hadhi ya kufanya mabadiriko?
2. NEGOTIATE NA MABABU;
Serikali inaendelea kufanya majadiliano hata sasa kuwa nininkifanyike je kuna kosa?
3. IDADI NDOGO, ARIDH;
Eneo lote la aridhi JMT lipo chini kiongozi mkuu wa nchi, ambaye ana mamlaka kufanya mabadiriko na kulinganisha ukubwa wa nchi na mapoli yaliyopo kwingine nje na ngorongoro unadhani aridhi imekwisha na lazima nyie mbaki pale, endapo kuna matumizi mengine?.