Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #141
Interests za aina hio hazijawahi kuwa za taifa bali za Royal families zilizopo kwenye System!
Hao wamasai wanatakiwa waondolewe sababu eneo lishauzwa uarabuni!
Unataka ushahidi wewe kama nani? Vitu vimeshazagaa mtandaoni humuTupe ushahidi kuwa eneo limeuzwa Uarabuni. Au na wewe ndo umeshachotwa na hizo prppaganda uganda za wakenya?
Unataka ushahidi wewe kama nani? Vitu vimeshazagaa mtandaoni humu
Sipaswi kuweka ushahidi wowote mzee we sio mahakama! Ukweli ni kwamba eneo limeuzwa kwa warabu waje kufanya poaching kwa mgongo wa uwekezaji sasa kama unabshana we endelea kubisha! Posho yako utapewa tu hapo LumumbaKitu kuzagaa mtandaoni ndo ushahidi? Weka huo ushahidi hapa unashindwa nini kuuweka?
Acha kuzidi kuonesha ujinga wako hapa! Huna ushahidi alafu unasema eneo limeuzwa? Ukiitwa mjinga usiye na hoja bali viroja utakataa?Sipaswi kuweka ushahidi wowote mzee we sio mahakama! Ukweli ni kwamba eneo limeuzwa kwa warabu waje kufanya poaching kwa mgongo wa uwekezaji sasa kama unabshana we endelea kubisha! Posho yako utapewa tu hapo Lumumba
Achana na huyo mjinga. Ameahakula tuhela tudogo, basi ana akili imemtoka.Sipaswi kuweka ushahidi wowote mzee we sio mahakama! Ukweli ni kwamba eneo limeuzwa kwa warabu waje kufanya poaching kwa mgongo wa uwekezaji sasa kama unabshana we endelea kubisha! Posho yako utapewa tu hapo Lumumba
Mmeuza ardhi kama ile ya Loliondo.Acha kuzidi kuonesha ujinga wako hapa! Huna ushahidi alafu unasema eneo limeuzwa? Ukiitwa mjinga usiye na hoja bali viroja utakataa?
Hawa ndio wanaonifanyaga napigwa Ban! Yani Watanzania tumekuwa na ubinafsi wa ajabu sana. Mtu yupo radhi familia yako iteketezwe kwa moto mpotee ilimradi tu yeye ana kipande cha fedha kwenye hio humiliation utakayofanyiwa!Achana na huyo mjinga. Ameahakula tuhela tudogo, basi ana akili imemtoka.
Wanauza urithi wetu kwa tamaa zao zisizotufikisha hata miaka 7. Wajinga na Wapumbavu hao.
Unajua we ni qumma sana jombaa, soma hapoAcha kuzidi kuonesha ujinga wako hapa! Huna ushahidi alafu unasema eneo limeuzwa? Ukiitwa mjinga usiye na hoja bali viroja utakataa?
👆🏾Eneo walilohamishiwa haikuwa na maisha mseto na hifadhi. Mbona huelewi? Huna concept ya kinachogombaniwa hapa?
Hilo eneo haligombaniwi tu. Kuna sababu. Jielimishe kwanza. Soma sana. Usiwe kama Kitenge.
Kuishi na wanyama hao ilikuwa zamani kabla ya population ya wamasai kuongezeka.. sasa hiv idadi ya wamasai waishio huko ngorongoro inaongezeka na hii ni hatarishi sana maana wanaweza kudhurika na hao wanayama wakali
umimi na ubinafsi tu unakusumbua milele acha apone yeye si ndg yangu....mkenya akipona wewe unaumiai??? Lazima ujitoe ajili ya ndg zako......nyerere aliuza roho ili niwe huru lkn kuna wengi walipotea ktk kundi lake....leo uko nyuma ya key board hapo hujui kuna maafisa usalama wengi wamepoteza maisha ili uwe hapo..akili zako ni zileee mlizo uza ndg zenu utumwani....Huna akili wewe! Hela anazolipa mtalii akiingia Kenya zitanunua madawa kwa ajiri yako na bibi yako mliopo hapa Tanzania?
Kuna kitu hamkielewi. Wale wamasai sio wavamizi pale. Na Ngorongoro haijawahi kuwa national park. Na sio game reserve.Sitaki kubishana kuhusu hii issue kwa mambo madogo madogo kama haya but ngoja vikao viishe tufanye maamuzi, wabaki au tuwatoe.
Hapo chini kuna binti kakumegea kidogo kuhusu maisha na tabia ishi ya binadamu.
👆🏾
Umeuliza kwanini hawakupinga wakati wanaondolewa Serengeti kuja Ngorongoro. Majibu ni hivi;Mkuu hii nchi mambo ni mengi ya ajabu na yanayoeleweka, but humu mtandaoni tuna kelele na nguvu kubwa ila hatuna uwezo na uhamuzi yakinifu.
So nashangaa wkt wanatolewa Serengeti hamkupiga kelele ila wkt huu mnazizima WHY?.
Wenzenu waliondoka bila kinyong na hii issue kama kuna watu wanapiga pesa acheni wapige m, kipindi twiga anapandishwa ndege, watu wanavuna wanyama na kuua ovyo tembo na kupakia ivory kwenye meli zao ilikuwaje?.
Hii nchi hata wewe ukipata upenyo fanya lako but hakuna kiongozi mnyoofu atakuja kuleta au kufanya jambo lenye kuinua taifa pasi nasema pasi kujinufaisha, ...
1. UKOLONI;Umeuliza kwanini hawakupinga wakati wanaondolewa Serengeti kuja Ngorongoro. Majibu ni hivi;
1. Waliondolewa 1959 wakati wa serikali ya kikoloni. Sasa kama hata huru ulikuwa bado, nguvu ya kupinga, wangeitoa wapi wale babu zetu?
2. Wakoloni wale walifanya majadiliano ya pamoja(negotiation) hadi babu zetu wakaelewa na ndio walitoa condition ya kuachwa pale NCA.
3. Wakato ule idadi ya watu ilikuwa ndogo. Ardhi haikuwa adimu kama sasa. Hasa ardhi ya kuchunga mifugo kama tufanyavyo Wamaasai.
Amani iwe nanyi
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu, ninayejali maendeleo ya Watanzania wote vizazi na vizazi, leo nasema kwa Sauti moja, Kama tunajali maendeleo ya Tanzania yetu, Ni lazima wamasai waondoke Ngorongoro ili lile eneo liendelee kuwa na wanyama wengi na kuvutia watalii ambao ni moja ya vyanzo vikuu vya mapato kwa Taifa letu
Kwa nini nasema haya?
1. Ngorongoro ni moja ya sehemu chache hapa Tanzania ambazo mtalii ana uhakika wa kuona wanyama walio kwenye hatari ya kupotea Duniani yaani Tembo, Faru, Simba, Nyati na Chui.
Nimefika ngorongoro kusema ukweli hadi Tour guides wanakwambia hivi karibuni imekuwa ngumu sana kuwaona baadhi ya hawa wanyama na sio tu hawa bali hata wanyama wengine ambao huko mwanzoni walikuwa ni wengi na wanaonekana kirahisi na kuvutia watalii wengi na kuongeza mapato mf pundamilia, pofu na wengineo. Hii ni kwa sababu wanadamu wameongezeka sana Ngorongoro na asili ya wanyama pori ni kuwa hawapendi kuchangamana na binadamu na shughuli za kibinadamu zikizidi huwa wanahama.
2. Kuna taarifa za uhakika kuwa Wanyama wanaohama Tanzania wanahamia upande wa pili yaani Kenya hivyo Kenya anafaidika kwa kuongezeka kwa shughuli za kibinadamu Ngorongoro ambazo zinahamishia wanyama wetu Kenya. Hii ni hatari sana kwa uchumi wa Tanzania kwa sababu siku si nyingi, Watalii hawataona umuhimu wa kuja Ngorongoro na hivyo kwenda Kenya na kufanya nchi yetu kukosa Mapato.
3. Kuna taarifa za uhakika pia kuwa Wamasai waishio Ngorongoro hawana hata makabuli. Hivyo ikitokea mmasai amefariki anaachwa aliwe na fisi na mbweha. kibinadamu hii si sawa.
Napenda kumaliza kwa kusema imefika wakati sasa kwa maslahi mapana ya Tanzania, Wamasai wahamishwe Ngorongoro. Eneo hili ni nyeti na Tanzania nzima tunalitegemea kimapato. Likiangamia, Tanzania imeangamia. Ni wakati sasa Fedha zinazotengwa kuwalisha wamasai takribani bilioni 3-4 kwa mwaka zielekezwe sasa kuwajengea makazi ya kudumu wamasai hawa eneo jingine na kuwapatia teknolojia ya kufuga wanyama wachache tena kibiashara na kuachana na Maisha yale ya kijima
Naomba kuwasilisha!