Tusipofanya sasa, Tutajuta Milele, ni lazima Wamasai waondoke Ngorongoro

Tusipofanya sasa, Tutajuta Milele, ni lazima Wamasai waondoke Ngorongoro

Tupe ushahidi kuwa eneo limeuzwa Uarabuni. Au na wewe ndo umeshachotwa na hizo prppaganda uchwara za wakenya?
Interests za aina hio hazijawahi kuwa za taifa bali za Royal families zilizopo kwenye System!

Hao wamasai wanatakiwa waondolewe sababu eneo lishauzwa uarabuni!
 
Kitu kuzagaa mtandaoni ndo ushahidi? Weka huo ushahidi hapa unashindwa nini kuuweka?
Sipaswi kuweka ushahidi wowote mzee we sio mahakama! Ukweli ni kwamba eneo limeuzwa kwa warabu waje kufanya poaching kwa mgongo wa uwekezaji sasa kama unabshana we endelea kubisha! Posho yako utapewa tu hapo Lumumba
 
Acha kuzidi kuonesha ujinga wako hapa! Huna ushahidi alafu unasema eneo limeuzwa? Ukiitwa mjinga usiye na hoja bali viroja utakataa?
 
Achana na huyo mjinga. Ameahakula tuhela tudogo, basi ana akili imemtoka.
Wanauza urithi wetu kwa tamaa zao zisizotufikisha hata miaka 7. Wajinga na Wapumbavu hao.
 
Achana na huyo mjinga. Ameahakula tuhela tudogo, basi ana akili imemtoka.
Wanauza urithi wetu kwa tamaa zao zisizotufikisha hata miaka 7. Wajinga na Wapumbavu hao.
Hawa ndio wanaonifanyaga napigwa Ban! Yani Watanzania tumekuwa na ubinafsi wa ajabu sana. Mtu yupo radhi familia yako iteketezwe kwa moto mpotee ilimradi tu yeye ana kipande cha fedha kwenye hio humiliation utakayofanyiwa!

Tumekuwa zaidi ya wanyama kwa kukosa utu! Yani ubinafsi wa watanzania ni beyond nature hata wazungu wenyewe wanatushangaa how selfish we are. Mtu anashabikia wenzie wafukuzwe eneo ambalo wameishi vizazi na vizazi wawe homeless kwa sababu yeye kalipwa hela!
 
Acha kuzidi kuonesha ujinga wako hapa! Huna ushahidi alafu unasema eneo limeuzwa? Ukiitwa mjinga usiye na hoja bali viroja utakataa?
Unajua we ni qumma sana jombaa, soma hapo

Sitaki kubishana kuhusu hii issue kwa mambo madogo madogo kama haya but ngoja vikao viishe tufanye maamuzi, wabaki au tuwatoe.

Hapo chini kuna binti kakumegea kidogo kuhusu maisha na tabia ishi ya binadamu.

Eneo walilohamishiwa haikuwa na maisha mseto na hifadhi. Mbona huelewi? Huna concept ya kinachogombaniwa hapa?
Hilo eneo haligombaniwi tu. Kuna sababu. Jielimishe kwanza. Soma sana. Usiwe kama Kitenge.
👆🏾
Kuishi na wanyama hao ilikuwa zamani kabla ya population ya wamasai kuongezeka.. sasa hiv idadi ya wamasai waishio huko ngorongoro inaongezeka na hii ni hatarishi sana maana wanaweza kudhurika na hao wanayama wakali
 
Huna akili wewe! Hela anazolipa mtalii akiingia Kenya zitanunua madawa kwa ajiri yako na bibi yako mliopo hapa Tanzania?
umimi na ubinafsi tu unakusumbua milele acha apone yeye si ndg yangu....mkenya akipona wewe unaumiai??? Lazima ujitoe ajili ya ndg zako......nyerere aliuza roho ili niwe huru lkn kuna wengi walipotea ktk kundi lake....leo uko nyuma ya key board hapo hujui kuna maafisa usalama wengi wamepoteza maisha ili uwe hapo..akili zako ni zileee mlizo uza ndg zenu utumwani....
Narudia mweusi ni ndg yangu na africa ni moja naamini ivo akipata yeye nimepata mimi.hata nikifa ajili yake hainipi shida. Lkn siyo mkoloni.
....ninajitoa ajili ya africa hata usemeje sintobadirika ndo nilivo.....rejea ahadi za mwana tanu
 
Sitaki kubishana kuhusu hii issue kwa mambo madogo madogo kama haya but ngoja vikao viishe tufanye maamuzi, wabaki au tuwatoe.

Hapo chini kuna binti kakumegea kidogo kuhusu maisha na tabia ishi ya binadamu.

👆🏾
Kuna kitu hamkielewi. Wale wamasai sio wavamizi pale. Na Ngorongoro haijawahi kuwa national park. Na sio game reserve.
Hilo mnajitoa ufahamu na kuamua kuwanyanyasa wananchi.
Kuhusu kuondolewa, wataondolewa kwa nguvu ya serikali. Wananchi hawaiwezo serikali. Hilo sikatai.
Lakini haiondoi ukweli kwamba ni kuwanyanyasa tu na hakuna fact yoyote.
Na ngorongoro itakufa sana tena sana.
Itakufa kwa sababu nia sio kuiokoa Ngorongoro hata kidogo.
Nia hapo ni kutengeneza mazingira ya uwindaji. Na hiyo ndio itaua Ngorongoro.
Kama mnataka kuokoa Ngorongoro, ibadilishwe kuwa national park.
Na imeibuka wakati huu kwa sababu mnaona mshike mpini anapenyeka kirahisi.
Washika mpini wengine wote waliopita walikataa.
 
Kuhusu huduma za jamii; Ni kuwadanganya watanzania kwamba eti wale watu wanakosa huduma za jamii kwa sababu wapo ndani ya hifadhi.
Hilo haliwezi kuestablish fact kwa sababu kuna vijiji vingi sana nchi hii ambavyo havina huduma za jamii na havipo kwenye hifadhi.
Ni vijiji vingapi nchi hii havina mtandao wa maji? Ni vijiji vingapi havina shule au shule ipo kilometre kadhaa kutoka wanapoishi baadhi ya familia?
Ni vijiji vingapi nchi hii havina vituo vya afya?
 
Mkuu hii nchi mambo ni mengi ya ajabu na yanayoeleweka, but humu mtandaoni tuna kelele na nguvu kubwa ila hatuna uwezo na uhamuzi yakinifu.

So nashangaa wkt wanatolewa Serengeti hamkupiga kelele ila wkt huu mnazizima WHY?.

Wenzenu waliondoka bila kinyong na hii issue kama kuna watu wanapiga pesa acheni wapige m, kipindi twiga anapandishwa ndege, watu wanavuna wanyama na kuua ovyo tembo na kupakia ivory kwenye meli zao ilikuwaje?.

Hii nchi hata wewe ukipata upenyo fanya lako but hakuna kiongozi mnyoofu atakuja kuleta au kufanya jambo lenye kuinua taifa pasi nasema pasi kujinufaisha, ...
 
Umeuliza kwanini hawakupinga wakati wanaondolewa Serengeti kuja Ngorongoro. Majibu ni hivi;
1. Waliondolewa 1959 wakati wa serikali ya kikoloni. Sasa kama hata huru ulikuwa bado, nguvu ya kupinga, wangeitoa wapi wale babu zetu?
2. Wakoloni wale walifanya majadiliano ya pamoja(negotiation) hadi babu zetu wakaelewa na ndio walitoa condition ya kuachwa pale NCA.
3. Wakato ule idadi ya watu ilikuwa ndogo. Ardhi haikuwa adimu kama sasa. Hasa ardhi ya kuchunga mifugo kama tufanyavyo Wamaasai.
 
1. UKOLONI;
Kama ilikuwa serikali ya kikoloni, now serikali ya kiafrika mliyoipa mamlaka wenyewe haina hadhi ya kufanya mabadiriko?

2. NEGOTIATE NA MABABU;
Serikali inaendelea kufanya majadiliano hata sasa kuwa nininkifanyike je kuna kosa?

3. IDADI NDOGO, ARIDH;
Eneo lote la aridhi JMT lipo chini kiongozi mkuu wa nchi, ambaye ana mamlaka kufanya mabadiriko na kulinganisha ukubwa wa nchi na mapoli yaliyopo kwingine nje na ngorongoro unadhani aridhi imekwisha na lazima nyie mbaki pale, endapo kuna matumizi mengine?.
 
PEPO
Amani iwe nanyi

Kama kichwa cha uzi kinavyosema, Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu, ninayejali maendeleo ya Watanzania wote vizazi na vizazi, leo nasema kwa Sauti moja, Kama tunajali maendeleo ya Tanzania yetu, Ni lazima wamasai waondoke Ngorongoro ili lile eneo liendelee kuwa na wanyama wengi na kuvutia watalii ambao ni moja ya vyanzo vikuu vya mapato kwa Taifa letu

Kwa nini nasema haya?

1. Ngorongoro ni moja ya sehemu chache hapa Tanzania ambazo mtalii ana uhakika wa kuona wanyama walio kwenye hatari ya kupotea Duniani yaani Tembo, Faru, Simba, Nyati na Chui.

Nimefika ngorongoro kusema ukweli hadi Tour guides wanakwambia hivi karibuni imekuwa ngumu sana kuwaona baadhi ya hawa wanyama na sio tu hawa bali hata wanyama wengine ambao huko mwanzoni walikuwa ni wengi na wanaonekana kirahisi na kuvutia watalii wengi na kuongeza mapato mf pundamilia, pofu na wengineo. Hii ni kwa sababu wanadamu wameongezeka sana Ngorongoro na asili ya wanyama pori ni kuwa hawapendi kuchangamana na binadamu na shughuli za kibinadamu zikizidi huwa wanahama.

2. Kuna taarifa za uhakika kuwa Wanyama wanaohama Tanzania wanahamia upande wa pili yaani Kenya hivyo Kenya anafaidika kwa kuongezeka kwa shughuli za kibinadamu Ngorongoro ambazo zinahamishia wanyama wetu Kenya. Hii ni hatari sana kwa uchumi wa Tanzania kwa sababu siku si nyingi, Watalii hawataona umuhimu wa kuja Ngorongoro na hivyo kwenda Kenya na kufanya nchi yetu kukosa Mapato.

3. Kuna taarifa za uhakika pia kuwa Wamasai waishio Ngorongoro hawana hata makabuli. Hivyo ikitokea mmasai amefariki anaachwa aliwe na fisi na mbweha. kibinadamu hii si sawa.

Napenda kumaliza kwa kusema imefika wakati sasa kwa maslahi mapana ya Tanzania, Wamasai wahamishwe Ngorongoro. Eneo hili ni nyeti na Tanzania nzima tunalitegemea kimapato. Likiangamia, Tanzania imeangamia. Ni wakati sasa Fedha zinazotengwa kuwalisha wamasai takribani bilioni 3-4 kwa mwaka zielekezwe sasa kuwajengea makazi ya kudumu wamasai hawa eneo jingine na kuwapatia teknolojia ya kufuga wanyama wachache tena kibiashara na kuachana na Maisha yale ya kijima

Naomba kuwasilisha!

Wewe mnafiki mkubwa sana wewe
Ili iwejee

Waondoeni na wanzazibari maana wanachafua Bahari pia na kusababisha

Eti wamasai

Kwani hao wanyama hakikisha siwatazaliwa

Kwa taarifa yako Masai sio jangili
Na hana biashara zozote na wanyama

Nimezaliwa nawaona wanyama wote hadi leo nina miaka zaidi ya 40

Anajitokeza mwehu mmoja eti
Tusipowahamisha leo eti sijui nini nyoko wewe.
Kuna watu waajabu duniani
Mwenye hilda
 
Mtanzania anamshangilia Mtanzania anayenyanyasa Watanzania ili kuwanufaisha Waarabu! Hakika hii nchi Wazalendo wa kweli walikuwa Nyerere na Magufuli tu.
 
Back
Top Bottom