Uchaguzi 2020 Tusipomchagua Rais Magufuli tutalaaniwa milele na vizazi vyetu. Wapinzani wasiwadanganye

Safi Sanaa wahaya, hakika mlichokifanya leo mtaenda peponi
 
Awamu zingine hawakutekwa?nani alimuua Alfonce Mawazo?nani alimteka Ulimboka? Una uhakika gani kuwa walikufa au kupotea walitekwa au kuuawa na awamu ya Tano?

Acha kitu potezea muda Kwani wasiojulikana sinwengine wanagombea ubunge singida huko tusipotezeane muda hapa kila kitu kinajulikana tunasubiri tarehe 28 ndo mwisho wa utekaji watu
 
Kwa hiyo hata mahospiatali na vituo vya afya alivyojenga unavikataa? basi usiende kutibiwa kwenye Kwenye hospitali au vituo vyote vya kutolea huduma nchi nzima

Aomdoke navyo chato sisi tumeshamchoka huyo tunataka amani na uhuru katika nchi yetu Nyerere alituachia nchi inayoheshimika kwa amani miaka 5 imeharibika kabisa kwanini aondoke mapema tu haitakiwi kabisa
 
Comrade nakupa pole sana naona povu zito limekutoka. Lissu hatoshinda watanzania sio wajinga kumchagua Lissu.

Mjinga yule ambaye haoni watanzania wanaboishi maisha magumu ati wako uchumi wakati watu wanashindwa kula milo mitatu wanashindia mihogo ya kuchoma maisha gani hayo aondoke na mwengine atawale
 
Hadi mwanyika yule aliyekqepa kodi tume imekataa kumuengua na pingamizi aliwekewa halafu unasema wameenguliwa waliowekewa mapingamizi unatuona watanzania wajinga wakuamini hayo unayo ongea
 
Mjinga yule ambaye haoni watanzania wanaboishi maisha magumu ati wako uchumi wakati watu wanashindwa kula milo mitatu wanashindia mihogo ya kuchoma maisha gani hayo aondoke na mwengine atawale
Comrade unataka Magufuli akusongee ugali? Dah wapinzani mnasikitisha sana. Pambana ndugu naona mihogo ya kuchoma imekuathiri uwezo wako wa kufikiri.
 
Comrade unataka Magufuli akusongee ugali? Dah wapinzani mnasikitisha sana. Pambana ndugu naona mihogo ya kuchoma imekuathiri uwezo wako wa kufikiri.

Kwahiyo kutolipa pension ambayo mtu alishafanyia kazi ndo kutaka anisongee ugali, hataki kabisa kupandisha mishahara hali ya maisha imekuwa ngumu na huku anasema nchi ni tajiri pesa zipo za kufanya miradi lakini wananchi wanyonge hawapewi nyongeza ya mishahara. Huu umasikini wa wananchi wetu ni wa kutengenezwa sababu madikteta wanapenda uchumi dola maana ndiyo njia yankuwafanya wananchi wawe masikini
 
Hadi mwanyika yule aliyekqepa kodi tume imekataa kumuengua na pingamizi aliwekewa halafu unasema wameenguliwa waliowekewa mapingamizi unatuona watanzania wajinga wakuamini hayo unayo ongea
Nikupe pole sana comrade.
 
Yote hayo unayoyalalamikia yamefanyika kwa masilahi mapana ya nchi. Hujivunii miradi mikubwa inayoendelea nchini? Bwana kubwa la umeme, sgr, shirika la reli limefufuliwa, vivuko vimeboreshwa, hifadhi ya wanyama pori leo hatusikii ujangiri mbugani, miaka mitano ya Magufuli hatujasikia wafanyakazi wakigoma kama awamu za nyuma. Mambo ni mengi sana comrade ya kukueleza.
 
Comrade tangu lini kumwambia mtu ukweli ni kumtisha?? Lissu hatoshinda asije akakimbia I'd maana hatoweza kuyameza matapishi yake hapa jf.
Mwaka huu hatutakubali upuuzi
Na ww usije ukaficha ID yako
 
Corona ipo Tanzania na watu wanakufa isipokuwa kinachofanyika ni kuficha siri wanasingizia magonjwa mengine kuepuka kutengwa na jamii
 
Kwa hiyo hata mahospiatali na vituo vya afya alivyojenga unavikataa? basi usiende kutibiwa kwenye Kwenye hospitali au vituo vyote vya kutolea huduma nchi nzima
Pesa za maendeleo ni pesa za walipa kodi, maendeleo siyo Hisani ya CCM, maendeleo siyo pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Ufage mapema tu
Utakufa wewe mnufaika wa mfumo kandamizi mfumo wa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani mfumo wa kishetani wa kupita bila kupingwa kwa njia haramu
 
Pesa za maendeleo ni pesa za walipa kodi, maendeleo siyo Hisani ya CCM, maendeleo siyo pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu mwenyekiti wa CCM
Kumbe mnajua kuwa pesa za maendeleo zinatokana na kodi na mnavyosema mtafuta kodi mnategemea kuendesha nchi kwa pesa ipi?
 
Corona ipo Tanzania na watu wanakufa isipokuwa kinachofanyika ni kuficha siri wanasingizia magonjwa mengine kuepuka kutengwa na jamii
Mpaka sasa wameshakufa ndugu zako wangapi kwa Corona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…