Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Safi Sanaa wahaya, hakika mlichokifanya leo mtaenda peponi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akimaliza kujibu Hilo and ajibu na hiliTwende polepole.
Kwani uwanja wa ndege chatto umejengwa kwa Tsh ngapi?
Acha kutisha watuComrade chonde chonde usikimbie I'd yako
Awamu zingine hawakutekwa?nani alimuua Alfonce Mawazo?nani alimteka Ulimboka? Una uhakika gani kuwa walikufa au kupotea walitekwa au kuuawa na awamu ya Tano?
Comrade tangu lini kumwambia mtu ukweli ni kumtisha?? Lissu hatoshinda asije akakimbia I'd maana hatoweza kuyameza matapishi yake hapa jf.Acha kutisha watu
Kwa hiyo hata mahospiatali na vituo vya afya alivyojenga unavikataa? basi usiende kutibiwa kwenye Kwenye hospitali au vituo vyote vya kutolea huduma nchi nzima
Comrade nakupa pole sana naona povu zito limekutoka. Lissu hatoshinda watanzania sio wajinga kumchagua Lissu.
Achana na majinga haya juzi yanaomba hela kwa ajili ya coronaView attachment 1571924View attachment 1571925
Comrade Kuenguliwa kwa namna isiyokubalika maana yake nini?
Wagombea wameenguliwa baada ya kuwekewa mapingamizi. Lissu alimwekea Magufuli mapingamizi ili aenguliwe, anajua ni utaratibu wa kisheria. Leo wagombea wa chama chake wameenguliwa kwa utaratibu ule ule aliotumia Lissu kutaka kumuengua Magufuli mnakuja kulalamika hapa kama mahayawani "eti wanaenguliwa kwa namna isiyokubalika".
Comrade unataka Magufuli akusongee ugali? Dah wapinzani mnasikitisha sana. Pambana ndugu naona mihogo ya kuchoma imekuathiri uwezo wako wa kufikiri.Mjinga yule ambaye haoni watanzania wanaboishi maisha magumu ati wako uchumi wakati watu wanashindwa kula milo mitatu wanashindia mihogo ya kuchoma maisha gani hayo aondoke na mwengine atawale
Comrade unataka Magufuli akusongee ugali? Dah wapinzani mnasikitisha sana. Pambana ndugu naona mihogo ya kuchoma imekuathiri uwezo wako wa kufikiri.
Nikupe pole sana comrade.Hadi mwanyika yule aliyekqepa kodi tume imekataa kumuengua na pingamizi aliwekewa halafu unasema wameenguliwa waliowekewa mapingamizi unatuona watanzania wajinga wakuamini hayo unayo ongea
Yote hayo unayoyalalamikia yamefanyika kwa masilahi mapana ya nchi. Hujivunii miradi mikubwa inayoendelea nchini? Bwana kubwa la umeme, sgr, shirika la reli limefufuliwa, vivuko vimeboreshwa, hifadhi ya wanyama pori leo hatusikii ujangiri mbugani, miaka mitano ya Magufuli hatujasikia wafanyakazi wakigoma kama awamu za nyuma. Mambo ni mengi sana comrade ya kukueleza.Kwahiyo kutolipa pension ambayo mtu alishafanyia kazi ndo kutaka anisongee ugali, hataki kabisa kupandisha mishahara hali ya maisha imekuwa ngumu na huku anasema nchi ni tajiri pesa zipo za kufanya miradi lakini wananchi wanyonge hawapewi nyongeza ya mishahara. Huu umasikini wa wananchi wetu ni wa kutengenezwa sababu madikteta wanapenda uchumi dola maana ndiyo njia yankuwafanya wananchi wawe masikini
Mwaka huu hatutakubali upuuziComrade tangu lini kumwambia mtu ukweli ni kumtisha?? Lissu hatoshinda asije akakimbia I'd maana hatoweza kuyameza matapishi yake hapa jf.
Kwaiyo mnaingia kwenye uchaguzi mkiwa na matokeo yenu mfukoni? Mbona mnalazimisha lazima mshinde?Mwaka huu hatutakubali upuuzi
Na ww usije ukaficha ID yako
Corona ipo Tanzania na watu wanakufa isipokuwa kinachofanyika ni kuficha siri wanasingizia magonjwa mengine kuepuka kutengwa na jamiiIsrael [emoji1134] taifa teule la mungu Leo siku ya pili wako kwenye lockdown
Maka na madina walizuia Mpaka watu kwenda kuhiji kisa korona
Majirani zetu wote wana cases mpya kila siku za Korona
Ni mtu wa ajabu pekee anaweza kusema Tanzania hakuna Korona
Pesa za maendeleo ni pesa za walipa kodi, maendeleo siyo Hisani ya CCM, maendeleo siyo pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu mwenyekiti wa CCMKwa hiyo hata mahospiatali na vituo vya afya alivyojenga unavikataa? basi usiende kutibiwa kwenye Kwenye hospitali au vituo vyote vya kutolea huduma nchi nzima
Utakufa wewe mnufaika wa mfumo kandamizi mfumo wa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani mfumo wa kishetani wa kupita bila kupingwa kwa njia haramuUfage mapema tu
Kumbe mnajua kuwa pesa za maendeleo zinatokana na kodi na mnavyosema mtafuta kodi mnategemea kuendesha nchi kwa pesa ipi?Pesa za maendeleo ni pesa za walipa kodi, maendeleo siyo Hisani ya CCM, maendeleo siyo pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu mwenyekiti wa CCM
Mpaka sasa wameshakufa ndugu zako wangapi kwa Corona?Corona ipo Tanzania na watu wanakufa isipokuwa kinachofanyika ni kuficha siri wanasingizia magonjwa mengine kuepuka kutengwa na jamii