abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Well said GENTAMYCINE [emoji122]
Mama anadhani wananchi wote akili zetu ni kama za hao mawaziri wanamuabudu na kushindwa kuzitumia akili zao za asili.
Wanabaki kutumia akili za kuazima kutoka CCM, kwa manufaa ya matumbo yao zaidi, pamoja na wategemezi wao.
Haelewi kwamba kuna kundi kubwa la wananchi ambao kwa lugha isiyo rasmi ila maarufu....
Wanampimia tu....yeye kavaa wigi la msoga ila wacha liendelee nae.
Yana mwisho....View attachment 2080387
Awatoe pwanigang. Anajaza wajinga wanajua kupiga tu anaacha vichwa na watendaji bora.
Hebu mwambie Kabudi ajitokeze atoe ufafanuzi wa mikataba ya madini, yaani huwa anaongea vitu vya ajabu. Mara tunapata 16%, sijui 50% huwa nacheka tu. Kama Kabudi na Lukuvi wanajiamini na wanaamini ubora wao, waachane na hizo nafasi wakafanye shughuli zao binafsi. Kama wao wenyewe hawana uwezo wa kufanya shughuli zao binafsi, wataweza vipi kuwa na ubora unaowapamba hapa?
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Lukuvi ni jembe kweli kweli kule wizara ya ardhi.
Amefanya makubwa afu amelipwa teke!
Umenena vyema aisee JK anamharibia mama alianza vizuri but anapoteza focus kadri siku zinavokwenda
Kabudi acha kupanick nenda kajiajiri. We ni mbunge ila hukuchaguliwa na wananchi bali yule kiongozi muovu.
GENTAMYCINE (Antibiotic) katika ubora wako. Mtanzania yeyote akiwa kwenye kiti number moja, anawaona watanzania wengine wote waliobaki ni hamnazo. Hili lilianza hasa awamu ya 5.Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi.
Chanzo: Habari Leo Online
Mpaka leo naitafuta sababu ya Kutolewa kwa akina Kabudi na Lukuvi katika Nafasi zao huku Utendaji wao ukiwa ni wa Kutukuka na Uaminifu kabisa bado sijazipata.
Kama unatambua kuwa Kabudi ni 'Baba Negotiations' kutokana na Unguli wake katika Sheria hivi Akili Kubwa ilikuwa ni Kumbakisha katika Utendaji ndani ya Wizara au kumtoa na Kumuweka karibu kama Mshauri na Msoma Magazeti tu 24/7 katika 'Chambers' za Ikulu za Magogoni na Chamwino?
Ni Mtanzania Zuzu ( Hambe ) tu pekee ndiyo hatoweza kujua Kazi Kubwa na Juhudi za Kutukuka alizofanya Lukuvi katika Sekta ya Ardhi na cha Kushangaza anatolewa na Kupelekwa kuwa Mshauri tena kwa Waziri Mkuu ambaye nae pia mpaka sasa 'anakonda' na hapati Usingizi kwakuwa ameshajua hatakiwi ila basi tu hakuna namna na anavutiwa Kasi.
Akina GENTAMYCINE mara kwa mara tuwapo hapa JamiiForums tunakuambia Wasaliti wako Wakubwa ni akina nani ( hadi kukutajia Majina ) yao cha Kushangaza unawaacha, upo nao na unakimbilia Kuwaondoa Wazee wa Watu kwakuwa tu walikuwa 'Loyal' kwa Hayati uliyemrithi na Kuhisi wanaweza 'Kukuangusha' kwa Kutumika na Unaowaogopa au Kudanganywa kuhusu Wao.
Sijui ni kwanini Viongozi wengi wa Afrika mnapenda sana kutufanya na Kudhani kuwa Waafrika wote ni Wapumbavu ( Mapopoma ) wakati kumbe kuna Wananchi ( Waafrika ) wana ( tuna ) Akili na Maono kuliko mlivyo na 'Mabenzi' yenu huko Ikulu.
Kwenu Wazee wangu Kabudi na Lukuvi poleni kwa Kudharauliwa, Kusanifiwa na Kupendwa Kimachale na Kimkakati kwani hakuna namna bali ni Kumshukuru tu Mwenyezi Mungu kwa kila Jambo na Kumuachia Yeye kila Kitu kwani inajulikana kuwa Siku zote Malipo huwa ni hapa hapa duniani.
Najua utanichukia ila Mimi Nakupenda.
Umenena mkuu voicerWell said GENTAMYCINE [emoji122]
Mama anadhani wananchi wote akili zetu ni kama za hao mawaziri wanamuabudu na kushindwa kuzitumia akili zao za asili.
Wanabaki kutumia akili za kuazima kutoka CCM, kwa manufaa ya matumbo yao zaidi, pamoja na wategemezi wao.
Haelewi kwamba kuna kundi kubwa la wananchi ambao kwa lugha isiyo rasmi ila maarufu....
Wanampimia tu....yeye kavaa wigi la msoga ila wacha liendelee nae.
Yana mwisho....View attachment 2080387
Amesema wajipimie kulingana na urefu wa kamba zao. Kikubwa wasivimbiwe tu (ndiyo maana ya wajipimie). Wewe kama huna kamba kama GENTAMYCINE na mimi, jitulize waache wenye kamba wale kodi zako.Awatoe pwanigang. Anajaza wajinga wanajua kupiga tu anaacha vichwa na watendaji bora.
Shida kubwa kwake ni kutokuwa na vision kama kiongozi. Hajui hata anasimamia kipi. Anapelekwa na upepo wa Msoga, chama kuu, praise team kigogo, wapinzani, wakosoaji wa aliyemrithisha, wasanii mazuzu.. Hakujiandaa kushika nchi.. yaani hajui hata jahazi alipeleke wapi. Hana mwelekeo, agenda imebaki kuwa vijembe na kusutana kizenji.Mama kafeli mapema sana. Hana dira, hana maono na hana mwelekeo. Kwenye vikao vyake sio ajenda yoyote anayoisimamia. Ni vijembe tu na mafumbo ya pwani ndivyo vilivyotawala.
Wewe umesemaAiseee mnachekesha yani raisi aanze kujikosha kwa kabudi na lukuvi kwa kuwa wao ni Akina nani[emoji3][emoji3][emoji3] mnahisi Huyu mama ni mpumbavu labda hyo maamuz kafanya akiwa kalewa....
Asante.......lakini pia sisi wengine tunamuunga mkono Mama na tunamuombea kwa Mwenyezimungu atuvushe hapa tulipo.Tunajuwa sooner au later ataruhusu new katiba na mwamba aachiliwe na waliohusika kuchunguzwa.Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi.
Chanzo: Habari Leo Online
Mpaka leo naitafuta sababu ya Kutolewa kwa akina Kabudi na Lukuvi katika Nafasi zao huku Utendaji wao ukiwa ni wa Kutukuka na Uaminifu kabisa bado sijazipata.
Kama unatambua kuwa Kabudi ni 'Baba Negotiations' kutokana na Unguli wake katika Sheria hivi Akili Kubwa ilikuwa ni Kumbakisha katika Utendaji ndani ya Wizara au kumtoa na Kumuweka karibu kama Mshauri na Msoma Magazeti tu 24/7 katika 'Chambers' za Ikulu za Magogoni na Chamwino?
Ni Mtanzania Zuzu ( Hambe ) tu pekee ndiyo hatoweza kujua Kazi Kubwa na Juhudi za Kutukuka alizofanya Lukuvi katika Sekta ya Ardhi na cha Kushangaza anatolewa na Kupelekwa kuwa Mshauri tena kwa Waziri Mkuu ambaye nae pia mpaka sasa 'anakonda' na hapati Usingizi kwakuwa ameshajua hatakiwi ila basi tu hakuna namna na anavutiwa Kasi.
Akina GENTAMYCINE mara kwa mara tuwapo hapa JamiiForums tunakuambia Wasaliti wako Wakubwa ni akina nani ( hadi kukutajia Majina ) yao cha Kushangaza unawaacha, upo nao na unakimbilia Kuwaondoa Wazee wa Watu kwakuwa tu walikuwa 'Loyal' kwa Hayati uliyemrithi na Kuhisi wanaweza 'Kukuangusha' kwa Kutumika na Unaowaogopa au Kudanganywa kuhusu Wao.
Sijui ni kwanini Viongozi wengi wa Afrika mnapenda sana kutufanya na Kudhani kuwa Waafrika wote ni Wapumbavu ( Mapopoma ) wakati kumbe kuna Wananchi ( Waafrika ) wana ( tuna ) Akili na Maono kuliko mlivyo na 'Mabenzi' yenu huko Ikulu.
Kwenu Wazee wangu Kabudi na Lukuvi poleni kwa Kudharauliwa, Kusanifiwa na Kupendwa Kimachale na Kimkakati kwani hakuna namna bali ni Kumshukuru tu Mwenyezi Mungu kwa kila Jambo na Kumuachia Yeye kila Kitu kwani inajulikana kuwa Siku zote Malipo huwa ni hapa hapa duniani.
Najua utanichukia ila Mimi Nakupenda.
Ambaye hakupiga nani? Nenda Dodoma kaone walivyopora ardhi huyo mpendwa wenu.Awatoe pwanigang. Anajaza wajinga wanajua kupiga tu anaacha vichwa na watendaji bora.
JK amehusikaje?Umenena vyema aisee JK anamharibia mama alianza vizuri but anapoteza focus kadri siku zinavokwenda
Hapo tambua kuna mambo mawili,kuna kusoma na kuelimika na kutumia elimu kuratibu mambo,na kunakusoma ukaelimika na kushindwa kuratibu mambo kisomi,hili la kwanza,Alaaaniwe amtegemeae mwanadamu. Kuna wasomi wengi sana ktk nchi lakini kula siku ni mawaziri wale wale