abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Hv kuna jitu lilopenda kuabudiwa kama bwana yule????
Well said GENTAMYCINE [emoji122]
Mama anadhani wananchi wote akili zetu ni kama za hao mawaziri wanamuabudu na kushindwa kuzitumia akili zao za asili.
Wanabaki kutumia akili za kuazima kutoka CCM, kwa manufaa ya matumbo yao zaidi, pamoja na wategemezi wao.
Haelewi kwamba kuna kundi kubwa la wananchi ambao kwa lugha isiyo rasmi ila maarufu....
Wanampimia tu....yeye kavaa wigi la msoga ila wacha liendelee nae.
Yana mwisho....View attachment 2080387