Tusisahau vita vya Sudan, waarabu bado wanachinjana na kuwindana mji mkuu

Je, DRC ni waarabu?
 
Waarabu ni jamii ya piganapigana na visasi, hatupaswi kuwakumbatia, hata waliopo hapa kwetu ukiwatazama wamekaa kisharishari tu
 

Wanaua huku wakisema arkabaru sasa nini kama sio ala kawatuma.
 

Israel sasa yashambulia makanisa baada ya kushambulia Misikiti na hospitali Ghaza​

 
DRC ina matatizo makubwa zaidi ya hilo ila wewe ukachagua upande unakupendeza kuanzishia mada.

Sio jukumu langu kuleta shida zao zote, wewe tusaidie kuleta zingine hizo......
 
Sasa hapa shida iko wapi wakati ni vita ya wenyewe kwa wenyewe wanagombania madaraka , sawa na kile kinachotokea Mymar(Burma) kule
 
Kwa hiyo DRC kuwa na vita ndio ihalalishe kwamba waarabu wanaroho safi?🤔
Hakuna mwenye roho saaaafi kila mmoja na shida yake, hata Ulaya wameuana sana vita za dunia zimeanzia huko
 
Sasa hapa shida iko wapi wakati ni vita ya wenyewe kwa wenyewe wanagombania madaraka , sawa na kile kinachotokea Mymar(Burma) kule

Mbwa kala mbwa, mkinyukana hivyo wenyewe dunia inatulia, shida huwa pale mnatuzingua....
 
Kama sio jukumu lako acha kihere here na mambo ya nchi za watu

Hehehe nawahabarisha kile kinachowauma haswa hadi mtie akili, nachagua nini cha kuhabarisha.
 
Kizazi changu kinaangamia kwa kukosa maarifa.SAWA TUMEKUELEWA
 

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…