Tusisahau vita vya Sudan, waarabu bado wanachinjana na kuwindana mji mkuu

Sijawahi kuona hata siku moja ukiandika kuhusu DRC kama watu hawafi na hakuna kinachotokea vile ..
Hahaha Waswali sie ni masabufa ya watu weupe

wakitoa kipaumbele Congo nasi tunatoa kipaumbele

wakipuuza nasi tunapuuza

nakumbuka kuna ajali ya Treni iliwahi kutokea miaka ya nyuma

hadi TBC walikuwa wanatoa habari ' kwa mujibu wa BBC' watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha
 
Asee wee mkorea Mufti kuku The Infinity acha vituko.

CC raraa reree Extrovert
 
Huku huwezi kuwasikia wafuasi wa munyaazi wakisema pray for Sudanese wakat Kuna raia wanakufa wengi tu unafiki mtupu
 
Hehehe kwa unavyokesha ukipambana kujibu hoja za watu kwa machungu iwe hauumii sheikh???
Kujibu hoja ni moja na kuumia ni mbili, najibu hoja pale ambapo naona unaleta upotoshaji
 
Kujibu hoja ni moja na kuumia ni mbili, najibu hoja pale ambapo naona unaleta upotoshaji

Kwa jinsi unavyojibu mtu anaweza akaeleza kwamba unaumia kishenzi....
 
Waione Kimsboy na Alwaz kwenye failing.
 
Huwezi kumzuia mtu kufikiri, ila nitaendelea kuweka kumbukumbu sawa wakati wote

Kumbe unajua hivyo, sasa dini yenu hutaka kulazmisha watu wasitumie ubongo na kufikiri, waishi tu kama mazombi ya kujilipua mabomu.
 
Kumbe unajua hivyo, sasa dini yenu hutaka kulazmisha watu wasitumie ubongo na kufikiri, waishi tu kama mazombi ya kujilipua mabomu.
Dini yeyote inalazimisha watu ndio maana inakutaka utii kilichoandikwa , kama unataka uhuru achana na dini fanya mambo yako
 
Dini yeyote inalazimisha watu ndio maana inakutaka utii kilichoandikwa , kama unataka uhuru achana na dini fanya mambo yako

Masuala la dini ni imani ya watu binafsi, maana isingekua kwa muarabu kuja kuwaambia kuhusu 'mungu' wake, hamngejua yupo, hamna namna ya kudhihirisha uwepo wa huyo 'allah' wenu, zaidi ya nyie kukata watu vichwa mkiwalazimisha wamuabudu.
 
Wewe unasema dini au mwarabu? kama dini zote hakuna uhuru ni kutii tu kilichoandikwa , ebu weka hoja yako sawasawa nikusaidie
Hata hawa walipewa maelekezo na Mungu wao

Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.

1 Samueli 15:3
 
Nyie yenu muarabu kawashikilia akili mlazimishe wasiotaka kumuabudu, mnaua watu kisa mungu ambaye hamuna namna ya kudhihirisha uwepo wake.
Mnalazimisha ugomvi na dini zote, mkipigwa mnalalamika.
 
Nyie yenu muarabu kawashikilia akili mlazimishe wasiotaka kumuabudu, mnaua watu kisa mungu ambaye hamuna namna ya kudhihirisha uwepo wake.
Mnalazimisha ugomvi na dini zote, mkipigwa mnalalamika.
Sasa hawa wanaua kuku au mbuzi? halafu tuambie hawa watu wanaotaka kuuliwa kisa nini?

Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.

1 Samueli 15:3

Wewe ruka ruka tu wakati hakuna dini kati hizi mbili haijafanya mauaji kwa amri ya Mungu wao kwenye maandiko yao
 
Mnapaswa muache watu wajiamulie mambo ya imani, nani wa kumuabudu, wahubirieni sio kuwachinja, mnaingia kwenye basi na kutea na kuua abiria kisa hawamuabudu huyo muarabu wenu

al-Shabab armed group have hijacked a bus in Kenya and killed 28 non-Muslims on board after singling them out from the rest of the passengers.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…