Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
From nowhere mtu anakutafuta uchangie SMH. Kwanza haruc inatakiwa muhusika asilimia 90 ya bajeti uiandae mwenyewe usitegemee michangoWa ivo hata mimi sichangii
Mi namtegemea unipe mwaliko,nije kutwanga vitu!From nowhere mtu anakutafuta uchangie SMH. Kwanza haruc inatakiwa muhusika asilimia 90 ya bajeti uiandae mwenyewe usitegemee michango
Point sana hiyoYaani ni noma sana, sherehe jipime Mwenyewe,Msiba ni tofauti Maana hakuna ajuaye lini utatokea!
Watu sikuhizi wanaweka dau maalumu laki moja kuendeleaNdugu zetu muache hizo ,yaani watu kazini wanasumbua ila sisi waswahili haya mambo hayapo ..Msituletee hizi mila zenu za kusumbuana huku , mchango mkubwa sana huku tena kama family member ni 30k.
Hivo ndo inavyotakiwaWatu warudi kama zamani kugharamia harusi zao wenyewe, michango imekuwa kero. Suala la kuoa/kuolewa ni la kifamilia. Familia iandae bajeti yao kufanya sherehe yao
hapa nilipo nina michango 7 ya harusi inanisubiri na ni mwezi wa 10 na 11, kuna mwingine jana kaniambia mwanae anamaliza la 7 anafanyiwa mahafali, katoa kama taarifa lkn nyuma ya pazia najua anataka nn.Ndugu zetu muache hizo ,yaani watu kazini wanasumbua ila sisi waswahili haya mambo hayapo ..Msituletee hizi mila zenu za kusumbuana huku , mchango mkubwa sana huku tena kama family member ni 30k.
Mimi nachangia kwa sababu ya mke wangu , ila mimi sijawahi kuomba mtu mchango ...Huku kwetu , zimeanza na mpaka mwezi wa 12 sitakuwa nyingi. Ila michango yao rate ni 30k , unakula mpaka unakimbia .hapa nilipo nina michango 7 ya harusi inanisubiri na ni mwezi wa 10 na 11, kuna mwingine jana kaniambia mwanae anamaliza la 7 anafanyiwa mahafali, katoa kama taarifa lkn nyuma ya pazia najua anataka nn.
Oppps ukubwa unakuja na mengi
Magroup ya michango whatsapp yamekua mengi mpka nimeya mute kisha nimeyaweka kwenye archive ili nisione kinachoendelea.hapa nilipo nina michango 7 ya harusi inanisubiri na ni mwezi wa 10 na 11, kuna mwingine jana kaniambia mwanae anamaliza la 7 anafanyiwa mahafali, katoa kama taarifa lkn nyuma ya pazia najua anataka nn.
Oppps ukubwa unakuja na mengi
Kazi ipo ukichangia michango yote hiyo hata account yako si ita shakehapa nilipo nina michango 7 ya harusi inanisubiri na ni mwezi wa 10 na 11, kuna mwingine jana kaniambia mwanae anamaliza la 7 anafanyiwa mahafali, katoa kama taarifa lkn nyuma ya pazia najua anataka nn.
Oppps ukubwa unakuja na mengi
Mimi akiweka dau hata kama nilikuwa nimpe 20K hataipata tena,dau kwenye sherehe yako kwamba lazima nitoe kiasi fulani ulinipa wewe hizo hela!Watu sikuhizi wanaweka dau maalumu laki moja kuendelea